maridhiano ya kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

    Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana. Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani na nani?" Serikali haielewani na Wananchi?, ni baina ya Dola na Wananchi? ni Vyama vya siasa? Au...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Charles Odero: Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa tunapendekeza Serikali kuandaa muswada wa Sheria wa kuongoza mchakato wa maaridhiano

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa imeomba Serikali kuandaa na kuwasilisha bungeni mswada wa sheria utakaoongoza mchakato mzima wa mazungumzo na maridhiano nchini, ili kutoa mwongozo rasmi na wa kisheria utakaoleta uwazi na umakini katika suala hilo. Akitangaza leo Agosti 5, 2026 na...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Masharti na mashinikizo ya vyama vya siasa na asasi za kiraia katika kujenga msingi wa maridhiano hiyari ya waTanzania kuelekea katiba mpya yapuuzwe

    Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele katika utaratibu huo huo kwamba atakae suasia au kuja na mashariti ya chama chake kuelekea maridhiano...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

    Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari...
  5. JF Analyst

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Serikali inayaendea maridhiano kwa maslahi ya Taifa? Kauli za viongozi kuhusu maridhiano zinabeba dhamira ipi?

    Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa. Wapo walioimba wimbo huu kabla ya uchaguzi. Wanaharakati, baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unataka Umoja wa kitaifa? Unataka Maridhiano?; Kamwe usiibe Uchaguzi

    Kitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa. Siku si nyingi Watanzania mitaani watakuwa na Silaha, Watanganyika watachoma Bendera za Tanzania na kupandisha Bendera ya Tanganyika, wengine wataenda mbali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amesema wanaunga mkono mchakato wa maridhiano ya kitaifa yaliyopendekezwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania n kuwa wapo tayari kama jumuiya kushiriki na...
Back
Top Bottom