Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.
Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!
Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.
Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?
Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?
Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..
Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..