Marekani yamuonya tena Kagame

Marekani yamuonya tena Kagame

Sijui nani kamuua Karegeya lakini serikali ya Rwanda ilishasema haihusiki,na uchunguzi unaendelea ukiongozwa na South africa,pls give it a chance kabla ya kuanza kulaumu watu kwa vitu ambavyo hamna uhakika,na mnaulaumu sana kagame lakini cha ajabu nchi yake inafanya vizuri sana na ni nchi ambayo haina maliasiri zozote na imetoka katika genocide mbaya sana kutokea katika Historia ya binadamu,the guy is trying and working hard to make Rwanda a better place for everybody na katika watu wanaopinga kwa vitendo politics za hutu vs tutsi ni Kagame na evrything anachofanya kinaonyesha hivyo,Rwanda is almost free of corruption and is the best place for doing business na economy yake inakuwa kwa kasi ya almost 8% for almost 10 yrs sasa,98% ya wananchi wake wana health insurance...kupigana na rushwa na ideology politics ni kitu kigumu sana na lazima utakuwa na maadui wengi sana,semeni mnachosema lakini Kagame ni kiongozi you wish to have na rwanda wanajua hilo,hayo mengine sijui kamuua nani is just pure allegations na hakuna mtu amekuja na proof hata siku moja humu
Unapingana na Rais wa Rwanda; yeye kasema viongozi wenzake wa Rwanda wasipate shida na lawama wanazotupiwa na watu wa nje kwani kuna nchi zimefanya uovu zaidi ya ule unaofanywa na Rwanda kwasababu za kulinda usalama wa taifa. Kwa hilo tamko huitaji hata elimu ya primary kumwelewa alichosema kagame. Halafu kuhusu kufanya vizuri kiuchumi ujue kuwa hakuna kazi rahisi ya uongozi kama kuongoza kidikteta. Ukiwa dicteta ni rahisi mno kujenga uchumi kwa sababu huitaji sana kutumia akili bali vitisho tu. ukiwa na dhamira na ukafanikiwa kuwajaza hofu watu basi dhamira yako ni rahisi kutimizwa kwasababu watu wanafanya kwa kuogopa sana. Ndiomana madikteta wengi Africa hawajafanya vibaya kiuchumi ukiondoa mbumbumbu wachache kama Idd Amin, lakini tukiangalia Gadafi, Hosni, Siad Bare, kamuzu banda, Museven na kagame mwenyewe. Ila trend ya madicteta wengi ni kufanya vizuri mwanzoni lakini kwasababu wanakaa muda mrefu wanajisahau wanaanza kulewa sifa na mwisho wanavuruga nchi zao wanachobaki kufanya ni kudanganya dunia kuwa wameanza kuruhusu demokrasia ili wakubalike manachofanya ni kuiba kura tu. Ndomaana madikteta ndio wanaoongoza kushinda chaguzi kwa kishindo Ukiangalia Marais kama kagame, Gaddafi, Hosni, Saddam hussein, Zenawi na wengineo wanahistoria ya kushinda kwa zaidi 90% hii ni kwasababu watu wanafanya mambo yote anayotaka dicteta kuhofia maisha yao.
 
Kwa data hizi ni kwamba watu wote wanaotofautiana na Kagame mara nyingi wanapatwa na bahati mbaya ya kuuawa, Serikali ya Tanzania sijui imejipanga vipi ili naye Kikwete asije patwa na hii bahati mbaya maana hata yeye amewahi tofautiana na Kagame
Hawezi kumgusa kikwete ndugu yangu. Kagame ana jeuri lakini sio -------- anajua akimuua kikwete basi mungu ndo anayejua kitakachomkuta yeye na vibaraka wake huko rwanda. Anajua kuwa Tanzania ni wagumu wa kuanzisha vita lakini vikianzishwa basi wanajua jinsi ya kudeal na situation. Aliweza kummua rais wa Burundi kwasababu alijua Burundi hawataweza kuipiga Rwanda kirahisi japo wangeamua lolote lingeweza kutokea.
 
Rwanda inasonga mbele...security,strong economy,just society, equal opportunity,healthy citizens etc ndio mpango,ila corruption and stupid racist and genocide ideology must die and they will
Hakuna anayetaka racism, genocide ideology na corruption tatizo ni jinsi mnavyodeal navyo. Hivyo vyote ni sifa mlizonazo: kuhusu racism nyie ndio waumini wakubwa wa racism ndio maana jeshi lenu limejaa watusi wakati mko 15% ya wanyarwanda wote na hata mnapozuia watu kuongelea ukabila ni katika kuficha facts kama hizo kwa lymen wa rwanda. Kuhusu genocide ideology kwanza nyie ndio mlioprovoke genocide kwani mlimuua rais wa kihutu ambaye pamoja na juhudi zake za mda mrefu za kupiga vita ukabila lakini pia alikubali kuwashirikisha kwenye serikali yake hata hivyo hamkuridhika maana mliona ajenda yenu haitatimia mkamuua baada ya hapo mkaendelea na genocide ideology kwa kuua wakimbizi wa kihutu huko kongo mkisingizia mnawasaka interahamwe ambao walikuwa na ideology sawa na yenu, Kuhusu corruption bado mnaabudu corruption ndio maana mnafanya black business kibao huko kongo hasa kunapokuwa na vibaraka wenu wanaojiita banyamulenge. Kinachoumiza zaidi ni kuwa ubinafsi wenu unawaweka rehani wahutu na watusi wasiojua lolote linaloendelea na wala hawana hatia.
 
Another know nothing idiot,Huna idea na unachoandika so keep yapping ushuzi wako ila Rwanda is moving forward for better and getting stronger everyday.
 
kila la heri PK , ila tz tunamsemo "damu ya mtu haiendi bure " so time will tell ! kila kilichofanyika gizani kitakuwa wazi tuu siku moja !
 
Hakuna anayetaka racism, genocide ideology na corruption tatizo ni jinsi mnavyodeal navyo. Hivyo vyote ni sifa mlizonazo: kuhusu racism nyie ndio waumini wakubwa wa racism ndio maana jeshi lenu limejaa watusi wakati mko 15% ya wanyarwanda wote na hata mnapozuia watu kuongelea ukabila ni katika kuficha facts kama hizo kwa lymen wa rwanda. Kuhusu genocide ideology kwanza nyie ndio mlioprovoke genocide kwani mlimuua rais wa kihutu ambaye pamoja na juhudi zake za mda mrefu za kupiga vita ukabila lakini pia alikubali kuwashirikisha kwenye serikali yake hata hivyo hamkuridhika maana mliona ajenda yenu haitatimia mkamuua baada ya hapo mkaendelea na genocide ideology kwa kuua wakimbizi wa kihutu huko kongo mkisingizia mnawasaka interahamwe ambao walikuwa na ideology sawa na yenu, Kuhusu corruption bado mnaabudu corruption ndio maana mnafanya black business kibao huko kongo hasa kunapokuwa na vibaraka wenu wanaojiita banyamulenge. Kinachoumiza zaidi ni kuwa ubinafsi wenu unawaweka rehani wahutu na watusi wasiojua lolote linaloendelea na wala hawana hatia.

mkuu, sijui button ya like imeenda wapi leo, kula like ya manual. Nakukaribisha pia kupitia thread yangu (kama bado hujaipitia) inahusiana sana na vitu ulivyoandika.

https://www.jamiiforums.com/international-forum/580728-uraia-wa-watutsi.html
 
Another know nothing idiot,Huna idea na unachoandika so keep yapping ushuzi wako ila Rwanda is moving forward for better and getting stronger everyday.

mbona unatukana hovyo hovyo kama mtoto wa kike aliyeshikwa na joto la mwili.acha matusi.
 
Nafikiri masuala ya Rwanda yanatumika kuondoa tension ya matatizo tuliyonayo. Wamarekani wana matatizo yao na Kagame kama walivyokuwa am matatizo na Osama baada ya kutofautiana nao.
Matatizo ya Rwanda hayaondoi ukweli kwamba tuna matatizo mengi hapa kwetu. Nchi inapelekwa pabaya sana na hali iliyopo inaweza kusababisha matatizo makubwa kuliko tunayoyataja kuhusu Rwanda.
Naamini kuwa watu wote wana pande mbili (uzuri na ubaya) tatizo linajitokeza pale mabaya yanapozidi mazuri. Uongozi wa Kagame umesifiwa sana na wamarekani, tatizo limeingia baada ya Kagame kuanza kutetea sera ya China na kuhubiri kujitegemea kwa nchi za Africa.
US ina sera ya nje ambayo inaeleweka vizuri: permanent interest not permanent friend or enemy! Kitu gani kinachotuhakikishia kuwa Tanzania itaendelea kuwa na uhusiano mzuri na marekani hata baada ya maliasili tuliyonayo kuisha?
Ukweli ni kwamba US haina upendo kwa watanzania bali Tanzania kutokana na mali tuliyonayo, period! Kama tutawabania wataanzisha vurugu Kama ilivyo nchi nyingine kama DRC, Egypt, Syria, Libya, etc.

Umesema ukweli mkuu,hawa tunaowaita opposition wanaoishi nje maranyingi ---------- na hao wazungu,na case ya karegeya alikua akitumiwa na hao jamaa kupata information za kinteligensiya za rwanda,na mtu kama huyo ni hatari kwa usalama wa nchi,kuna hao akina twagiramungu yeye sha pewa hela za kuja kuleta vurugu rwanda,alijaribu wakati wa uchaguzi akashindwa,kingine hawa wamarekani hawataki kuungana kwa nchi za afrika,sasa hizi kampeni niza kuvunja EAC wamefanikiwa kuitenga tanzania,sasa angalia vita south sudani ni wao wanao leta vurugu kwani kirr alikua anataka kujiunga EAC,tutegemee mengi kwani hivi kikwete ndiye anatumiwa kuivunja EAC.
 
