Maridadi sana tai shingoni sigara mkononi

THINKINGBEING

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
2,779
1,304
Wadau naomba mnikumbushe ni nani yule aliyepiga wimbo wenye kionjo hiki "maridadi sana...tai shingoni sigara mkononi,lakini hawana fedha mfukoni...
Atakayenikumbusha pia aliyepiga wimbo wenye kionjo hiki "Hawae.... P.O.P...wengi wamelazwa hosptalini na kuwekewa P.O.P shauri yako Hawa" nitamshukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom