Marekani Yatangaza Vikwazo dhidi ya Iran

Mkuu unatumia vigezo gani kuifananisha Iran na Iraq!!?
Natumia hivyo hivyo mnavyodai kuwa Marekani haiwezi kuipiga Iran. Kama Iran ilimshindwa Iraq kwenye Vita vyao vya miaka8 na Marekani akampa kichapo Iraq ndani ya wiki3 sijui Iran akipiga na Marekani atakuwa katika hali gani.
 
Golan Heights mambo si mambo, Mossad leo hawalali, IDF hawalali leo.
Wanasema kuna irregular activities huko Syria
Cilo za mabomu zimewekwa wazi na alert imetolewa maana lolote laweza tokea
Naona wanafuta sababu ya kumtoa Assad
 
Natumia hivyo hivyo mnavyodai kuwa Marekani haiwezi kuipiga Iran. Kama Iran ilimshindwa Iraq kwenye Vita vyao vya miaka8 na Marekani akampa kichapo Iraq ndani ya wiki3 sijui Iran akipiga na Marekani atakuwa katika hali gani.
Iraq ilipigana na Iran yenyewe kama yenyewe au kwa kusaidiwa na hao hao maraekani na washirika wake!?
au bado ulikuwa mdogo mkuu!
 
Iraq ilipigana na Iran yenyewe kama yenyewe au kwa kusaidiwa na hao hao maraekani na washirika wake!?
au bado ulikuwa mdogo mkuu!
Na Irani alisaidiwa na nani Mkuu au bado ulikuwa unanyonya Mkuu?
 
Nimetamani uendelee na uchambuzi huu
 
Iran itapiga hatua ya kumiliki nuclear weapon very soon. Trump hataweza kuwagusa hao.
Hizi ni ndoto za alnacha mkuu.Iraq na Saddam walikuwa vizuri kuliko Iran Leo wako wapi?
 
Hata Sadaam mlisema hivi hivi kwa kumsikilia yule Comedian Ally Sahaf
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,Ally Sahaf alikuwa na mikwara mbuzi kama yuele msemaji wa JKT Ruvu Masau Bwire.Ila mimi sioni vita hapa kwa sasa,labda uko mbeleni.
 
Sio bure kuna mkono wa Israel na Saudi Arabia, nchi zenye fitina
 
Mzee baba niaje? leo team yako ni ipi,Maana kule kiduku alishaku disappoint. Wewe si mtaalamu wa kuchagua team za kushabikiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaha kiduku tusubiri upepo utabadilika kwenye meza ya mazungumzo!
Hapa kwa Iran nina kuunga mkono vita haita kuwepo labda vikwazo kwanza viwapunguze kwanza nguvu!
baadae wanaweza pigika ila kupigwa kwa sasa hivi taifa teule litapata taabu sana! na ndugu zao Saudi Arabia!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,Haya bana tusubiri
 
Hivi wale team Kiduku mlibadili username au, mjiandae tena kubadili maana kituo cha kijeshi tayari kishaonywa na wayahudi!
 
we mponze mwenzako....aone kitakacho mkuta...
wale ni IRAN siyo ushubwada new york itakuwa unga..
We sifia tu, kosa nisikie unaleta huruma, ''ooo wamemuonea'' sitaki kusikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…