Corona mmeigeuza kuwa kampeni ya kuinewa huruma na wananchi.Tunazungumzia Corona wewe unawaza uchaguzi,pumbav kabisa!
Acha wivu dada! Si mlisema Mungu hasikii mambo yanayoamliwa kisayansi?Yaani vijana wa ccm ni liability. Me nilijua kwa sababu mpo upanse wa serikali basi kuna favours za kielimu na mambo ya exposure mnapata.
Soma hapa kwenye wikipedia alafu ujione ulivyo falaView attachment 1444440
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump hajaitisha maombi ya kitaifa kama unavyodai bali according to 36 US Code 119, kila mwaka Alhamisi ya Kwanza ya mwezi Mei ni National Day of Prayer!Mbabe wa Dunia USA ameitisha maombi ya kitaifa baada ya wamarekani maelfu kufariki mwanzoni walikuwa wanampinga Rais Magufuli
Humauwezi kwenda tu kama makondoo hamjui mnaenda kuombea nini kwenye siku hiyo. Lazima kuwe na mada maalumu ya kuombe kama taifa. Na kwa Marekani mada yao kuu mwaka huuu ni corona.Trump hajaitisha maombi kama unavyodai bali according to 36 US Code 119, kila mwaka Alhamisi ya Kwanza ya mwezi Mei ni National Day of Prayer!
Kuwe na janga, au kusiwe na janga hata tone, 36 US Code 119 inamtaka kila mwaka Rais wa Marekani atoe tangazo kuhusu siku ya maombi ambayo ndiyo hiyo Alhamisi ya kwanza ya Mei!
Labda uwape tafsiri, hakika kijani wengi hawaelewi kitu hapo. Tafsiri ya haraka ni siku maalum ya maombi Marekani inafanyika kila mwaka.Kama hata hili hamuelewi,basi nyie si binadamu. Misukule kazini.View attachment 1444425
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhana ya ndani uliyonayo ndio tatizo Kwa Muumba, ikiwa dhamiri yako inakutuma kuzishabihisha hizo sifa ni wewe mkuuHizi chorus za kusifu na kuabudu sasa zinamkejeli Mungu Mwenyezi.
Mnajiibia uchaguzi halafu mnashangilia Kama nyie siyo mapunguwani tuwaiteje?Wewe endelea kujifaragua!
Corona haitawasaidia machadema kupata tume huru ya uchaguzi wala haitawasaidia kushinda uchaguzi,!
Nyie mtaendelea kuitwa wapinzani hadi mnaingia kaburini. Subirini kipigo oktoba mwaka huu ndio pengine akili zitawakaa vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kosa kubwa walilofanya CCM ni kujaza mitandaoni watu ambao uelewa wao ni mdogo mno!! Wakisikia kitu tu wanakurupuka bila kufanya uchunguzi japo kidogo; no wonder hata media zao zinafikia kuandika habari za Magufuli kupewa tuzo bila kuchunguza ukweli wa habari yenyewe!Kama hata hili hamuelewi,basi nyie si binadamu. Misukule kazini.View attachment 1444425
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kajificha CHATO?
Anapaamini zaidi ya mungu si ni ndio!