OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Inamisha kichwa ubongo uje mbele .Hivi ukimleta Obama hapa ataweza kuongoza Tanzania.Huyo Maria alikuwa mtoto wa waziri hapo ujue kilio chake ni kusahaulika na CCM huyo ni mwana CCM kama NAPE,RIZIWANI,KINA .KAWAWA,JANUARY,JOHN MONGELA,MGIMWA,MAKONGORO na DADA YAKE,hao hawajatembea kilometer nyingi kutafuta shule ilipo, hawajabeba mifyagio na majembe,mbolea na makopo ya kumwagilia bustani .Nikimuona mtu anahusika na urembo na maigizo siwezi mshabikia.Kama ni mwanamapinduzi ameshindwaji kumsaidia Lundenga kuiboresha Miss Tanzania? wengineo.Akipewa ukuu wa wilaya anatulia
Hawa ghasia wanajuana na JK lakini kichwani chake kimejaa matope huyu Maria Sarungi ningekuwa na uwezo ningempa nafasi ya Uwaziri wa fedha
Maria ndie "kamuoa" huyo MuEthiopia. Si unaona wanaishi Tanzania? Unacheza na binti wa Kiluo wewe!
hayo ni mawazo yako na pia uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo .Ungempa uwaziri Wa fedha kwa kuwa unachat naye huko Twitter na hivyo hana majivuno kama wanawake wengine? Basi? Je, akiacha kuchat na wewe huko Twitter atapoteza sifa za kuwa waziri Wa fedha?
PS. There is something wrong with your arguments. In fact, you are not even arguing for an argument shall be made up of a conclusion flowing logically from a premise.
hata ungekuwa msukuma haikuhusuKwahiyo maria ni mjaluo?..au nusu mjaluo????
hayo ni mawazo yako na pia uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo .
Kwa mila nyingi za kiAfrika kabila ya BABA ndio kabila ya MTOTO. Maria ni Mluo kabisa. Ukimfanya nusu Mjaluo utauweka UTANZANIA wake mashakani.Kwahiyo maria ni mjaluo?..au nusu mjaluo????
sijaangalia uwezo wake kwa sababu nachati naye hapana elimu na uwezo wakati uongozi .sina msaada wa kukusaidia kufikiri kama una mawazo mgando utaendelea kubaki hivyoAlah. Pendekezo/wazo la kumpa Maria uwaziri Wa fedha kwa kuwa unachat naye huko twitter ni langu au lakwako? Uwezo wangu wa kufikiri umeishia hapo wapi? Nisaidie kufikiri.
sijaangalia uwezo wake kwa sababu nachati naye hapana elimu na uwezo wakati uongozi .sina msaada wa kukusaidia kufikiri kama una mawazo mgando utaendelea kubaki hivyo
Kwa mila nyingi za kiAfrika kabila ya BABA ndio kabila ya MTOTO. Maria ni Mluo kabisa. Ukimfanya nusu Mjaluo utauweka UTANZANIA wake mashakani.
ni moja ya watu ambao huwa nafatilia twiti zake, nakumbka yeye ndo alikomalia suala la kutozwa buku kuhusu malipo na line(sim card) mpaka likafanikiwa,,yupo vizuri sana ila na wasiwasi sana kama sio anatumika sio bure...
Hata huyu Maria Saronge Tsehai hawezi kugombea nafasi yoyote nchi hii. Ataumbuka. Abaki tu kule Twitter na kuendelea kuwashangilia political celebrities wa nchi hii.Nimekuelewa mkuu...ila alichofanyiwa salim ahmed salim..na hawa ccm ...ni kibaya sana inabidi nijirudi..sorry for that!
Alah. Pendekezo/wazo la kumpa Maria uwaziri Wa fedha kwa kuwa unachat naye huko twitter ni langu au lakwako? Uwezo wangu wa kufikiri umeishia hapo wapi? Nisaidie kufikiri.
Hata huyu Maria Saronge Tsehai hawezi kugombea nafasi yoyote nchi hii. Ataumbuka. Abaki tu kule Twitter na kuendelea kuwashangilia political celebrities wa nchi hii.
Siku hizi kuwa na ukaribu na Zitto ni sawa na disqualification? That's according to Mbowe's supporters point of view, very funny indeed!
I think we need outsiders turn this country around, No more insiders. Don't you think?