Marekani watangaza siku ya maombi kukabili Corona

Wewe ndio mjinga!

Mada hapa si Marekani kumuiga Magufuli,
Hapa mada ni Marekani kutambua kwamba Mungu anaweza kufanya kitu katika corona kupitia maombi.
Hakuna kazi ngumu kama ku-argue na mtu ambae ame-opt kuwa mjinga!! Na inakuwa ngumu zaidi kama sio kero endapo mtu mwenyewe ameapa kuwa mjinga milele ili mradi tu atetee watawala..

Unasema mada hapa sio Marekani kumuiga Magufuli wakati mwenzako, ambae mimi ndie nilim-quote kasema wazi kwamba:-
Dunia inajifunza kila siku kutoka kwa Rais Mzalendo Magufuli ambaye ndiye kiongozi bora kwa sasa duniani

Magufuli alipotangaza maombi ya kuliombea Taifa ili kuepukana na corona Kuna baadhi ya Nchi walipinga

Ila sasa mambo yamewafika shingoni

Mbabe wa Dunia USA ameitisha maombi ya kitaifa baada ya wamarekani maelfu kufariki mwanzoni walikuwa wanampinga Rais Magufuli
Next time kabla hujakurupuka na ku-comment, anza kwanza kuangalia mjadala umetoke wapi![
Wajinga kama nyie msio na imani mlikuwa manasema hivi Marekani anatupenda sana atuletee Yesu/Mungu aje atuondolee corona?
Hivi waarabu wanatupenda sana watuletee dini kuondoa corona?
Imani muotolee wapi wanafiki wakubwa nyie! Mngekuwa na hiyo imani mngekuwa mnatanga tanga kama kuku anayetafuta pa kutaga?!

Mmejazana ujinga kwamba corona haipiti kwenye mwili wa Yesu, mambo yalipowazidi mkakimbilia kwenye nyungu!! Mlivyoona nyungu na yenyewe ni moja ya ujinga sawa na ule wa kuamini Mwarabu na Mzungu aliwaletea mitume ili wawe tiba ya maradhi, nyungu mmezitupa mmekimbilia kikombe cha Madagascar!

Halafu bila aibu unaongelea suala la imani?! Kwanini msiendelee kumtegemea Mungu kama kweli mnayo imani!

And guess what! Kama mtu ana macho na anaona picha zote ziliwekwa ukutani halafu bado anaendelea kuamini eti Mzungu anaweza kuwaletea Yesu ili awe tiba ya corona, basi huyo mtu sio tu mjinga bali ni mpumbavu!

Wazungu wenyewe makanisa wamefunga!!

Papa kwa mara ya kwanza kaendesha misa ya pasaka bila watu!

Hali kadhalika Waarabu na wenyewe misikiti wamefunga... na hali ikiendelea hivi hivi kuna uwezekano hata sala ya Idd ikaendeshwa kitofauti!

Sasa kama Yesu/Mungu/Muhamad ni tiba ya corona kwanini walikimbilia kufunga hizo sehemu badala ya wao nao kugeuka mazuzu na kwenda kujazana huko kuomba kama mlivyofanya mazuzu wa Tanzania?!

Btw, janga la corona limeingia lini Marekani?! Kama unadhani na wenyewe ni mazuzu kama nyinyi kwanini hawakuitisha emergency prayer day kama mlivyofanya nyie ili kumuomba Mungu awaondolee corona?!

Na hata taasisi inayoratibu National Day of Prayer waliandika hapo kabla:-
As most of you are well aware, the National Day of Prayer is an annual national observance established in public law in 1952 and observed publicly on the First Thursday in May since 1988. Regardless of the unprecedented challenges that our nation is facing today due to the covid-19 outbreak and resulting economic shutdown, it will not be canceled nor postponed – but will look very different from years past.
Hapo kwenye bold utaona wazi ni kwanini imebidi tu siku iwepo pamoja na changamoto kwa sababu ni siku iliyopo kwa mujibu wa kanuni za taifa hilo!

