Marekani yajitoa rasmi WHO

Marekani yajitoa rasmi WHO

kuna faida gani kuwa WHO, kwani ni hospitali ile au ni maabara ya dunia au pharmacy ya dunia ile?!
 
Wee jamaa unapenda sana kukurupuka ujue kaahUwe unampiga msasa huyo jamaa yako kabla hujamwambia aje achangie hapa anakaa anakurupuka kurupuka tu kwakila jambo bila kujua
Two third majority in Congress can overturn the decision of the president. So, please take note of that.
 
Rais ndiye ana uwezo wa kiveto.
Chochote kikitoka Congress kinaensa Senate ambayo mhusika ni Republican
Lkn maamuzi yake yanaweza kubatilishwa na thuluthi mbili ya wabunge wa Congress..
 
China ikifika kwenye kuchangia inajiweka third world ila kwenye masuala ya biashara inajiweka first world..

Kwenye hili suala la Corona WHO walikosea kupanga namna ya kupambana na Virusi matokeo vikasambaa dunia nzima.Acha Marekani akae pembeni tuone ukubwa wa China.
jamaa ni wanyonyaji kweli kweli

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom