mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 607
- 302
Umethibitisha kuwa wewe ni kituko kweliNakubaliana na wewe kabisa, hiyo ni kutaka kuonyesha kuwa Apple ni wagumu kuliko maelezo, kuwa wako tayari kufungiwa au kuchukuliwa hatua yoyote kuliko kutoa siri za mteja wake
Hapo kulikuwa na mutual agreement ya Apple na hao FBI kuwa Apple watafungua simu lakini promo ya kuwainua Apple iwepo pia
ndo maana nimesema FBI sio kwamba wanashindwa kuifungua mkuu...hakuna kitu wanashindwa fanya kw National Security bro..ilikuwa ni bra bra tu za kufata sheria but wanaweza na wamewezaa...how sure kwamba walikuwa hawajafunguaaa coz hiyo habari yenyew ya kufungua wametoa wao...Inasemekana hiyo simu walishafungua na kwa sababu za.kiusalama na kisheria ilibaki siri kwanza...
Acha kutangaza biashara zako za kitapeli hapa kiujanja ujanja ili watu waingie kingi uwatapeli na hao matapeli wenzako wa Sijui k/koo. Niletee hata simu moja hapa ambayo mmeishaitoa icloud hapo k/koo?Mimi nakuambia hii kitu hata wangempa chizi wa Kariakoo angeweza kuing'oa,apple wameruka kijanja kwa sababu kama wangeendelea kung'ang'ania kuto toa wangepata mashala makubwa kibiashara
Sasa wewe uliyeenda shule mbona hujanielimisha?Ha ha ha...sio kila kitu cha ku comment bibie...we endelea kufuatilia habari za mtoto wa diamond na makalio ya wema huko ndo uko vizuri...hivi vitu technical tuachie tulioenda shule na kufaulu
huoni kitendo cha kutangaza kuwa cm imefunguliwa na watu wengine apart from apple ndo kitaishushia soko mana inaonekana kuwa ecycription yao sio strong kama walivyodai ndo mana imefunguka? au unabase kwe point gan kuwa kufunguliwa kwa smu hiyo kuna boost market kwa apple?Hao ni Apple wamewafungulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?
Tetesi zilizoko ni FBI walishirikiana na engineer kutoka Jeshi la Israel wakafungua hyo simu.ndo maana nimesema FBI sio kwamba wanashindwa kuifungua mkuu...hakuna kitu wanashindwa fanya kw National Security bro..ilikuwa ni bra bra tu za kufata sheria but wanaweza na wamewezaa...how sure kwamba walikuwa hawajafunguaaa coz hiyo habari yenyew ya kufungua wametoa wao...Inasemekana hiyo simu walishafungua na kwa sababu za.kiusalama na kisheria ilibaki siri kwanza...
Ha ha ha...sio kila kitu cha ku comment bibie...we endelea kufuatilia habari za mtoto wa diamond na makalio ya wema huko ndo uko vizuri...hivi vitu technical tuachie tulioenda shule na kufaulu
huoni kitendo cha kutangaza kuwa cm imefunguliwa na watu wengine apart from apple ndo kitaishushia soko mana inaonekana kuwa ecycription yao sio strong kama walivyodai ndo mana imefunguka? au unabase kwe point gan kuwa kufunguliwa kwa smu hiyo kuna boost market kwa apple?
ni kweli mkuu,ila nafikiri apple lazima wata upgrade Os yao kwasababu moja ya vitu ambavyo vmefanya apple kutumiwa na watu weng hata wakiwemo hao terrorits ni uimara wa encycription yao kama vile magaidi wanavyotumia sana telegram badal ya whatsapp..all in all wenzetu wametuthibitishia kwamba kwao hakuna kinachoshndkanaNi bora hivyo kuliko wangekubali kufungua wenyewe. Na wangeendelea na kesi nina uhakika asilimia mia serikali ya marekani ingeshinda na simu ingefunguliwa na wao wenyewe Apple. Maana hapo ishaingia ishu ya Ugaidi, Ushaingiza usalama wa taifa na raia wake. Come it may, kwa serikali makini, hiyo simu ingefunguliwa tuu.
Ukizingatia Apple ni nembo ya serikali na taifa la marekani, mimi naona hichi walochofanya FBI na Apple ni WinWin situation, Hapa tutegemee apple watakuja na excuse kuwa wataupgrade Os kuziba hizo flaws. Hakuna machine yenye 100% efficiency perfomance.
Na isitoshe, hata hao wateja wa apple wakisema kuwa apple siyo secure, ni wapi na kwenye OS platform gani watakwenda wapate security kuzidi hii wanayoipata kwa sasa wakiwa na iOs.? So hawana opion. Wataona ni bora wabaki iOs ambapo watakuwa wanadukuliwa kwa mbinde.
So katika 3D, ni kwamba wamewaongezea biashara apple.
Husomeki, basis ya mobile device ni integrated circuits na development kuanzia valve,triode valves; diodes; transistors hadi integrated circuits na logic gates ni matunda ya utafati ulaya na Marekani . Sioni sababu ya kusifia Wayahudi kwa hili.kwani fundamental systems za computer na smartphone ni nani katengeneza kama sio muisrael?
ulukua unataka itengenezewe jerusalem ndio ujue ni myahudi?? haya na dell ni marekani so sio myahudi sio?Husomeki, basis ya mobile device ni integrated circuits na development kuanzia valve,triode valves; diodes; transistors hadi integrated circuits na logic gates ni matunda ya utafati ulaya na Marekani . Sioni sababu ya kusifia Wayahudi kwa hili.
ni muisrael ndo aliowasaidia kufungua lakini kusema kama myahudi au nan inakuwa ngumu..maana kuna waisrael waarabu na warusi wengi tu,webgbe waisrael wamarekani na vitu kama hvyoulukua unataka itengenezewe jerusalem ndio ujue ni myahudi?? haya na dell ni marekani so sio myahudi sio?