Marekani, Ulaya Wasusia Kuapishwa Dr. Shein

Marekani, Ulaya Wasusia Kuapishwa Dr. Shein

Argument yako bado inakuonyesha jinsi ulivyo bulicheka. Tuna utajiri wa kutosha lakini poor planning na u selfish wa viongozi ndio unaturudisha nyuma. Jiulize huu uchaguzi wa marudio wa kulazimisha umegharimu kiasi gani cha fedha ? Jiulize ule Mkutano wa katiba mpya uligharimu kiasi gani na katiba iko wapi? Jiulize yale mabasi ya mwendo kasi pale jangwani na ujenzi wa infrastructure yake dar vimegharimu kiasi gani? Jiulize hela ya ESCROW ilikuwa kiasi gani na iko wapi? Ukijumlisha haya yote kwa ukalumekenge wako jibu unalopata ni "yote hayo ni kwa sababu wazungu walitutawala muda mrefu! " give me a break!!!
We karumekenge unadhani hayo uliyoeleza hapo juu hata nchi zilizotutawala hayapo?. Wewe binafsi umefanya lipi la kuiendeleza familia yako achilia mbali taifa?. Kazi kulalama tu kichwa nazi
 
Mkuu chama cha Machafuko kuzulumu ndio jadi yao wakati wenzao wanapanga kushinda wao wanapanga kuzulumu
Hizi dhuluma Na dharau za hawa ziko mbioni kuisha, muhimu wazalendo tuungane kukomesha hali hii, kwa iman niliyonayo tukiungana kweli zitakoma
 
mimi nilishaamka kabla ya hao unawaona ndio maana tumeamua kujiondoa kwenye kusujudia binadamu wenzetu. Kazi kwenu wamiliki wa saccos ya Ufipa.. Ipo siku mwenyekiti atahitaji na hamtakataa
Kaka mawazo km maziwa mtindi, lkn bado unayo nafasi ya kuutanganzia ulimwengu Na watanzania kuwa CCM haipo kwa ajili ya wanyonge isipokuwa kwa baadhi ya watu,
 
We karumekenge unadhani hayo uliyoeleza hapo juu hata nchi zilizotutawala hayapo?. Wewe binafsi umefanya lipi la kuiendeleza familia yako achilia mbali taifa?. Kazi kulalama tu kichwa nazi
Sio KaRumekenge ni kalumekenge! Nimetoa mifano ya nchi yetu sasa wewe toa mifano ya haya mambo yametokea nchi gani iliyotutawala. Pia nikufahamishe kuwa mimi binafsi nimefanya contribution kubwa kwa kulipa kodi lakini tunaowaamini kuzifanyia kazi za maendeleo wameamua kuzitumia kugharamia chaguzi fake. Kama hulioni hili ni tatizo basi wewe ni kalumekenge.
 
Kaka mawazo km maziwa mtindi, lkn bado unayo nafasi ya kuutanganzia ulimwengu Na watanzania kuwa CCM haipo kwa ajili ya wanyonge isipokuwa kwa baadhi ya watu,
niache nile weekend miye.. Karibu Hapa Hongera Bar Sinza Africasana Upate japo castler liter Mbili
 
Sio KaRumekenge ni kalumekenge! Nimetoa mifano ya nchi yetu sasa wewe toa mifano ya haya mambo yametokea nchi gani iliyotutawala. Pia nikufahamishe kuwa mimi binafsi nimefanya contribution kubwa kwa kulipa kodi lakini tunaowaamini kuzifanyia kazi za maendeleo wameamua kuzitumia kugharamia chaguzi fake. Kama hulioni hili ni tatizo basi wewe ni kalumekenge.
Kwenye ngazi ya familia yako umefanya yapi?. Jibu hilo swali acha kikwepa...
 