Hawezi kumgusa kikwete ndugu yangu. Kagame ana jeuri lakini sio -------- anajua akimuua kikwete basi mungu ndo anayejua kitakachomkuta yeye na vibaraka wake huko rwanda. Anajua kuwa Tanzania ni wagumu wa kuanzisha vita lakini vikianzishwa basi wanajua jinsi ya kudeal na situation. Aliweza kummua rais wa Burundi kwasababu alijua Burundi hawataweza kuipiga Rwanda kirahisi japo wangeamua lolote lingeweza kutokea.

Nani anamtafuta kikwete? mbona wasiwasi umewajaa? tulieni rwanda wanamambo yamuhimu wanayojaribu kuyatatua kwa manufaa ya wanachi,hayo ya kikwete hayawezi kupotezea muda wanyarwanda,lakini ninacho jua Mungu ataadhibu watu wote wanao taka na kupanga maovu dhidi ya rwanda na PK.
 
Damu yake italambwa na Mbwa atakufa kifo cha aibu maana damu za watu wengi zinamlilia.
 
Wishful thinking...keep on dreaming.

Hebu click hapo chini uone raisi wangu yuko wapi...Yuko davos na viongozi wa dunia..

Flickr: Paul Kagame's Photostream

Raisi wenu nasikia yuko dodoma anafanya mazungumzo na mmoja wa maadui wa serikali ya Rwanda. Huo ndio ujirani mwema!!!!!

Time will tell
 
Mukamasimba, Murutongole na Koba nafikiri wana matatizo ya kufikiri au wamelewa propaganda za RPF. Mi nitawasubiri pale Rusumo 2017, kama mtafika salama!
 
Umesema ukweli mkuu,hawa tunaowaita opposition wanaoishi nje maranyingi ---------- na hao wazungu,na case ya karegeya alikua akitumiwa na hao jamaa kupata information za kinteligensiya za rwanda,na mtu kama huyo ni hatari kwa usalama wa nchi,kuna hao akina twagiramungu yeye sha pewa hela za kuja kuleta vurugu rwanda,alijaribu wakati wa uchaguzi akashindwa,kingine hawa wamarekani hawataki kuungana kwa nchi za afrika,sasa hizi kampeni niza kuvunja EAC wamefanikiwa kuitenga tanzania,sasa angalia vita south sudani ni wao wanao leta vurugu kwani kirr alikua anataka kujiunga EAC,tutegemee mengi kwani hivi kikwete ndiye anatumiwa kuivunja EAC.

Vip opposition wanaoishi ndani kina Ingabire mumewafanyaje!!!? Dictator Kagame mtamchukia muda si mrefu na atauliwa na mke wake. Mara hii umesahau Kagame na wengine kama kina Mseven wote walikua opposition wanaoishi nje na waliotumiwa na Marekani hiyo hiyo unayotaka kuiponda! Akili yenu ndogo sana
 
As long as he's doing a lot of good for his country, I really don't care about huo ukabila. Ninyi msiokuwa na ukabila mko wapi?

Jema lipi nawafanyia wanyarwanda?, fyi ananeemeka yeye zaidi na familia yake, wananchi wengi wanaogelea katika umaskini uliokithiri.:A S 27:
 
Wishful thinking...keep on dreaming.

Hebu click hapo chini uone raisi wangu yuko wapi...Yuko davos na viongozi wa dunia..

Flickr: Paul Kagame's Photostream

Raisi wenu nasikia yuko dodoma anafanya mazungumzo na mmoja wa maadui wa serikali ya Rwanda. Huo ndio ujirani mwema!!!!!

Time will tell

wrong jk yuko switzland kwenye international forum, na kuhusu hio issue ya dodoma kama ni kweli pia siyo dhambi kutokana na historia yetu,viongozi wengi wa upinzani wa nchi mbalimbali walishatembelea au kuishi tanzania mfano laurent kabila congo,yoweri museveni uganda,mhe nkuranziza, etc
 
Mukamasimba, Murutongole na Koba nafikiri wana matatizo ya kufikiri au wamelewa propaganda za RPF. Mi nitawasubiri pale Rusumo 2017, kama mtafika salama!
Haaaa haaa aaaahh...utasubiri sana mshamba wewe,sana sana soon or later wewe na mkeo ndio mtajikuta hapo rusumo mmepanga Foleni kuingia Rwanda kutafuta Kazi za kubeba box
 
Back
Top Bottom