Ingekuwa wana akili kama zenu, hiyo sentensi isingekuwepo kwa sababu kufika kwa hiyo siku ingetafsirika ni opportunity kwa taifa kuomba corona iondoke!

Na hata ukisoma intro ya Jim Bolthouse ambae ni viongozi wa juu wa Presidential Prayer Team, anasema:-
As we continue to face the unique challenges posed by the coronavirus pandemic, millions of Americans are unable to gather in their churches, temples, synagogues, mosques, and other houses of worship. The ability to bring praying Americans together virtually on the National Day of Prayer has never been more important. We must continue to pray for the nation, for healthcare workers, for first responders and — as strongly as ever — for President Trump and the White House Coronavirus Task Force during this time of great need. Thank you for joining us and faithfully praying.”
Kwanza sio tu kwa kiasi kikubwa ibada yenyewe ilikuwa virtually, Jim hapo anaonesha wazi kwamba, badala ya kuwa kama walevi eti kuomba corona iondoke jambo ambalo haliwezekani, wao focus yao ipo kwa watu wanaopambana na janga!!

Na hata ukiangalia sehemu ya hotuba ya Trump, kama ilivyoripotiwa na CNN anasema:-
"In recent days and weeks, our country has endured a grave hardship. We pray for every family stricken with grief and devastated with a tragic loss," the President added. "We pray for the doctors and for the nurses and for the first responders waging war against the invisible enemy. We pray for the scientists and researchers pioneer(ing) treatments, that they find therapies and vaccines and that they find them soon."
Hao ndo wenzenu wenye akili... wanawaombea madaktari na wanasayansi na sio nyinyi eti mnaomba corona iondoke kwa miujiza...
Hiyo sayansi unayoiabudu, wenye sayansi yao wameshindwa wafanyeje na ndio kwanza wamekufa watu 78k pamoja na syansi yao na wameona katika siku yao ya kitaifa ya maombi mada kuu ya maombi iwe corona.
Na nyie huyo Mungu/Yesu/Bible/Quran zimeondoa hiyo corona?! Baada ya kugundua mlichofanya ni ujinga, mkakimbilia kwenye nyungu! Hata kabla nyungu haijatoa matokeo muafaka, mkakimbilia kikombe cha braza wa madagascar!

Lakini angalia wenye akili timamu! Si umeona unaodhani walijikita kwenye kuomba ujinga wameomba nini..All in all, hata hao uliodhani wanaabudu miujiza, ndo kwanza waka-focus kuwaombea Wanasayansi, Madaktari na wale walio mstari wa mbele kupambana na janga!!
Kusema Rais ni mjinga eti kwa kuruhusu watu waendele kurundikana. Ni mpumbavu pekee anaeweza kusema hivyo kwa sababu rais na wataalamu wa afya kila mara wamekuwa wakitoa miongozo ya kuchukua taahadhali.
Mpumbavu ni wewe unayetetea ujinga!! Rais amekuwa akitoa muongozo wakati amesema wazi kwamba tiba ya kweli ni imani huku akihamasisha watu wajazane kwenye nyumba za ibada huku akitamba kwamba corona haiwezi kuingia huko?!

Si huyo huyo Magufuli baada ya Msikiti wa Mtoro kufungwa, akakemea kwanini inafungwa wakati kila mwenye akili timamu anafahamu hali ya msikiti wa Mtoro hususani kwa kipindi kama hiki?! Matokeo yake, Sheikh wa Dar akalazimika kufungua msikiti bila kujali madhara yanayoweza kutokea!

Sasa kama sio ujinga tuite nini?!
Mfano kuvaa barakoa, kuweka vitakasa mikono kila kwenye frem ya biashara, nyumba za ibada, majumbani na kila sehemu yenye muingiliano wa watu kama stendi, na watu kijiepusha na mikusanyiko isiyo ya lazima kwako wewe hizo siyo hatua za kujilinda mpaka lockdown siyo?
Look at you... kuna mahali nimetaja lockdown?! Lockdown haijawahi kuwa my best strategy kwa sababu naamini Tanzania ilikuwa na fursa kubwa sana ya kudhibiti kirusi bila lockdown!