Kwenye ngazi ya familia yako umefanya yapi?. Jibu hilo swali acha kikwepa...
Unamjua unaeongea nae? Hapa tunajadili national issues sio familia. Let's focus on the topic. Maisha yangu binafsi hayakuhusu. Tunaongelea ule mchango kila mtu anautoa (kodi) lakini unakwenda kutumika kugharamia chaguzi fake badala ya shughuli za maendeleo. Halafu wewe unakuja hapa kusema tuko masikini kwa sababu ya ukoloni. Hilo sio kweli. Utawala wetu ndio donda ndugu. Angalia south Africa na Zimbabwe, je waweza kulinganisha Uchumi wa sasa na wakati wa ukoloni? Viongozi wetu ni wazuri kutafuna mtaji lakini ni wabovu kuendeleza mtaji. Kama hulioni hili basi wewe kalumekenge.
 
Kwenye ngazi ya familia yako umefanya yapi?. Jibu hilo swali acha kikwepa...
Naona umeishiwa point na Nina uhakika umenielewa vizuri. Hivyo ninafunga darasa na from now onwards you're no longer bulicheka. Elimu niliyokupa imekuweka huru. Bye
 
Wanafiki tu hao. Ndio walioongoza kuwabinua akina sadam hussein na Gaddafi. Eti hao viongozi walikuwa wa ovyo. Wamezivuruga nchi zile na sasa hazikaliki wala kutawalika. Mateso matupu sasa kwa wairak na walibya. Wako ovyo sana hawa. Jaman, mmesahau?
 
Kwenye ngazi ya familia yako umefanya yapi?. Jibu hilo swali acha kikwepa...

Una nakisi Kubwa sana ya ufahamu,umeshindwa kujibizana naye kihoja unang'ang'ania kujua hali ya familia yake,kwani alishakuja nyumbani kwako kukuomba walau chumvi?Acha kiburi cha kifisadi,kwa kuwa wewe unatokea kwenye familia ya wezi na mafisadi ndiyo unadhani mwenzio hawezi kujimudu kisa si mwizi wala fisadi.
 
Makavu live
 
Wanafiki tu hao. Ndio walioongoza kuwabinua akina sadam hussein na Gaddafi. Eti hao viongozi walikuwa wa ovyo. Wamezivuruga nchi zile na sasa hazikaliki wala kutawalika. Mateso matupu sasa kwa wairak na walibya. Wako ovyo sana hawa. Jaman, mmesahau?
Nigeria na somalia pia ndio waliovuruga ? Too low!
 
....eti wenyewe wanadai hawababaishwi na chochote watakula hata nyasi....te te te , kwani wao wataumia basi ?/ maumivu kwa WANYONGE, wao ni tambarare...../ ULAFI NA UBABE WA VIONGOZI WA AFRICA.
Kama ni kula nyasi, hao Wamarekani na Umoja wa Ulaya wangezuia? Si waondoe Balozi zao tujue Kweli wamemaanisha?
 
Kama ni kula nyasi, hao Wamarekani na Umoja wa Ulaya wangezuia? Si waondoe Balozi zao tujue Kweli wamemaanisha?
Running away is not the best way of solving problems. By the way, watakaokula nyasi ndio wanaotakiwa kupambana na sio vinginevyo.
 
ujinga ni pale unapomsahau mwenyezi Mungu na kuwasujudia binadamu wenzako.. Huu ni msiba mkubwa sana..
Upumbavu na upuuzi ni pale unapovunja mahusiano na kujiwekea wigo kama kisiwa. Usipowapenda unaowaona na kushirikiana nao utampenda vipi Mungu ambae humuoni?
 
Walitakiwa wawafahamishe uhalisia kuwa wamewaalika kuangalia comedy hapo wangekuja, lakini wakawadanganya watu wanaojitambua kuwa tunamwapisha mshindi.
Hata mie sijaenda
unaambiwa mpaka leo pale kisiwandui hawajui wamepataje kura 299000 wakati waliojitokeza walikuwa 58, 000 .
 
Back
Top Bottom