Marekani yajitoa rasmi WHO

Marekani yajitoa rasmi WHO

Hapana, huo ni uamuzi wa Trump tu; bunge halikuhisiki. Rais pekee ndiye ana mamlaka ya kuamua mambo yote ya nje ya nchi.

Watanzania tuna ugonjwa wa kuamini kuwa Tanzania ndio tunaofanya hovyo tu mpaka tunajitungia mambo ya kuhalalisha ugonjwa huo.
1.Trump katangaza nia kuiondoa Marekani WHO. Hajaiondoa Marekani WHO.

2. Mchakato ni lazima upitishwe na bunge.

3. Mchakato unatumia takriban mwaka mmoja na kama Trump akishindwa uchaguzi November 2020, rais ajaye most likely atakuwa Joe Biden ambaye atausimamisha mchakato.
 
Mpinzani wake katangaza akishinda anairudisha marekani who siku yake ya kwanza ofisini
Huyo hafai kushinda asee inatakiwa tuombe sana kwa MUNGU yule Bwana DT ashinde ushindi wakishindo kabisa

Maana ndie pekee anaeweza kuipeleka US kule tupatakapo[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ushahidi gani unataka?
Unajua siku zote mtu ambae ataki unafiki lazima awekewe vikwazo. Few days back Trum na serikali yake waliishutumu china kwamba walificha number halali ya vifo vya wagonjwa wa korona watu wakasema marekani anawasmgizia kwasababu hakukua na ushahidi, But kabla hata ya siku kubadilika china wakatangaz vifo 1000 kwamba vilisahaulika. So unaeza ona kwamba US kabla ajasema kitu anakua na uhakika nacho, wait WHO watakuja na jipya lakuombea msamaha
 
twende kwahoja US alijitoa WHO kwasababu zipi ambazo zakitaalam lkn sio blaa blaaa...
Ebu tumalize kwanza hoja ya awali ya kwamba China achangie gap litakaloachwa na US iwapo atajitoa ili kuepusha anachokisema hali mbaya kwa nchi maskini sababu ya kukosekana kwa mchango wa US.
 
Kwan kunasehemu UCHINA alisema yakwamba atachangia pesa endapo US itajitoa katika mashirika yakikataifa ikiwemo WHO ?!
 
Sifahamu kama Kuna aliposema hivyo, na kwani pia kunasehemu china alisema kuwa US akijitoa WHO yeye mchina atalialia kuwa hatua hiyo ni mbaya na itaathiri nchi masikini?!
 
naam

Awali wakati US aliposema kama anataka kujitoa WHO wale UCHINA walionya juu ya suala hilo.....
 
Huyu Trump ni kichaa, na hatarudi tena! Suluisho si kujitoa bali ku push better reforms! Atapigwa chini November

Lakini tusisahau kwamba pamoja na majigambo ya Trump na pilitical rhetoric zake, deep down ni mtu mwenye kupenda amani - Dunia imesalimika kutiingia kwenye WW3 kutokana na busara Trump za kuto support masuala ya vita vita, kama angelikuwa weak kiuongozi, basi war mongers kama kina Bolton, Pompeo na Pence wangelimwendesha puta Trump ndani ya term yake ya kwanza angevamia Korea Kasikazini,Iran, Syria na Venezuela lakini hakufanya hivyo licha ya shinikizo la Bolton mwisho wa siku Bolton akajijuta anatimuliwa kazi unceremonously - hii inadhikusha jwamba Trump pamoja na mapungufu yake ya hapa na pale kama binadamu wengine lakini ni mtu mwenye msimamo huluka yake ndiyo imesaidia Dunia ibaki na amani bila ya kuanzisha WW3. Kama Hillary Clinton angeshinda kiti cha Urais alishapanga kuiangamiza Urusi kwa kushtukiza kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Majenerali walikuwa wana support ukichaa wa Bi Clinton wakasshau kabisa kwamba kama ujinga huo ungetekelezwa basi USA ingevurumishiwa maelfu ya Tzar La Bomba mpaka US land mass ikawa bombed back to stone age making sure it will never rise again kuwa tishio la amani Duniani.f
 
Ebu tumalize kwanza hoja ya awali ya kwamba China achangie gap litakaloachwa na US iwapo atajitoa ili kuepusha anachokisema hali mbaya kwa nchi maskini sababu ya kukosekana kwa mchango wa US.
Mbona umewakomalia wachina. Hawana huo msuli nakwambia
 
1.Trump katangaza nia kuiondoa Marekani WHO. Hajaiondoa Marekani WHO.