Since Day One hoja yangu imekuwa Tanzanai kutofunga mipaka na airport huku Magu akisema kwa tambo kwamba hawezi kufunga airport kwa sababu itaathiri biashara ya utalii! Sasa sijui hadi sasa wameingia watalii wangapi!!

Lakini ingawaje sijawahi hata mara moja kushauri issue ya lockdown kwa upande mwingine naheshimu nchi ambazo zili-opt lockdown kwa sababu nchi nyingi zilijisahau hadi ilipokuwa too late, na hapakuwa na namna zaidi ya lockdown zaidi ya kudhibiti kirusi kusambaa zaidi!

Tanzania tulikuwa na fursa ya kuweza kudhibiti bila lockdown kwa sababu wakati ugonjwa unaingia Tanzania, tayari kwingineko duniani walishaathirika vya kutosha, na kwahityo tulikuwa na cha kujifunza!
 
Mkuu Kwanini una nitusi? Anyway nakuweka kiporo nitakurudia usiku nikujibu upotoshaji wako
Kwasasa najenga Nchi
Hakuna kazi ngumu kama ku-argue na mtu ambae ame-opt kuwa mjinga!! Na inakuwa ngumu zaidi kama sio kero endapo mtu mwenyewe ameapa kuwa mjinga milele!

Unasema mada hapa sio Marekani kumuiga Magufuli wakati mwenzako, ambae mimi ndie nilim-quote kasema wazi kwamba:-

Imani muotolee wapi wanafiki wakubwa nyie! Mngekuwa na hiyo imani mngekuwa mnatapa tapa kama kuku anayetaga?!

Mmejazana ujinga kwamba corona haipiti kwenye mwili wa Yesu, mambo yalipowazidi mkakimbilia kwenye nyungu!! Mlivyoona nyungu na yenyewe ni moja ya ujinga sawa na ule wa kuamini Mwarabu na Mzungu aliwaletea mitume wawe tiba ya maradhi, nyungu mmezitupa mmekimbilia kikombe cha Madagascar!

Halafu bila aibu unaongelea suala la imani?! Kwanini msiendelee kumtegemea Mungu!

And you know what; kama mtu ameelimishwa na bado anaendelea kuamini eti Mzungu anaweza kuwaletea Yesu ili awe tiba ya corona, basi huyo mtu sio tu mjinga bali ni mpumbavu!

Wazungu wenyewe makanisa wamefunga!!

Papa kwa mara ya kwanza kaendesha misa ya pasaka bila watu!

Hali kadhalika Waarabu na wenyewe misikiti wamefunga... na hali ikiendelea hivi hivi kuna uwezekano hata sala ya Idd ikaendeshwa kitofauti!

Sasa kama Yesu/Mungu/Muhamad ni tiba ya corona kwanini walikimbilia kufunga hizo sehemu badala ya wao nao kugeuka mazuzu na kwenda kujazana huko kuomba kama mlivyofanya mazuzu wa Tanzania?!

Btw, janga la corona limeingia lini Marekani?! Kama unadhani na wenyewe wana hizo akili zenu za kijinga mbona hawakuitisha emergency prayer day kama mlivyofanya nyie ili kumuomba Mungu awaondolee corona?

Na hata taasisi inayoratibu National Day of Prayer waliandika hapo kabla:-Kama unatumia akili zako sawasawa, hapo kwenye bold utaona wazi ni kwanini imebidi tu siku iwepo pamoja na changamoto kwa sababu ni siku iliyopo kwa mujibu wa kanuni za taifa hilo!

Ingekuwa wana akili kama zenu, hiyo sentensi isingekuwepo kwa sababu kufika kwa hiyo siku ingetafsirika ni opportunity kwa taifa kuomba corona iondoke!

Na hata ukisoma intro ya Jim Bolthouse ambae ni viongozi wa juu wa Presidential Prayer Team, anasema:-
Kwanza sio tu kwa kiasi kikubwa ibada yenyewe ilikuwa virtually, Jim hapo anaonesha wazi kwamba, badala ya kuwa kama walevi eti kuomba corona iondoke jambo ambalo haliwezekani, wao focus yao ipo kwa watu wanaopambana na janga!!

