Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu.

View: https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d

Marekani wana MILITARY BASE, Kenya inaitwa CAMP SIMBA muda mrefu sana.

Kwa afrika, Military base kubwa ya Marekani iko DJIBOUTI na ya iliyoko Kenya ni yapili kwa UKUBWA.


Uingereza pia, wana MILITARY BASE, Kenya inaitwa BATUK.

Wala siyo jambo jipya.
 
Cha Ajabu nini? Wako Rwanda miaka kibao sasa wana base huko,
Unapajua CHagos
Kisiwa hapo pembeni bongo wanamiliki na kuna Base kuubwa Sana tu.
Hapo raia mwingereza aliwahamisha badae wamarekani wakamvua mwingereza.
Kuna Military Base ya hatari hapo.
Mission zote karibia zinatokea hapo.
 
Back
Top Bottom