Marekani yamuonya tena Kagame

Marekani yamuonya tena Kagame

Nitajie serikali yoyote dunia hii ambayo haiui watu

Unajua watu washapandikizwa kimarekani na upuuzi wao wenzenu sasa waname wanaruhusiwa kuoana
Ivi ss waafrik lini tutakuja kujiamulia wenyewe kama afrika maamuzi yetu
Tz mnasema kuna amani iko wapi kama si midomo mitupu watu kila siku wanakufa na inamalizwa kimya kimya
Ebu toeni taarifa ya mwandishi wa habari aliekufa na walieusika wanajulikana lkn kimya
Operesheni tokomeza ujangili mwenye taarifa kinachoendelea tujuze
Dr wa muimbili kibogoyo kimya
Wengi sana
Natamani tanzania tungepata raisi kama pk nchi ingenyooka na ufisadi wote wangekufa nyama zao
Mchangiaji au mjf yeyote hapa anayependa ufisadi waseme y. Wasio afiki waseme n.
Kagame njo utuongoze tz
Richmond
Iptl
Bot
Tanesco
Dawasco. Da majanga!!!!
I
 
PK angekuwa rais wetu, Tanzania ingekuwa mbali sana in every aspect
 
Kagame anavyowauwa wenzake akumbuke kuwa nae ataondoka kama wenzake, coz kuna wajanja wanamwinda ipo siku yake

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Rwanda inasonga mbele...security,strong economy,just society, equal opportunity,healthy citizens etc ndio mpango,ila corruption and stupid racist and genocide ideology must die and they will

yada yada yada. shooting journalists, shooting opposition members, jailing the opposition, assasinations of exiled people in foreign countries, ..... yes inasonga mbele!

Lakini let's talk seriously hebu ni PM mnalipwa sh. ngapi nijiunge, nimechoka kubishana na nyie wakati mimi silipwi.
 
Unachekesha wewe,wasalimie kina Bagosora na Kambanda waambie vijana waliowatuma wamesafishwa wote na RPF ,waliobaki wameliwa na simba kwenye misitu ya Congo
 
Kagame anavyowauwa wenzake akumbuke kuwa nae ataondoka kama wenzake, coz kuna wajanja wanamwinda ipo siku yake

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Amemuua nani?taja wawili tuu
 
Unachekesha wewe,wasalimie kina Bagosora na Kambanda waambie vijana waliowatuma wamesafishwa wote na RPF ,waliobaki wameliwa na simba kwenye misitu ya Congo

Poa msalimie big boss andrew mwenda.
 
I know Mwenda and he is very smart fella na haandiki magazeti marefu yaliyojaa garbage kama wewe

Hata mimi nikipewa kama hizi na Kagame i'll be " very smart"! walahi, nitaachana na hizi garbage zangu! LOL

mwenda.png
 
Haa aaahh that debunked doc was all BS fake created and sponsored na wachafuzi kama wewe ,umechelewa sana and don't believe everything you read on the internet...
 
Kagame anachowafanyia wenzie sidhani kama atapenda nayy kimkute.unapomuua baba wa familia kwa ajili ya kutofautiana tu kimatakwa inaktiva huzuni sana.karegeya ana familia na fikiria mpaka Maiti yake imekataliwa kuingizwa Rwanda na Uganda nao wakaambiwa wasiikubali Maiti.sasa je Kagame atapenda wanae na mkewe wafanyiwe hivyo nayeye akifariki.jamaa anajisahau sana.hakumbuki kulikua na Ghadafi na Gbagbo Leo wako wapi?
 
kwa marekani tu amegusa pabaya hajui kuwa hili taifa ni mzee wa kaya wa dunia si dhani kama atavuka miezi mitatu kabla hajashambuliwa na vikosi vya marekani vyenye ndege zisizokuwa na rubani nakuhukumiwa adhabu ya kifo kulingana na aliyoyafanya duniani.Asifikili kunanchi itadhubutu kutoa msaada.
Tatizo mmarekani ana military base yake hapo hapo Rwanda kilimani.ndio maana PK hana abari.
 
Kagame anachowafanyia wenzie sidhani kama atapenda nayy kimkute.unapomuua baba wa familia kwa ajili ya kutofautiana tu kimatakwa inaktiva huzuni sana.karegeya ana familia na fikiria mpaka Maiti yake imekataliwa kuingizwa Rwanda na Uganda nao wakaambiwa wasiikubali Maiti.sasa je Kagame atapenda wanae na mkewe wafanyiwe hivyo nayeye akifariki.jamaa anajisahau sana.hakumbuki kulikua na Ghadafi na Gbagbo Leo wako wapi?
Acha uzushi wewe,uchunguzi unafanywa na South Africa na hawajatoa any report na serikali ya Rwanda imesema haihusiki au ndio kuchafuana tuu kama Kawaida ya bashers and haters wa kagame..MNA tabu sana nyie
 
SIjajua unamaanisha nini PK alisema ni suala la mda wasaliti wote watakufa popote pale walipo halafu wewe unakataa.
 
Haa aaahh that debunked doc was all BS fake created and sponsored na wachafuzi kama wewe ,umechelewa sana and don't believe everything you read on the internet...

lakini huweki source inayo-debunk why? please weka source, otherwise hiyo habari ni valid. P.s na mimi mkinipa i promise nitakuwa najichekesha chekesha kama bosi wako hapo chini.

Mwenda%2Band%2BKagame.jpg
 
He will die like a flies b'se the super power of the world or we can call the watch dog of the world is see each an everything and that dog will dismantle him any time they want!
 
Back
Top Bottom