Na hata ukiangalia sehemu ya hotuba ya Trump, kama ilivyoripotiwa na CNN anasema:-Hao ndo wenzenu wenye akili... wanawaombea madaktari na wanasayansi na sio nyinyi eti mnaomba corona iondoke kwa miujiza... very stupid!!
Na nyie huyo Mungu/Yesu/Bible/Quran zimeondoa hiyo corona?! Baada ya kugundua mlichofanya ni ujinga, mkakimbilia kwenye nyungu! Hata kabla nyungu haijatoa matokeo muafaka, mkakimbilia kikombe cha braza wa madagascar!

Lakini angalia wenye akili timamu! Si umeona unaodhani walijikita kwenye kuomba ujinga wameomba nini..All in all, hata hao uliodhani wanaabudu miujiza, ndo kwanza waka-focus kuwaombea Wanasayansi, Madaktari na wale walio mstari wa mbele kupambana na janga!!
Mpumbavu ni wewe unayetetea ujinga!! Rais amekuwa akitoa muongozo wakati amesema wazi kwamba tiba ya kweli ni imani huku akihamasisha watu wajazane kwenye nyumba za ibada huku akitamba kwamba corona haiwezi kuingia huko?! Hivi kuna mtu mwenye akili timamu wa kuongea upuuzi kama hao?!
Angalia ulivyo zuzu, kuna mahali nimetaja lockdown?! Lockdown haijawahi kuwa my best strategy kwa sababu naamini Tanzania ilikuwa na fursa kubwa sana ya kudhibiti kirusi bila lockdown!

Since Day One hoja yangu imekuwa Tanzanai kutofunga mipaka na airport huku Magu akisema kwa tambo kwamba hawezi kufunga airport kwa sababu itaathiri biashara ya utalii! Sasa sijui hadi sasa wameingia watalii wangapi!!

Lakini ingawaje sijawahi hata mara moja kushauri issue ya lockdown kwa upande mwingine naheshimu nchi ambazo zili-opt lockdown kwa sababu nchi nyingi zilijisahau hadi ilipokuwa too late, na hapakuwa na namna zaidi ya lockdown zaidi ya kudhibiti kirusi kusambaa zaidi!

Endeleeni tu kutetea ujinga lakini niwakumbushe tu kwamba, mlianza na unafiki wa kujifanya mnamujua sana Mungu na Yesu, mkahamia kwenye nyungu na hivi sasa mmekimbilia kwenye kikombe!!

Na kutokana na huo ujinga wenu, hata mkiambia ukichanganya kinyesi cha kuku nusu kilo na maji nusu ndoo kisha ukaoga unakuwa umejikinga na corona, kwa hizo akili zenu, mtafanya tu!
 
Mkuu Kwanini una nitusi? Anyway nakuweka kiporo nitakurudia usiku nikujibu upotoshaji wako
Kwasasa najenga Nchi
Katika mambo yote ya msingi aliyoandika umeona tusi tu?
Labda kwa jibu ulilotoa ni dhahiri hiyo tafsir yako iko sahihi.
 
Sorry Kiongozi, najua wewe muungwana, nili-quote kimakosa, na ndio maana ukiangalia utaona nilisharekebisha kitambo! Hayo hayakukulenga wewe bali yalimlenga mtu ambae mwanzo mwisho kapiga matusi!

Na hata ukiangalia vizuri hizo posts, hazikuwa za kwako!
 
Sawa

Tena basi wala sikumlenga yeye... kulifanyika makosa kwenye quoting ndo yakatokea hayo!
 
Na siku zote hizo uwa wanaombea na corona ?
Ni kweli [emoji3]
Ni kweli [emoji3]
Ni kweli[emoji3]
Ni kweli Wewe ni mjinga.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Marekani wana siku maalum ya MAOMBI kila mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kazi ngumu kama ku-argue na mtu ambae ame-opt kuwa mjinga!! Na inakuwa ngumu zaidi kama sio kero endapo mtu mwenyewe ameapa kuwa mjinga milele ili mradi tu atetee watawala..

