Marekani yamuonya tena Kagame

Marekani yamuonya tena Kagame

Mkuu maisha ya wanyaruanda yapo mikononi mwa Mungu!huyu PK aende kuzimu na Rwanda itabaki salama!

Mazingira atakayoicha iacha RWANDA yatakuwa maBAYA sana! 7bu walithi wake wataendeleza hiyo ya kubaguana na Huenda ikawa mbaya zaidi ya ilivyo sasa hao waHUTU watavumilia bt iko cku watakinukisha2! Humu DUNIANI hakuna mnyonge wa MILELE,,,!
 
Tanzania hatupashwi kuwa na ushirikiano na huyu Kagame ambaye ni muuaji mkubwa wa binadamu wenzake. Ushirikiano wetu na huyu mtu kwa sasa lazima uchukuliwe kwa tahadhari kubwa. I will hate this Man (Monkey) forever.

Sijui nani kamuua Karegeya lakini serikali ya Rwanda ilishasema haihusiki,na uchunguzi unaendelea ukiongozwa na South africa,pls give it a chance kabla ya kuanza kulaumu watu kwa vitu ambavyo hamna uhakika,na mnaulaumu sana kagame lakini cha ajabu nchi yake inafanya vizuri sana na ni nchi ambayo haina maliasiri zozote na imetoka katika genocide mbaya sana kutokea katika Historia ya binadamu,the guy is trying and working hard to make Rwanda a better place for everybody na katika watu wanaopinga kwa vitendo politics za hutu vs tutsi ni Kagame na evrything anachofanya kinaonyesha hivyo,Rwanda is almost free of corruption and is the best place for doing business na economy yake inakuwa kwa kasi ya almost 8% for almost 10 yrs sasa,98% ya wananchi wake wana health insurance...kupigana na rushwa na ideology politics ni kitu kigumu sana na lazima utakuwa na maadui wengi sana,semeni mnachosema lakini Kagame ni kiongozi you wish to have na rwanda wanajua hilo,hayo mengine sijui kamuua nani is just pure allegations na hakuna mtu amekuja na proof hata siku moja humu
 
Rwanda imeendelea kwa sababu ya wizi wa mali ya wacongoman! Hakuna anetamani kuwa na kiongozi muuwaji kama Kagame. Ametesa sana watu wa Congo!
 
Uliwahi kuishi Rwanda au unatoa Mawazo yako kwa kufikirika lkn huna uhakika na ulichokiandika mkuu.
Rwanda hakuna ukabila kwa sasa . na ukitaka ukimbizwe Rwanda nenda huko uanze kuuliza eti wewe kabila gani.
Hata baada tu ya vita, miaka miwili baada ya vita nilikuwa Rwanda . hivyo naongea kwa uhakika.
Nilikuwa Nyamirambo, baadae kachikilo(handiwork hivyo) ,na mwisho niliishi Butale matyazo avenue.usije ukazungumza ukabila kule.

Acha uongo uliokubuhu! wahutu wanatengwa kwenye serikali, kagame anawafunga wapinzani wake hafu unadai ukqbila hakunq au kwakuwa ulikuwa kwenye maeneo wanayoishi watutsi! Leo nimemsikia Museveni akijitetea eti ingawa amezeeka bado akili yake inauwezo mkubwa na Uganda ingali inamuhitaji! Mi nasema it's a matter if time mtaona hizo zitakavyorudi kwenye machafuko
 
huyu jamaa atakuja kufa kifo kibaya sana!

Kwa data hizi ni kwamba watu wote wanaotofautiana na Kagame mara nyingi wanapatwa na bahati mbaya ya kuuawa, Serikali ya Tanzania sijui imejipanga vipi ili naye Kikwete asije patwa na hii bahati mbaya maana hata yeye amewahi tofautiana na Kagame
 
As long as he's doing a lot of good for his country, I really don't care about huo ukabila. Ninyi msiokuwa na ukabila mko wapi?


Huo uzuri wa kazi yake ni nini kama ni kweli anaua wanachi wake sasa anaowajengea Rwanda ni akina nani?
 
NA MWANDISHI WETU

"Tuna wasiwasi na mfululizo wa mauaji ya wanasiasa maarufu nchini Rwanda," alisema Psaki.

"We are troubled by the succession of what appear to be politically motivated murders of prominent Rwandan exiles."

"Tunatatizwa na mfululizo wa kinachoonekana kuwa ni mauaji yenye msukumo wa kisiasa ya wakimbizi maarufu wa Rwanda.
"

Sio tuna wasiwasi na mauaji ya wanasiasa maarufu.
Big difference ndugu mhariri, big difference.
 
Huyu kikaragosi ana falsafa za kidikteta, ndio maana uvumi wa kifo chake ulishangiliwa na watu wengi kwa maandamano
 
Nafikiri masuala ya Rwanda yanatumika kuondoa tension ya matatizo tuliyonayo. Wamarekani wana matatizo yao na Kagame kama walivyokuwa am matatizo na Osama baada ya kutofautiana nao.
Matatizo ya Rwanda hayaondoi ukweli kwamba tuna matatizo mengi hapa kwetu. Nchi inapelekwa pabaya sana na hali iliyopo inaweza kusababisha matatizo makubwa kuliko tunayoyataja kuhusu Rwanda.
Naamini kuwa watu wote wana pande mbili (uzuri na ubaya) tatizo linajitokeza pale mabaya yanapozidi mazuri. Uongozi wa Kagame umesifiwa sana na wamarekani, tatizo limeingia baada ya Kagame kuanza kutetea sera ya China na kuhubiri kujitegemea kwa nchi za Africa.
US ina sera ya nje ambayo inaeleweka vizuri: permanent interest not permanent friend or enemy! Kitu gani kinachotuhakikishia kuwa Tanzania itaendelea kuwa na uhusiano mzuri na marekani hata baada ya maliasili tuliyonayo kuisha?
Ukweli ni kwamba US haina upendo kwa watanzania bali Tanzania kutokana na mali tuliyonayo, period! Kama tutawabania wataanzisha vurugu Kama ilivyo nchi nyingine kama DRC, Egypt, Syria, Libya, etc.
 
Thinking is one thing, and what may come is quite the other. Siku zote unachopanda ndio utakachovuna. Watu hawawezi kuendelea kuwa wajinga siku zote. If you terrorize people it is very possible that they may take action, and that does not mean just fine.
In Africa you have to rule by fear, and if possible, terrorize and bamboozle both your followers and opponents in order to get the house in order and earn maximum respect. That's what PK is doing. I give him a lot of credit for a good job he has done thus far.
 
Ukiondoa ujinga wake wa kupenda vita, PK ni kiongozi mzuri. Rwanda hakuna corruption wala ujinga ujinga. Go PK


Umewahi kuona gazeti linalotoka rwanda likiongelea mapungufu ya Kagame? Kama hakuna uhuruwa vyombo vya habari ni vigumu kujua uzuri wake.
 
Nothing good can justify butchering your fellow human beings the way Kagame is doing, Kagame is a disgrace
 
In Africa you have to rule by fear, and if possible, terrorize and bamboozle both your followers and opponents in order to get the house in order and earn maximum respect. That's what PK is doing. I give him a lot of credit for a good job he has done thus far.

kwa hiyo kwako iddi amin, bokasa, mobutu....ndio viongozi poa, akina khama (botswana) mapoyoyo tu au vipi?
 
"Critical journalists are not tolerated in Rwanda, CPJ research shows. Since April 2010, six journalists fearing intimidation and arrests have fled in exile, according to CPJ research. Two Rwandan journalists, Agnès Uwimana and Saidati Mukakibibi, currently face lengthy prison sentences for charges that include insulting President Paul Kagame."

Ingabire is the second Rwandan journalist killed in less than two years, according to CPJ research. In June last year, former deputy editor of Umuvugizi, Jean-Léonard Rugambage, was shot as he drove home in Kigali.

source:Rwandan online journalist killed in Kampala - Committee to Protect Journalists

vyombo vyote vya habari Rwanda lazima viamuabudu kagame
 
kwa hiyo kwako iddi amin, bokasa, mobutu....ndio viongozi poa, akina khama (botswana) mapoyoyo tu au vipi?

Rwanda inasonga mbele...security,strong economy,just society, equal opportunity,healthy citizens etc ndio mpango,ila corruption and stupid racist and genocide ideology must die and they will
 
Back
Top Bottom