twahil
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 4,100
- 2,796
Nilipotoka madrasa nilijiunga chuo cha Al azhar kipo Misri kiongozi.mkuu Twahil , ukiacha Madrasa kuna madarasa mengine ulihudhuria ?
Nilipotoka madrasa nilijiunga chuo cha Al azhar kipo Misri kiongozi.mkuu Twahil , ukiacha Madrasa kuna madarasa mengine ulihudhuria ?
kama unajua unajua tu , kwanini usubiri wengine wakusemee ?" Kwa sisi tunaofahamu....." Duh!! Si usubiri wakusemee wengine.
Ukuu wa mkoa unakufanya usione kabisa shida za wananchi. Poa kumbuka kila mwanchi wa tabaka la chini anateseka huku nyie mkigawiana vyeo tu.Binafsi sishabikiii sana hawa wanaojiita wakubwa. Sisi kama takfa tufanye yetu
Ukuu wa mkoa unakufanya usione kabisa shida za wananchi. Poa kumbuka kila mwanchi wa tabaka la chini anateseka huku nyie mkigawiana vyeo tu.Binafsi sishabikiii sana hawa wanaojiita wakubwa. Sisi kama takfa tufanye yetu
Jifarijini tu fisiTofautisha msiba na kuzira.....hao miungu wenu wanalinda maslahi yao...muda sio mrefu utawaona wanaenda kumtembelea Shein..."it shall pass too"
Mabalozi kuwa nwelewaKwani ni Rais wa marekani ? mbona Obama alipoapishwa Magufuri hakuhudhuria ?
NI akina nani hao si ni wazanzibari waliopiga kura kwa uwingi kuikataa CCM? !.wakisusa shauri yao...kwanza hatuwafagilii kwani ndio chanzo cha kututia umasikini kwa kututawala kwa muda mrefu huku wakiiba na kupeleka kwao ughaibuni.
Unaweza kufanya nini kwa bongo hii? Sizitaki hizi mbichiBinafsi sishabikiii sana hawa wanaojiita wakubwa. Sisi kama takfa tufanye yetu
Akili za kitoto ukichukia kitu unataka na wengine wachukie...ni nyumbu tu wenye tabia ya kufuata mkumbo ndio maana wanaliwa na mamba mto mara...na aliyewabatiza nyumbu...hakika mnaakisi unyumbu!Mabalozi kuwa nwelewa
Too low! Kama bado unawaza hivi wewe ni bulicheka. Jiulize miaka 60 tangu uhuru tumejiendeleza vipi zaidi ya kutegemea hela ya hao unao waponda kuendelesha serikali. Kwa wenzetu kuchapa kazi ni jadi hivyo wanatushangaa tunapokuja na misemo kama "hapa kazi tu" katika karne ya 21!wakisusa shauri yao...kwanza hatuwafagilii kwani ndio chanzo cha kututia umasikini kwa kututawala kwa muda mrefu huku wakiiba na kupeleka kwao ughaibuni.
Bulicheka ni wewe ambae hujui kuwa hadi leo tunataliwa kwa mazingira waliotuachia ya kuwa tegemezi kwao...wewe unaona miaka 60 ya kujitawala ni mingiiiiii huna hata aibu...Too low! Kama bado unawaza hivi wewe ni bulicheka. Jiulize miaka 60 tangu uhuru tumejiendeleza vipi zaidi ya kutegemea hela ya hao unao waponda kuendelea serikali. Kwa wenzetu kuchapa kazi ni jadi hivyo wanatushangaa tunapokuja na misemo kama "hapa kazi tu" katika karne ya 21!
Walitakiwa wawafahamishe uhalisia kuwa wamewaalika kuangalia comedy hapo wangekuja, lakini wakawadanganya watu wanaojitambua kuwa tunamwapisha mshindi.kwa sisi tunaofahamu mambo ya uhusiano wa kimataifa tunajua huu ni msiba mkubwa .
wakisusa shauri yao...kwanza hatuwafagilii kwani ndio chanzo cha kututia umasikini kwa kututawala kwa muda mrefu huku wakiiba na kupeleka kwao ughaibuni.
Argument yako bado inakuonyesha jinsi ulivyo bulicheka. Tuna utajiri wa kutosha lakini poor planning na u selfish wa viongozi ndio unaturudisha nyuma. Jiulize huu uchaguzi wa marudio wa kulazimisha umegharimu kiasi gani cha fedha ? Jiulize ule Mkutano wa katiba mpya uligharimu kiasi gani na katiba iko wapi? Jiulize yale mabasi ya mwendo kasi pale jangwani na ujenzi wa infrastructure yake dar vimegharimu kiasi gani? Jiulize hela ya ESCROW ilikuwa kiasi gani na iko wapi? Ukijumlisha haya yote kwa ukalumekenge wako jibu unalopata ni "yote hayo ni kwa sababu wazungu walitutawala muda mrefu! " give me a break!!!Bulicheka ni wewe ambae hujui kuwa hadi leo tunataliwa kwa mazingira waliotuachia ya kuwa tegemezi kwao...wewe unaona miaka 60 ya kujitawala ni mingiiiiii huna hata aibu...