Unasema mada hapa sio Marekani kumuiga Magufuli wakati mwenzako, ambae mimi ndie nilim-quote kasema wazi kwamba:-
Next time kabla hujakurupuka na ku-comment, anza kwanza kuangalia mjadala umetoke wapi![ Imani muotolee wapi wanafiki wakubwa nyie! Mngekuwa na hiyo imani mngekuwa mnatanga tanga kama kuku anayetafuta pa kutaga?!

Mmejazana ujinga kwamba corona haipiti kwenye mwili wa Yesu, mambo yalipowazidi mkakimbilia kwenye nyungu!! Mlivyoona nyungu na yenyewe ni moja ya ujinga sawa na ule wa kuamini Mwarabu na Mzungu aliwaletea mitume ili wawe tiba ya maradhi, nyungu mmezitupa mmekimbilia kikombe cha Madagascar!

Halafu bila aibu unaongelea suala la imani?! Kwanini msiendelee kumtegemea Mungu kama kweli mnayo imani!

And guess what! Kama mtu ana macho na anaona picha zote ziliwekwa ukutani halafu bado anaendelea kuamini eti Mzungu anaweza kuwaletea Yesu ili awe tiba ya corona, basi huyo mtu sio tu mjinga bali ni mpumbavu!

Wazungu wenyewe makanisa wamefunga!!

Papa kwa mara ya kwanza kaendesha misa ya pasaka bila watu!

Hali kadhalika Waarabu na wenyewe misikiti wamefunga... na hali ikiendelea hivi hivi kuna uwezekano hata sala ya Idd ikaendeshwa kitofauti!

Sasa kama Yesu/Mungu/Muhamad ni tiba ya corona kwanini walikimbilia kufunga hizo sehemu badala ya wao nao kugeuka mazuzu na kwenda kujazana huko kuomba kama mlivyofanya mazuzu wa Tanzania?!

Btw, janga la corona limeingia lini Marekani?! Kama unadhani na wenyewe ni mazuzu kama nyinyi kwanini hawakuitisha emergency prayer day kama mlivyofanya nyie ili kumuomba Mungu awaondolee corona?!

Na hata taasisi inayoratibu National Day of Prayer waliandika hapo kabla:-Hapo kwenye bold utaona wazi ni kwanini imebidi tu siku iwepo pamoja na changamoto kwa sababu ni siku iliyopo kwa mujibu wa kanuni za taifa hilo!

Ingekuwa wana akili kama zenu, hiyo sentensi isingekuwepo kwa sababu kufika kwa hiyo siku ingetafsirika ni opportunity kwa taifa kuomba corona iondoke!

Na hata ukisoma intro ya Jim Bolthouse ambae ni viongozi wa juu wa Presidential Prayer Team, anasema:-
Kwanza sio tu kwa kiasi kikubwa ibada yenyewe ilikuwa virtually, Jim hapo anaonesha wazi kwamba, badala ya kuwa kama walevi eti kuomba corona iondoke jambo ambalo haliwezekani, wao focus yao ipo kwa watu wanaopambana na janga!!

Na hata ukiangalia sehemu ya hotuba ya Trump, kama ilivyoripotiwa na CNN anasema:-Hao ndo wenzenu wenye akili... wanawaombea madaktari na wanasayansi na sio nyinyi eti mnaomba corona iondoke kwa miujiza...
Na nyie huyo Mungu/Yesu/Bible/Quran zimeondoa hiyo corona?! Baada ya kugundua mlichofanya ni ujinga, mkakimbilia kwenye nyungu! Hata kabla nyungu haijatoa matokeo muafaka, mkakimbilia kikombe cha braza wa madagascar!

Lakini angalia wenye akili timamu! Si umeona unaodhani walijikita kwenye kuomba ujinga wameomba nini..All in all, hata hao uliodhani wanaabudu miujiza, ndo kwanza waka-focus kuwaombea Wanasayansi, Madaktari na wale walio mstari wa mbele kupambana na janga!! Mpumbavu ni wewe unayetetea ujinga!! Rais amekuwa akitoa muongozo wakati amesema wazi kwamba tiba ya kweli ni imani huku akihamasisha watu wajazane kwenye nyumba za ibada huku akitamba kwamba corona haiwezi kuingia huko?!

