Marekani watangaza siku ya maombi kukabili Corona

Marekani watangaza siku ya maombi kukabili Corona

Wanekurupuliwa kama panya buku huko Lumumba baada ya jana Ramposa kuanika true colour jamaa wa Chattle
 
Ujinga una kusumbua. Maombi ya may7 ni ya kikatiba huko marekani na yapo kila mwaka, sio kama haya mliyoitisha ya siku tatu na baada ya hayo maombi kushindwa kuleta matokeo mliyoyataka mka anza kuhamasisha watu wapige matunguli.
Matakataka ya chadema hayawezi kuelewa hili.

Yenyewe yanataka mpaka lock down ndio yataona tunapambana kweli na corona. Sijui huko lockdown yanataka yakifungie yafanyaje haya majitu majinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM mnaongoza serikali kishamba sana. Kwanini magufuli kajificha Chato huku anawambia wananchi wasijifiche ana lengo gani huyo kichaa wenu?
 
Matakataka ya chadema hayawezi kuelewa hili.

Yenyewe yanataka mpaka lock down ndio yataona tunapambana kweli na corona. Sijui huko lockdown yanataka yakifungie yafanyaje haya majitu majinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmamwomba Mungu au mungu haiwezekani mnamwomba Mungu uku kutubu hamtaki,mfano mmeomba lakini bado unawaita nduguzo matakataka?

Kasome Mithali 19:1
"Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake kuliko mpotofu wa midomo aliye mpumbavu".

Nachelea kusema wote wenye mtazamo kama wako mnawaza leo sio kesho.Kumbuka mnayowafanyia ndugu zenu ata ninyi mtafanyiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon wanaagiza dawa ya Madagascar, lol

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Hakuna mtu alikua na kimbelembele kama bwana mabendera (Kange Lugola) lakini aliishi kwenye kashifa.Endeleeni kuimba pambio ila nawaachia neno kutoka Isaya

Isaya1:15 "Nanyi mkunjuapo mikono yenu nitaficha macho yangu nisiwaone,naam mwombapo maombi mengi sitasikia mikono yenu imejaa damu".

Nawaakikishia ata mkiomba mwaka mkawaita manabii feki hamtajibiwa mpaka msome Isaya 1:16 mtubu na kutenda haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmamwomba Mungu au mungu haiwezekani mnamwomba Mungu uku kutubu hamtaki,mfano mmeomba lakini bado unawaita nduguzo matakataka?

Kasome Mithali 19:1
"Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake kuliko mpotofu wa midomo aliye mpumbavu".

Nachelea kusema wote wenye mtazamo kama wako mnawaza leo sio kesho.Kumbuka mnayowafanyia ndugu zenu ata ninyi mtafanyiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui hata maana ya kutubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inajifunza kila siku kutoka kwa Rais Mzalendo Magufuli ambaye ndiye kiongozi bora kwa sasa duniani

Magufuli alipotangaza maombi ya kuliombea Taifa ili kuepukana na corona Kuna baadhi ya Nchi walipinga

Ila sasa mambo yamewafika shingoni

Mbabe wa Dunia USA ameitisha maombi ya kitaifa baada ya wamarekani maelfu kufariki mwanzoni walikuwa wanampinga Rais Magufuli

Pale Uganda kwa Mzee mseven wamemuiga Rais Magufuli ,waneitisha Siku ya kitaifa kuombea Taifa dhidi ya corona

Sisi Watanzania tunampa kongole Rais Magufuli kwa kumtanguliza Mungu kabla ya sayansi Kwani vyote vimetoka kwa Mungu

Asante Rais Magufuli, unatuvusha salama kwenye vita hii dhidi ya corona
 
Maccm mapumbavu sanaa.mnaongoza serikali kishamba sanaa.kwanini magufuli kajificha chato huku anawambia wananchi wasijifiche ana lengo gani huyo kichaa wenu?
Wewe endelea kujifaragua!
Corona haitawasaidia machadema kupata tume huru ya uchaguzi wala haitawasaidia kushinda uchaguzi,!

Nyie mtaendelea kuitwa wapinzani hadi mnaingia kaburini. Subirini kipigo oktoba mwaka huu ndio pengine akili zitawakaa vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga una kusumbua. Maombi ya may7 ni ya kikatiba huko marekani na yapo kila mwaka, sio kama haya mliyoitisha ya siku tatu na baada ya hayo maombi kushindwa kuleta matokeo mliyoyataka mka anza kuhamasisha watu wapige matunguli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio jinga umeshindwa kuelewa. Kwa hiyo kama ni maombi ya kikatiba wanamuomba shetani?

Dhima ya maombi ya mwaka huu ni kumuimba Mungu kuondoa janga la korona, upo hapo we bavicha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom