Marekani yamuonya tena Kagame

Marekani yamuonya tena Kagame

Jema lipi nawafanyia wanyarwanda?, fyi ananeemeka yeye zaidi na familia yake, wananchi wengi wanaogelea katika umaskini uliokithiri.:A S 27:
Kagame is hero for many and not for only Rwandese,his country is almost free of corruptions,the guy has integrity to fight mafisadi and poverty na matokeo yanaonekana,pls stop the ---- na akili zako za panzi
 
Mukamasimba, Murutongole na Koba nafikiri wana matatizo ya kufikiri au wamelewa propaganda za RPF. Mi nitawasubiri pale Rusumo 2017, kama mtafika salama!

hahahaha....utasubiri sana. Hilo nakuhakikishia halitakaa litokee tena.
 
Haaaa haaa aaaahh...utasubiri sana mshamba wewe,sana sana soon or later wewe na mkeo ndio mtajikuta hapo rusumo mmepanga Foleni kuingia Rwanda kutafuta Kazi za kubeba box

hahaha unafikiri wanaweza kimbilia rwanda? nakwambia break wataikamatia south afrika kwa basha mkuu zuma,na huo ndio utakua mwisho wa jk na CCM yake.
 
Another know nothing idiot,Huna idea na unachoandika so keep yapping ushuzi wako ila Rwanda is moving forward for better and getting stronger everyday.

kuna hii dhana inayojengeka hapa jf inayosema eti rwanda kuna maendeleo kuliko tz, imebidi niingie kwenye net ku check cia economy factbook ili ni compare rwanda na tz cha ajabu tz iko mbali sana ukilinganisha na rwd, kwa mfano mwaka 2012 per capital income tz ni usd 1700 wakati rwd ni 660, percent ya pop below povert line tz ni 32 wakati rwanda ni 55, na kwa common sense watu wa rwanda ndiyo wanaotoroka kwao kuja tz na siyo wa tz kwenda rwanda hii inamanisha nini!!!haya majivuni kwamba rwanda inamaendeleo kuliko tz yanatoka wapi!!!!!
 
the economy of rwanda is being builty on the basis of theft and plunder of congo drc resources,hata pipi wanazopeleka nje ya nchi hakuna,
 
the economy of rwanda is being builty on the basis of theft and plunder of congo drc resources,hata pipi wanazopeleka nje ya nchi hakuna,

Huna facts please angalia contribution ya madini katika uchumi rwandi ndio uone kuandika uongo wako.
 
Ni madini mnayoiba kongo,no serious investor in mining will ever think of rwanda
 
kuna hii dhana inayojengeka hapa jf inayosema eti rwanda kuna maendeleo kuliko tz, imebidi niingie kwenye net ku check cia economy factbook ili ni compare rwanda na tz cha ajabu tz iko mbali sana ukilinganisha na rwd, kwa mfano mwaka 2012 per capital income tz ni usd 1700 wakati rwd ni 660, percent ya pop below povert line tz ni 32 wakati rwanda ni 55, na kwa common sense watu wa rwanda ndiyo wanaotoroka kwao kuja tz na siyo wa tz kwenda rwanda hii inamanisha nini!!!haya majivuni kwamba rwanda inamaendeleo kuliko tz yanatoka wapi!!!!!

I Think JF Ni Kijiwe......Sometimes Yes,Sometimes No.....
 
kuna hii dhana inayojengeka hapa jf inayosema eti rwanda kuna maendeleo kuliko tz, imebidi niingie kwenye net ku check cia economy factbook ili ni compare rwanda na tz cha ajabu tz iko mbali sana ukilinganisha na rwd, kwa mfano mwaka 2012 per capital income tz ni usd 1700 wakati rwd ni 660, percent ya pop below povert line tz ni 32 wakati rwanda ni 55, na kwa common sense watu wa rwanda ndiyo wanaotoroka kwao kuja tz na siyo wa tz kwenda rwanda hii inamanisha nini!!!haya majivuni kwamba rwanda inamaendeleo kuliko tz yanatoka wapi!!!!!

Nyie wenye miaka 50+ ya uhuru mko wapi? Unajua in 1960 uchumi wenu ulikuwa unalingana na nchi gani? South Korea. Sasa mnaweza kujilinganisha na South Korea...naaaaaaah....I'm sure hiyo simu uliyo nayo mkononi imetoka South Korea....nyie kazi yenu ni kuuza korosho india tu...nyambafu
 
Ni madini mnayoiba kongo,no serious investor in mining will ever think of rwanda

Ondoa hizo fikira kwamba madini ndiyo yanayo jenga uchumi kama hivyo badi congo ingekua USA,lakini mpaka leo ni masikini,ninachotaka kukuambia hata uwe na nini uchumi unapanda kutokana na good governance,hapo hutaona corruption,wizi wa mali ya uma tena mapato yote yanakusanywa bila wizi,na hilo rwanda ni champion,sasa watanzania kwa sababu utajiri wenu uko based on corruption na wizi ndio maana mnafikiri kukua kwa uchumi wa rwanda unatokana na wizi wa madini.
 
Rwanda inaiba madini kongo ndio ije ifanye good governance?you govern something you obtain through theft and plunder!!!what a joke!! Plunderind is an advanced stage ya corruption which you rwandans practice at kongo,you produce nothing in industries for a person to buy in east or central africa,ask yourself
 
jk huyo kaitwa na obama.wanachoenda ongea mimi nawe hatujui. Lets wait and see!
 
hio ni outlook tu, na inawezekana wanabehave hivyo kwa kuwa wamekaririshwa na wameonywa? Ila mie hapa Tz nipo huru kusema mimi ni Mzaramo, mnyiramba, mkurya and wala nisiulizwe kitu and itz fine na poa na nikajichanganya bila wasiwasi, je ni sawa na Rwanda ya leo inatoka moyoni kweli? wanaogopa kuchapwa hao na mikono ya damu ya Pk
Uliwahi kuishi Rwanda au unatoa Mawazo yako kwa kufikirika lkn huna uhakika na ulichokiandika mkuu.
Rwanda hakuna ukabila kwa sasa . na ukitaka ukimbizwe Rwanda nenda huko uanze kuuliza eti wewe kabila gani.
Hata baada tu ya vita, miaka miwili baada ya vita nilikuwa Rwanda . hivyo naongea kwa uhakika.
Nilikuwa Nyamirambo, baadae kachikilo(handiwork hivyo) ,na mwisho niliishi Butale matyazo avenue.usije ukazungumza ukabila kule.
 
PK anawezekana tu! M23 wapo wapi? nasikia wanajikusanya tena, PK anahasira askari wake zaidi 2000 waliuwawa on one night hadi M23 wakanyoosha mikono, subiri zamu hii atapigwa hadi Kigali,unajua kwa nini ex-pm wa Rwanda is in Dar?
Usisahau na kabila,but haeata muweza pk ni smart person.
 
tupo peace sana, hakuna askari wetu hata mmoja anayeshinda barabarani analinda, looooh, jamani askari wa Rwanda hata mvua ikinyesha ananyeshewa analinda hajikingi hata mvua, heri kuwa maskini lakini una amani
Jibu swali uloulizwa..."nyie msiokuwa na ukabila mko wapi?" sio kuharisha maneno tu yasio kuwa na msingi. Nyambafu.
 
Back
Top Bottom