Si huyo huyo Magufuli baada ya Msikiti wa Mtoro kufungwa, akakemea kwanini inafungwa wakati kila mwenye akili timamu anafahamu hali ya msikiti wa Mtoro hususani kwa kipindi kama hiki?! Matokeo yake, Sheikh wa Dar akalazimika kufungua msikiti bila kujali madhara yanayoweza kutokea!

Sasa kama sio ujinga tuite nini?!
Look at you... kuna mahali nimetaja lockdown?! Lockdown haijawahi kuwa my best strategy kwa sababu naamini Tanzania ilikuwa na fursa kubwa sana ya kudhibiti kirusi bila lockdown!

Since Day One hoja yangu imekuwa Tanzanai kutofunga mipaka na airport huku Magu akisema kwa tambo kwamba hawezi kufunga airport kwa sababu itaathiri biashara ya utalii! Sasa sijui hadi sasa wameingia watalii wangapi!!

Lakini ingawaje sijawahi hata mara moja kushauri issue ya lockdown kwa upande mwingine naheshimu nchi ambazo zili-opt lockdown kwa sababu nchi nyingi zilijisahau hadi ilipokuwa too late, na hapakuwa na namna zaidi ya lockdown zaidi ya kudhibiti kirusi kusambaa zaidi!

Tanzania tulikuwa na fursa ya kuweza kudhibiti bila lockdown kwa sababu wakati ugonjwa unaingia Tanzania, tayari kwingineko duniani walishaathirika vya kutosha, na kwahityo tulikuwa na cha kujifunza!
Kwahiyo umekaa kuandika hili gazeti unamwandikia nani?

Upumbavu wako na uhaba wako wa imani usifikiri kila mtu anaamini kwamba Mungu ni mzungu.

Narudia tena, wenye sayansi yao wameona umuhimu wa maombi katika majanga kama haya!

Wewe baki na upumbavu wako wa kuamini Mungu ni mzungi au mwarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mmejitoa kafara kumsujudia jiwe,yaani hata yeye huwa anawashangaa mlivyo wapumbavu!

Watabana mwisho wataachia wenyewe! Undava undava tu! Bulldozer kazia hapo hapo! Hii ni Tanzania Bwana!
 
Kwahiyo umekaa kuandika hili gazeti unamwandikia nani?
No wonder umekuwa mjinga...

Upumbavu wako na uhaba wako wa imani usifikiri kila mtu anaamini kwamba Mungu ni mzungu.

Narudia tena, wenye sayansi yao wameona umuhimu wa maombi katika majanga kama haya!

Wewe baki na upumbavu wako wa kuamini Mungu ni mzungi au mwarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mitusi yote hiyo kisa nimesema mafundisho ya Jiwe ni ya kijinga... yaani una uchungu na Jiwe kiasi kwamba hata Ma' Jannet akijua anaweza kukuwekea wivu!! Au ni mke mwenza wa Bashite kwa Jiwe wewe?! Manake si kwa mitusi hiyo!!!

Halafu acha huo unafiki wako wa issues za imani kima wewe! Mngekuwa na imani mngeamua kukimbilia nyungu na baada ya nyungu kudunda mkaamua kukimbilia kwenye kikombe cha Madagascar?

All in all, endelea kuamini na wenzenu ni wajinga kama nyinyi! Yaani watu na akili zao wakalundikane makanisani na misikitini kuomba corona itoweke... very stupid!
 
Watabana mwisho wataachia wenyewe! Undava undava tu! Bulldozer kazia hapo hapo! Hii ni Tanzania Bwana!
Ina maana na huyo Bulldozer kuna dawa ya asili amevumbua, au?! Au una kwavile katuma ndege kufuata dawa waliyovumbua wenzake ingawaje haijathibitishwa?
 
Back
Top Bottom