PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Daah kama hii ndio sababu mbona itakuwa shida kubwa maana navyojua CCM hawawezi kukubali walifanya makosa October 29. Na wananchi sidhani kama wapo tayari kukubali wao ndio wakosa!

Hayo maridhiano wataanzia wapi maanake? Kichwa kinaniuma...
 
Mkuu haya maridhiano unayojaribu kutuuliza yana tofauti na Yale yaliyosemwa na Humphrey Polepole kabla hajapotezwa na wapotezaji?

Maana alisema kati ya mengi kuwa watanzania tusikubali maridhiano baada ya uchaguzi maana watafanya watakayofanya Ili kupata ushindi halafu tayari wameishatayarisha wazee wao kusimamia maridhiano baada ya uchaguzi.

Kabla mimi sijaendelea naomba uniweke wazi, inawezekana ikawa related na alichosema Polepole? Au hii ya kwako unaulizia kituo tofauti?
 
Gentleman,
narudia tena,
maridhiano ya hiyari miongoni mwa waTanzania wote yanalenga kujenga msingi imara kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya ya waTanzania wote na si vinginevyo. Full stop 🐒
Hayahusiani na wale walioandaa maandamano ya kuchoma vitu kupinga ushindi wenu halali wa asilimia 98?
 
Daah kama hii ndio sababu mbona itakuwa shida kubwa maana navyojua CCM hawawezi kukubali walifanya makosa October 29. Na wananchi sidhani kama wapo tayari kukubali wao ndio wakosa!

Hayo maridhiano wataanzia wapi maanake? Kichwa kinaniuma...
Na kawaida ya maridhiano, lazima kuwe na mkosaji na mkosewa.

Nani ni mkosaji na je yupo tayari (huyo mkosaji) kukubali kukosa kwake, kutubu, kuomba radhi/msamaha na kuwajibika!!!?

Nani ni mkosewa na je yupo tayari (huyo mkosewa) kukubali kuwa alikosewa na ameombwa radhi na sasa amesamehe!!??
 
Mkuu haya maridhiano unayojaribu kutuuliza yana tofauti na Yale yaliyosemwa na Humphrey Polepole kabla hajapotezwa na wapotezaji?

Maana alisema kati ya mengi kuwa watanzania tusikubali maridhiano baada ya uchaguzi maana watafanya watakayofanya Ili kupata ushindi halafu tayari wameishatayarisha wazee wao kusimamia maridhiano baada ya uchaguzi.

Kabla mimi sijaendelea naomba uniweke wazi, inawezekana ikawa related na alichosema Polepole? Au hii ya kwako unaulizia kituo tofauti?
Hapana mkuu ni ya kwangu miye, nimejaribu kuwaza sana juu ya haya maridhiano tena unaweza sema toka Polepole au kabla na baada yake walikuwa wakizungumzia maridhiano. Najiuliza hayo maridhiano yanatokana na kipi kilichotokea? Na Wadau ni kina nani?

Tena kama umeniongezea hoja, hata Polepole akisema maridhiano hayo ilikuwa baina ya kina nani? Hata aliposema "Msikubali maridhiano baada ya Uchaguzi".

Kuna nini kilitokea hadi tuhitaji maridhiano ya pamoja kabla ya Uchaguzi? Yahusu Katiba Mpya? au kuna sababu nyingine ambazo mimi sizijui?
 
Na kawaida ya maridhiano, lazima kuwe na mkosaji na mkosewa.

Nani ni mkosaji na je yupo tayari (huyo mkosaji) kukubali kukosa kwake, kutubu, kuomba radhi/msamaha na kuwajibika!!!?

Nani ni mkosewa na je yupo tayari (huyo mkosewa) kukubali kuwa alikosewa na ameombwa radhi na sasa amesamehe!!??
Shukran, umenielewa vema kabisa.
 
Daah kama hii ndio sababu mbona itakuwa shida kubwa maana navyojua CCM hawawezi kukubali walifanya makosa October 29. Na wananchi sidhani kama wapo tayari kukubali wao ndio wakosa!

Hayo maridhiano wataanzia wapi maanake? Kichwa kinaniuma...

..sasa hivi Ccm wanajaribu kubahatisha / kubet kama wananchi watapoa na kusahau kwa kupoteza muda kupitia kuunda Tume.

..Tunakaribia mwaka mmoja tangu mauaji ya OCT 29. Tume ya uchunguzi imepewa miezi 5, na serikali iko tayari kuongeza muda.
 
Na kawaida ya maridhiano, lazima kuwe na mkosaji na mkosewa.

Nani ni mkosaji na je yupo tayari (huyo mkosaji) kukubali kukosa kwake, kutubu, kuomba radhi/msamaha na kuwajibika!!!?

Nani ni mkosewa na je yupo tayari (huyo mkosewa) kukubali kuwa alikosewa na ameombwa radhi na sasa amesamehe!!??

..serikali na Ccm wanataka kuwaangushia jumba bovu walioandamana.

..Kuharibu mali, na miundombinu, sio sawa na kuuwa watu.
 
Hayahusiani na wale walioandaa maandamano ya kuchoma vitu kupinga ushindi wenu halali wa asilimia 98?
Gentleman,
dhana za iana hiyo zitafutiwe cha kufanya na wahusika wenyewe.

But as united country,
barabara ile tunaenda nayo kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya, nimeieleza kwa kina na kurudia rudia 🐒
 
Hapana mkuu ni ya kwangu miye, nimejarobu kuwaza sana juu ya haya maridhiano tena unaweza sema toka Polepole au kabla na baada yake walikuwa walizungumzia maridhiano. Najiuliza hayo maridhiano yanatokana na kipi kilichotokea? Wadau ni kina nani?

Tena kama umeniongezea hoja, hata Polepole akisema maridhiano hayo ilikuwa baina ya kina nani? Hata aliposema "Msikubali maridhiano baada ya Uchaguzi". Kuna nini kilitokea hadi tuhitaji maridhiano ya pamoja kabla ya Uchaguzi? Yahusu Katiba Mpya? au kuna sababu nyingine ambazo mimi sizijui?
Mkuu kudeal na maccm inahitaji vitu vikubwa viwili, uwe juha Ili usitumie akili kufikiria kama machawa au uchanganyikiwa kama wewe.

Walijua itakuwa business as usual, watapora, wataiba uchaguzi halafu CHADEMA wakipiga kelele watalobby baadhi ya viongozi wa CHADEMA, watafanya mazungumzo kisha yatapita. Kilichoharibu ni mauaji ya 29 October, hawakutegemea watu watapata ujasiri. Wameua na Sasa wamepanick jinsi ya hili lipite maisha tuendelee.

Wewe unatumia akili kudeal na CCM kuwa juha kidogo utaelewa, mfano msome tlaahtlah
 
Gentleman,
dhana za iana hiyo zitafutiwe cha kufanya na wahusika wenyewe.

But as united country,
barabara ile tunaenda nayo kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya, nimeieleza kwa kina na kurudia rudia 🐒
As united country, nimeipenda sana hii. It is as united as Samia and Nchimbi
 
Kuna watu na chama chako cha Chadema baada ya kuona mambo hayaendi ndio wanazua mambo eti kuwepo maridhiano. CCM imepigiwa kura nikiwemo mimi na watu zaidi ya asilimia tisini ya wapiga kura. Unasemaje watu wanataka maridhiano nchi haiendi?

Leo ukitangaza Watanzania wanaotaka maridhiano waende mfano uwanja wa CCM Kirumba, hawatazidi watano! Halafu eti mtu anasema nchi inahitaji maridhiano! Pumbavu!!
 
Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana.

Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani na nani?"

Serikali haielewani na Wananchi?, ni baina ya Dola na Wananchi? ni Vyama vya siasa? Au tunataka kuridhiana juu ya kitu gani na kwa nini? Wadau wa maridhiano haya wanatokana na tatizo gani?

Maana tumewahi kuona maridhiano baina ya CCM na Chadema na wakawekeana masharti. Pia majuzi tu kulikuwa na maridhiano ya Serikali ya Zanzibar wanajua wao hoja na madai yalokuwepo.

Hata maridhiano baina ya Marekani na Iran ni kwa sababu kuna vita baina yao ili kupata suluhu wanawekeana masharti.

Sisi Tanzania tunataka maridhiano ya Kitaifa kufuatia nini na kwa matumaini gani? Kuna jambo au mgogoro gani unaohitaji maridhiano baina ya wahusika? Mimi sielewi naomba kuelimishwa.

Maasalaam
Aliyepata 98% anataka maridhiano na chadema ambao hawakupata kitu
 
Mkuu kudeal na maccm inahitaji vitu vikubwa viwili, uwe juha Ili usitumie akili kufikiria kama machawa au uchanganyikiwa kama wewe.

Walijua itakuwa business as usual, watapora, wataiba uchaguzi halafu CHADEMA wakipiga kelele watalobby baadhi ya viongozi wa CHADEMA, watafanya mazungumzo kisha yatapita. Kilichoharibu ni mauaji ya 29 October, hawakutegemea watu watapata ujasiri. Wameua na Sasa wamepanick jinsi ya hili lipite maisha tuendelee.

Wewe unatumia akili kudeal na CCM kuwa juha kidogo utaelewa, mfano msome tlaahtlah

kwahiyo gentleman ,
hapo ndio umejieleza kwa kutumia akili sanaaaa kwa niaba ya chadema, right? :pedroP:
 
Sasa kama we are United Country? Maridhiano ya nini?
Hapo ndio nachanganyikiwa
maridhiano ni msingi muhimu sana miongoni mwa waTanzania wa mirengo yote kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya gentleman.

very simple :pedroP:
 
Back
Top Bottom