2. Mchakato ni lazima upitishwe na bunge.

3. Mchakato unatumia takriban mwaka mmoja na kama Trump akishindwa uchaguzi November 2020, rais ajaye most likely atakuwa Joe Biden ambaye atausimamisha mchakato.
Hakuna mchakato wowote wa bunge kuhusu nchi kujitoa kwenye WHO; Trump-the attention seeker-anataka kuhamisha lawama tu.
 
Trump Administration Signals Formal Withdrawal From W.H.O.

By Katie Rogers and Apoorva Mandavilli

July 7, 2020

WASHINGTON — The Trump administration has formally notified the United Nations that the United States will withdraw from the World Health Organization, a move that would cut off one of the largest sources of funding from the premier global health organization in the middle of a pandemic.
“The United States’ notice of withdrawal, effective July 6, 2021, has been submitted to the U.N. secretary general, who is the depository for the W.H.O.,” a senior administration official said on Tuesday.
The departure would take effect sometime next year, should the United States meet established conditions of giving a one-year notice and fulfilling its current financial obligations, Stéphane Dujarric, a spokesman for the secretary general, António Guterres, said on Tuesday.

The notification completes a threat that President Trump began making months ago, as the death toll from the coronavirus in the United States mounted and Mr. Trump sought to blame the Chinese government for not doing enough to stop the spread of the disease. Mr. Trump has accused Beijing of hiding the true scope of infections from the W.H.O., targeting the agency in the process.

Congress must stop Trump from withdrawing from the WHO

On Monday night, President Trump sent an official notification to United Nations Secretary-General António Guterres of U.S. withdrawal from the World Health Organization (WHO). His letter coincided with the highest ever global spike in COVID-19 cases over the 4th of July weekend, when thirteen U.S. states also reported record-setting new cases.
If the U.S. withdraws from WHO, it would be among the more ruinous presidential decisions in recent history.

The president is not free to act unilaterally. His order requires congressional approval and cannot take place for a year. Congress, the courts, and the public all have the power to stop a reckless decision detrimental to our national interests.

We have joined more than 750 leaders in academia, science and law urging Congress to act. COVID-19 demonstrates how deeply our security is connected to outbreaks in other countries. It is folly to imagine that the U.S. can disengage from the international fight against COVID-19 while also reopening a globally integrated economy. This is even before we consider the ethics of cutting funding for lifesaving work on everything from AIDS, Ebola and polio to mental health and heart disease.
Let's start with what WHO is doing to respond to COVID-19. U.S. national security depends on WHO's coordinated disease surveillance, research, and emergency response. WHO is distributing life-saving personal protective equipment and millions of test kits to 135 countries, conducting "solidarity trials" for a COVID-19 vaccine joined by more than 100 countries, launching the "Partners Platform" for real-time tracking of the virus, and leading the "ACT Accelerator" for new COVID-19 diagnostics, therapeutics and vaccines. The WHO also deploys the Global Outbreak Alert and Response Network (GOARN) with more than 100 emergency medical teams responding to disease outbreaks worldwide. Beyond COVID-19, WHO runs the Global Influenza Surveillance and Response System (GISRS), which is the linchpin for seasonal flu vaccines. By withdrawing, the U.S. would be on the outside looking in as the world responds to an unprecedented pandemic.
 
Hamna mchakato wowote; attention seeker anatafuta namna ya kudivert lawama tu. Ana unlimited power kuhusu foreign policy bila kuingiliwa na Congress, lakini hili la WHO na organs zote za UN siyo swala la foreign policy bali linahusu treaties. nchi inaingia kwenye treaties iwapo super majority ya Senate na President wanakubali, lakini utaratibu wa kuvunja treaty iliyopo ni mgumu sana kuliko hata super majority ya senate; congress haihusiki kabisa. Jamaa wakati mwingine hupenda kujitwisha mziogo asiouweza ili aonekane kwa wafuasi wake kuwa ana uwezo. Jana nimesikia akisema atawalazimisha magavana wafungue shule wakati hana mamlaka hayo.
 
