Conspiracy theorist
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 395
- 313
hahahaha umenikumbusha mbali sana !Khanith nini? Amka bongo lala
Halijui hivyo anajua kuanguka ni kuamka tuu na kujikuta taifa limeanguka.....yeye anadhan hao US wao hawaoni mifano ya hao watu wengine ambao wameanguka?Dua ya kuku haimpati mwewe!Unadhani US itakubali mwisho wake ufike kirahisi hivyo?Hakuna mtu anayechukua tahadhari ya kutofilisika kama tajiri.
Tafiti mbali mbali zilizofanywa na US zinaonyesha kuwa ili US aendelee kuwa juu na maslahi yake yabaki kuwa salama basi US hainabudi kuingia vitani ku secure interest zake na its superiority.
TrueMarekani mwisho wao hauko mbali. Hawawezi kucheza michezo hii ya kughiribu akili nyepesi daima. The fall is near
Ingekua dini basi Israel wasingekua marafiki mana Israel dini ya kiyahudi ndo imeshamiri lakini marekani ni Ukristo kwa sana,Kama huijui historian ya middle east kaa kimya, ukisoma historia ya falme ya saudia UTAJUA kuwa kwa nn saudia haekewi vikwazo, KILA KITU KINA SABABU. ALAF JIULIZE KWA NN IZRAIL ANAONA ADUI YAKE MKUBWA NI IRAN?? ATAELEWA HIZI NI SABABU ZA KIDINI AU LA???
Hujui siasa za marekani wewe. By the way tuneshe vita moja hivi karibuni ambayo Marekani hajashiriki, zaidi ya Libya walikokodi mercenaries. Hapo anahamasisha uungwaji mkono. Unakumbuka "The Axis of evil" za Bush?Pole sana unadhani marekani ndiye atapigana hiyo vita?
Ni Middle East allies kina UAE, Saudi, Kuwait etc
Marekani yeye atauza silaha tu
The fall is near.Utasibiri sana
Weewe umeona mpaka Dubai, Saudia Arabia wamefungua maduka ya Nguruwe unafanya masihara nn?Ma-Ayatollah walimchezea sana Obama. Watawekwa sawa tu muda sio mrefu. Huu ujinga unaoitwa ugaidi unaenda kuwa historia.
Acha kabisa Kiongozi. Kweli zama zimebadilika.Weewe umeona mpaka Dubai, Saudia Arabia wamefungua maduka ya Nguruwe unafanya masihara nn?
Kumbe umegundua kibri cha erdogan,na viongozi wa EU wamemlea sana.Nampongeza sana Trump kwa ujasiri mkuu,wakuiondoa US kwenye hii Iran nuclear deal,ilikua ni ujinga kufanya mapatano na mtu anayepiga kelele akitangaza kifo chako na kifo kwa ndugu zako.
Huu sio wakati wa nyoronyoro Obama,bali ni wakati wa kutenda.Akitoka Iran anafuata Uturuki.
Kumbe umegundua kibri cha erdogan,na viongozi wa EU wamemlea sana.
UKISKIA PAAAAA UJUE KIMENUKA, muyahudi jana kachezea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa wajemi, siri hawazitoi, Ndio MAAANA bwana wao tramp anaeka vikwazo Iran hahahahahahahaha