Kwetu Masoko
Senior Member
- Mar 16, 2016
- 122
- 32
Kuna nchi ambazo zina msimamamo, sio kama Zimbabwe ambao ni walewale
kumbe ndio maana unaonekana u mhafidhina wa kutupwa... Bahati mbaya huwa situmii shwainiii. Majengo nilipita miaka karibuni kumi na sita iliyopitaNipo Korogwe Majengo nyuma ya CCM wilaya napata kitimoto karibu,
kwahiyo wewe unaishi kwa wizi? Na kila unayoyafanya ni wizi? Ukiwa mjinga usikubali kusahau jina lakoyetu ni yapi hayo? WIZI?
Kwenye jumuiya za kimataifa kama Umoja wa mataifa,Umoja wa nchi huru za Afrika nk nchi inayotambuliwa ni ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Mabalozi kwa kutambua hilo walihudhuria kuapishwa kwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania lakini hawakwenda Zanzibar kuhudhuria kuapishwa kwa Dr.SHEIN kwa sababu Zanzibar si nchi mwanachama wa umoja wa mataifa,jumuiya ya madola wala umoja wa Afrika,wala jumuiya ya madola.
Walifanya sawa nawapongeza hao mabalozi kwa kuligundua hilo na waendelee hivyo hivyo wasije kanyaga kuapishwa kwa raisi wa Zanzibar.
Wakina nani hao bro?Hamuwafagilii wakati kila siku munapeleka bakuli kuomba omba kwao?
MABALOZI WATE WA BARA LA GIZA WALIHUDHURIA.
kila aliyeudhuria alikuwa na malengo tofauti na mwenzakeHata hivyo, alisema licha ya Mabalozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya kutohudhuria sherehe hizo, Mabalozi wa nchi nyingine walioalikwa walihudhuria sherehe hizo na wengine kutuma wawakilishi wao.
Aliwataja Mabalozi wa nchi waliohudhuria sherehe hizo ambao wengi ni kutoka nchi za Afrika kuwa ni Balozi wa Cuba, Zimbabwe, DRC, Indonesia, Iran, Kenya, Kuwait, Malawi, Msumbiji na Oman.
Wengine ni Palestina, Ruwanda, Algeria, Angola, Burundi, China, Japan, Libia, Pakistan, Umoja wa Nchi za Kiarabu, India, Uganda, Uturuki, Urusi na Mratibu Mkaazi wa UN.
Uhalali wake unahitaji Baraka kutoka lumumba lakini bila international recognition kazi yake itakuwa ngumu.Kuna utumwa fulani wa kifikra ambao utatuchukua muda mrefu kuushinda; uhalali wa Shein unahitaji Baraka toka Ulaya na Marekani? Kwa hiyo wangehudhuria malalamiko yasingeendelea?
wakisusa shauri yao...kwanza hatuwafagilii kwani ndio chanzo cha kututia umasikini kwa kututawala kwa muda mrefu huku wakiiba na kupeleka kwao ughaibuni.
Nakushauri km ndg, jamaa Na rafiki achana Na hicho kitengo cha kutunza fisi hapo lumumba, kimekuharibu sana, hebu jaribu kuishi km binadamkumbe ndio maana unaonekana u mhafidhina wa kutupwa... Bahati mbaya huwa situmii shwainiii. Majengo nilipita miaka karibuni kumi na sita iliyopita
kwani hapa naishi kama mnyama? Wewe endelea kusubiri mabadilikoNakushauri km ndg, jamaa Na rafiki achana Na hicho kitengo cha kutunza fisi hapo lumumba, kimekuharibu sana, hebu jaribu kuishi km binadam
CCM na watu wake bwana!,,,,,nimalizie kwa kusema USIKU MWEMA!wakisusa shauri yao...kwanza hatuwafagilii kwani ndio chanzo cha kututia umasikini kwa kututawala kwa muda mrefu huku wakiiba na kupeleka kwao ughaibuni.
Ni walex2! From sokwe evolutionwatoto wa baba mmoja mama mmoja wataachaje mkuu
International recognition kutoka kwa nani?Uhalali wake unahitaji Baraka kutoka lumumba lakini bila international recognition kazi yake itakuwa ngumu.
David Cameroon, Angela merkel, Francois Hollande, George Bush siku walokuwa wanakula kiapo we ulienda?