Narudia tena nukuu kama hujasoma.

"The president is not free to act unilaterally. His order requires congressional approval and cannot take place for a year. Congress, the courts, and the public all have the power to stop a reckless decision detrimental to our national interests."
 
Soma constitution; congress haina mkono wowote kuhusu nchi kuingia au kujitoa kwenye treaties zozote zile. Ila iwapo nchi iko kwenye treaty fulani, Congress itaidhinisha fedha kwa matumizi yatokanayo na obligation za nchi kwenye treaty ile. Rais akitumia vibaya pesa hizo ndipo atakapopambana na mkono wa Congress. Kuna vipengele kadhaa vinavyohitajiwa katika kuvunja treaty yoyote ile; na ni jambo ambalo linafanya na Preseident na Senate tu, lakini demands zake ni kubwa kuliko Trump anavyodhani . Mahakama zinakuja kuingia tu iwapo kuna mtu au organ yoyote itakayolalamika kuwa rais pamoja na Senate wamevunja katiba
 
Trump anaweza kuiondoa Marekani WHO bila idhini ya Congress lakini kwa notisi ya miezi 12 kulingana na azimio lililopitishwa na Congress mwaka 1948.

Kilichopo sasa si "official withdraw" bali ni mchakato wa kuelekea huko.
 
Hii si habari ya treaty tu, treaty rais anaweza kuiondoa US bila congressional approval. Kwa mujibu wa katiba ya Marekani. Ingawa hata hili nalo lina mjadala (soma link hapo chini)

Hapo sharti la kujitoa, walilojiwekea Wamarekani wenyewe, ni kulipa dues zote kabla ya kujitoa, ambazo rais hawezi kulipa bila congressional approval, na hapo ndipo watakapomdaka.

Trump anaweza kutengeneza constitutional crisis ambapo Congress inatengeneza bill mpya kuzuia US isiondolewe WHO, na rais ana veto bill.

Hapo US itaendelea kuwa member tu WHO.

Trump’s Empty “Withdrawal” from the World Health Organization - Just Security
 
naam

Awali wakati US aliposema kama anataka kujitoa WHO wale UCHINA walionya juu ya suala hilo.....
Yap, alilialia baada ya US kusema nia yake ya kujiondoa, na sasa anaendelea kulialia kila US akiendelea kuchukua hatua za kutekeleza nia yake, je kabla ya US kusema chochote mchina alishawahi kusema atalialia siku US akitaka kujitoa WHO?
 
Lakini tusisahau kwamba pamoja na majigambo ya Trump na pilitical rhetoric zake, deep down ni mtu mwenye kupenda amani - Dunia imesalimika kutiingia kwenye WW3 kutokana na busara Trump za kuto support masuala ya vita vita, kama angelikuwa weak kiuongozi, basi war mongers kama kina Bolton, Pompeo na Pence wangelimwendesha puta Trump ndani ya term yake ya kwanza angevamia Korea Kasikazini,Iran, Syria na Venezuela lakini hakufanya hivyo licha ya shinikizo la Bolton mwisho wa siku Bolton akajijuta anatimuliwa kazi unceremonously - hii inadhikusha jwamba Trump pamoja na mapungufu yake ya hapa na pale kama binadamu wengine lakini ni mtu mwenye msimamo huluka yake ndiyo imesaidia Dunia ibaki na amani bila ya kuanzisha WW3. Kama Hillary Clinton angeshinda kiti cha Urais alishapanga kuiangamiza Urusi kwa kushtukiza kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Majenerali walikuwa wana support ukichaa wa Bi Clinton wakasshau kabisa kwamba kama ujinga huo ungetekelezwa basi USA ingevurumishiwa maelfu ya Tzar La Bomba mpaka US land mass ikawa bombed back to stone age making sure it will never rise again kuwa tishio la amani Duniani.f
Bwana Utam soma hiyo
 
Back
Top Bottom