Marekani yatangaza vikwazo vikubwa dhidi ya ICC

Jana nilikuwa nasoma hii habari.

Nikaona jinsi hii habari inavyoonesha unafiki na contradictions kati ya wanaharakati wa Tanzania wanaorukiarukia mambo kwa faida ya haraka ya kisiasa bila kuangalia mambo kwa undani.

Mfano ni Mange Kimambi.

Mange amekuwa akiwahamasisha Watanzania na jumuiya ya kimataifa kumshitaki Samia Suluhu Hassan na wapambe wake ICC. Samia ashitakiwe kwa mauaji ya maelfu ya Watanzania. Mpaka hapo hakuna tatizo, Mange ana haki zote kufanya hivyo.

Lakini pia, Mange amekuwa aki m lobby Donald Trump kwenye mambo mengi, kuanzia kuingilia siasa za Tanzania, mpaka kuingilia kwenye ugomvi wake na Meta. Bila kujali siasa za Donald Trump za uzandiki.

Na kwenye issue kama hii ya Donald Trump kuiwekea vikwazo ICC, ICC ambayo Mange Kimambi anaitegemea imshitaki Samia na anahamasisha watu ifanye hivyo, sijamsikia Mange akimshutumu Donald Trump kwa kuharibu mifumo ya watu kutafuta haki katika mahakama za kimataifa.

Hapa kuna mambo mawili inawezekana yakachangia.

1. Mange Kimambi ni dada aliyeanzia kwenye umbea, zaidi ya kupinga mauaji na uonevu wa wazi, hana a deep ideological grounding kusema huyu Trump ni wa mrengo huu na mimi ni wa mrengo huu, etc. Kifupi ni kama ameshazoea umbea na hoja za kudanga na moaka kwenye siasa ana siasa za kudanga.

2. Mange Kimambi anajua kuwa Trump ana matatizo mengi, ni mbaguzi wa rangi, ni mtu anayependa kudanganya, haaminiki, lakini anaona siasa ni mchezo wa kutumiana na hakuna haja ya kufanya principles ziingilie nafasi ya kumtymia Donald Trump kumbana Samia, ikiwezekana.

Unafikiri ni hoja gani kati ya hizo mbiki ina mashiko zaidi? Au kuna nyingine unayoona ina mashiko zaidi?

Mwingine ni huyu Tausi Likokola.

Amekuwa mstari wa mbele kwenda mpaka kwenye mabunge ya Marekani akiisema serikali ya Tanzania. Well and good, tunahitaji activists wengi zaidi wafanye hivyo.

Lakini hapa kwenye tweet yake, anamsifia Donald Trump kwa kuwatumia watu messages kwenye simu, akisema huo ni mfano mzuri wa Rais kuwasiliana na wananchi moja kwa moja. Bila kujali kwamba Rais kutuma ujumbe moja kwa moja kwa wananchi inaweza kuwa ni tatizo.

Nilijiuliza sana, ingekuwa Samia katuma ujumbe kwa Watanzania wote kusema amekamilisha mradi wa Bwawa la Nyerere, Tausi angefurahia?

Ni kwa nini activists wa Tanzania mpaka Marekani wanaona ni lazima kuwa chawa wa Trump?

Tumeshaziea uchawa mpaka umekaa kwenye damu? Tunausema uchawa Tanzania lakini hata tukifuka Marekani tunakuwa machawa tu?

Hii hapa tweet yake.

View attachment 3688027
Mimi nafikiri hao watu wanaishi kwa hisani ya Marekani kwa hofu in case ikatokea wakarudishwa Tanzania kwa namna zozote hata kwa changamoto za kiraia bila kujalisha wanaishi kihalali au la kwamba watakuwa katika wakati mgumu sana kwa harakati zao wanazozifanya dhidi ya watawala wao wa nyumbani. Sawasawa na kupelekwa kwenye hifadhi ya wanyama yenye wanyama wakali.
 
Mbona iko wazi , hao mifugo wanaishi kwa wasiwasi ,wakienda againts kesho mtaenda kuwapokea pale JNIA au KIA.

kiufupi ,hao kama misekule hata kazi wanazofanya ziko funded na hao jamaa ,yaani wanafungwa kama mambwa .Lazima wawe watiifu ,mtu umeshaondoka bongo haya umepata hayo maisha huko unayoyataka .Kinachowafanya wafuatulie ya huko ni nn? Hao wanakula pesa zao na lazima wawe active kwa master wao muda wowote.
 
Mimi nafikiri hao watu wanaishi kwa hisani ya Marekani kwa hofu in case ikatokea wakarudishwa Tanzania kwa namna zozote hata kwa changamoto za kiraia bila kujalisha wanaishi kihalali au la kwamba watakuwa katika wakati mgumu sana kwa harakati zao wanazozifanya dhidi ya watawala wao wa nyumbani. Sawasawa na kupelekwa kwenye hifadhi ya wanyama yenye wanyama wakali.
Uzuri (kwangu) ni kwamba Marekani bado kuna utamaduni mkubwa sana wa kukataa kuwarudisha (deport/extradite) wanaharakati wanaoweza kuumizwa nchini mwao.

Pia kuna uhuru fulani wa mahakama hata kama serikali kuu inataka jambo A, mahakama inaweza kukataa.

Kuna misingi fulani ya uhuru bado ipo Marekani, na mwanaharakati akiweza kuonesha kuwa mimi hapa nipo kama mkimbizi wa kisiasa, mkinirudisha kwetu nitauawa, nitateswa au kufungwa kisiasa, Marekani kuna uwezo mkubwa mwanaharakati akasikilizwa, unless labda kuwe kuna kitu serikali ya Marekani inataka ku bargain na huko kwao huyo mwanaharakati, na mwanaharakati akatumika kama a bargaining chip.

Hilo moja. Lakini la pili, kuna wanaharakati washachukua uraia huku Marekani. Mtu kama Mange Kimambi kashachukua uraia, kwa hivyo kumrudisha kama deportation/ extradition ni vigumu, mpaka umvue uraia kwanza. Na kumvua uraia Mange itakuwa scandal kubwa Marekani kwa sababu itaonekana Marekani inaondoka kwenye misingi yake ya kutetea uhuru wa raia wake.
 
Mimi nafikiri hao watu wanaishi kwa hisani ya Marekani kwa hofu in case ikatokea wakarudishwa Tanzania kwa namna zozote hata kwa changamoto za kiraia bila kujalisha wanaishi kihalali au la kwamba watakuwa katika wakati mgumu sana kwa harakati zao wanazozifanya dhidi ya watawala wao wa nyumbani. Sawasawa na kupelekwa kwenye hifadhi ya wanyama yenye wanyama wakali.
Uko sahihi ila kusema wanaishi kihalali sio excuse ,wakienda against muda wowote wanaondolewa ...Incase ,wakipata msala mbele ya USA wataenda kujifichia wapi?

Dunia ya sasa ,ukitaka kusimamia upande wa haki basi hakikisha una nguvu zote na hauna njaa kabisa.
 
Uzuri (kwangu) ni kwamba Marekani bado kuna utamaduni mkubwa sana wa kukataa kuwarudisha (deport/extradite) wanaharakati wanaoweza kuumizwa nchini mwao.

Pia kuna uhuru fulani wa mahakama hata kama serikali kuu inataka jambo A, mahakama inaweza kukataa.

Kuna misingi fulani ya uhuru bado ipo Marekani, na mwanaharakati akiweza kuonesha kuwa mimi hapa nipo kama mkimbizi wa kisiasa, mkinirudisha kwetu nitauawa, nitateswa au kufungwa kisiasa, Marekani kuna uwezo mkubwa mwanaharakati akasikilizwa, unless labda kuwe kuna kitu serikali ya Marekani inataka ku bargain na huko kwao huyo mwanaharakati, na mwanaharakati akatumika kama a bargaining chip.

Hilo moja. Lakini la pili, kuna wanaharakati washachukua uraia huku Marekani. Mtu kama Mange Kimambi kashachujua uraia, kwa hivyo kumrudisha kama deportation/ extradition ni vigumu, mpaka umvue uraia kwanza. Na kumvua uraia Mange itakuwa scandal kubwa Marekani kwa sababu itaonekana Marekani inaondoka kwenye misingi yake ya kutetea uhuru wa raia wake.
Kwa utamaduni wetu na mifumo yetu ya kimalezi iliyojifungamanisha na mifumo ya kitaifa bado inaweza kumfanya mtu asijiamini sana kama ana uhuru huo katika mataifa ya kigeni kwa sababu hakukulelewa katika utamaduni huo wa uhuru wa kutoa maoni bila kushughulikiwa na uhuru wa mahakama/haki. Hivyo si ajabu kuwaona wanaharakati wetu wakiishi kichawa katika mataifa ya wengine kwa sababu uhuru huo si sehemu ya utamaduni wao wa kimakuzi.
 
Wanaharakati wengine wanaishi kichawa, ila walio Marekani wanamfanyia uchawa Trump sasa hivi.

Mange Kimambi anamuomba sana Trump aingilie Tanzania, bila logical consistency, mpaka anakuwa kama chawa wa Trump.

Mpaka Trump alivyooiga mabomu Nigefia Mange alitaka Trump apige Tanzania pia.

Mfano, Mange ametaka sana Samia afikishwe mahakamani ICC.

Trump hapendi mifumo ya mahakama za kimataifa, na sasa kaiwekea vikwazo ICC.

Lakini Mange kama chawa wa Trump, hutamsikia akikemea Trump kuiwekea vikwazo ICC.

Anaipotezea hiyo habari kwa political expediency ya kuamini kuwa akijenga urafiki na watu wa Trump, wanaweza kumsaidia kumuwajibisha Samia.

Mwanaharakati mwingine anaitwa Tausi Likokola na yeye amezunguka sana kwenye mabunge ya Marekani akiongea mpaka na Seneta Ted Cruz kuhakikisha Tanzania inabanwa na Marekani, hiyo ni haki yake. Wengi watamuunga mkono hapo.

Juzi hapa alikuwa anamsifia Trump kamtumia ujumbe kwenye simu, akisema Rais anatakiwa kuongea moja kwa moja na watu wake. Samia angetuma SMS kuwaeleza watu kakamilisha mradi wa SGR nina hakika Tausi asingefurahia.

Kwa hivyo hawa wanaharakati walio Marekani wanafanya uchawa, ila sasa wamejiongeza wanafanya uchawa kwa Trump.

Hii hapa chini tweet ya Tausi.

Screenshot_20261010_070155_X.jpg
 
Back
Top Bottom