Marekani yajitoa rasmi WHO

Marekani yajitoa rasmi WHO

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Marekani imetangaza rasmi kujitenga na Shirika la Afya Duniani, WHO. Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akililaumu shirika hilo kwa kushindwa kudhibiti CoronaVirus

Mei 29, Rais Trump alitangaza nia yake ya kujitenga na shirika hilo, lakini WHO walikuwa wanatumaini kuwa hatua hiyo ingeweza kuepukwa

Lawama za Rais Trump dhidi ya WHO ni kuhusu kupuuza taarifa za awali za COVID19 ulipoanza kuibuka nchini China Decemba 2019

Wataalamu wengine wa Afya wamesema wataendelea kuongea na viongozi wa WHO kuhusu namna mbali mbali z kukabiliana na janga hilo

====

The United States has officially withdrawn from the World Health Organization, lawmakers announced on Tuesday, more than a month after President Donald Trump announced his intention to do so for WHO’s alleged failure in responding to coronavirus.

“Congress received notification that POTUS officially withdrew the U.S. from the WHO in the midst of a pandemic,” U.S. Senator Bob Menendez, a Democrat from New Jersey, said on Twitter. “To call Trump’s response to COVID chaotic and incoherent doesn’t do it justice.”

Trump announced his intention to terminate the U.S. relationship with WHO on May 29, but the agency expressed hope that such a move could be avoided. “The [U.S.] has been a longstanding and generous friend to WHO and we hope it will continue to be so,” WHO chief Tedros Adhanom said earlier this year.

Trump has long criticized the international health organization for its response to the coronavirus outbreak, which began in the Chinese city of Wuhan in late 2019. It has since spread around the world, killing nearly 540,000 people.

“Chinese officials ignored their reporting obligations to the World Health Organization and pressured the World Health Organization to mislead the world when the virus was first discovered by Chinese authorities,” Trump said on May 29. China and WHO have denied those allegations.

“Countless lives have been taken, and profound economic hardship has been inflicted all around the globe. They strongly recommended against me doing the early ban from China, but I did it anyway and was proven to be 100 percent correct,” Trump said at the time.

“We have detailed the reforms that it must make and engage with them directly, but they have refused to act,” he said, adding that U.S. funds for the World Health Organization will be redirected to other worldwide and urgent public health needs.
 
Huyu Trump ni kichaa, na hatarudi tena! Suluisho si kujitoa bali ku push better reforms! Atapigwa chini November
 
Jamaa kafulia ,
halafu kaipata sababu
Kaitumia,
Trump hajui kuongoza, ila muda wote huwa anataka kuwa na mtu/kitu cha kulaumu. Tangu aingine madarakani, amelaumu kila kitu; sasa hivi janga la korona limemshinda kukabili, anaona alaumu China na WHO badala ya kukabili janga lenyewe. Yeye mategemea yake ni kuwa janga litoweke tu kimiujiza bila kufanya lolote
 
Huo sio uamuzi wa Trump kama yeye, Marekani sio kama Tanzania ambapo maswala muhimu ya nchi huamuliwa na mtu mmoja kama anavyoona inampendezea.

Huo uamuzi wa Trump ni consensus na imeidhinishwa na bunge baada ya kugundua kuwa China waliwahonga WHO ili kuficha mlipuko wa Corona nchini mwao.

China wana asili ya ulaghai na ndivyo wanavyofanya kuwahonga viongozi wa kiafrika ili kufukarisha hili bara kwa kupora rasilimali zake.

Marekani wana haki ya kujiondoa katika chombo chochote kile kwani wakati wanajiunga walimuomba nani ruhusa na China hawawezi kujaza pengo lililoachwa na Marekani kwani wao huchangia tu kama Tanzania inavyochangia kwani sio watoaji wao wanaangalia zaidi "Return" na sio vinginevyo.
 
CHINA c MASKINI according to Wamagharibi na AFRIQUE weusi.....
 
Back
Top Bottom