Marekani, Ulaya Wasusia Kuapishwa Dr. Shein

Marekani, Ulaya Wasusia Kuapishwa Dr. Shein

Kwakua Serikali ya Magufuli imeahidi kuipa mishahara Smz ili iendelee kutawala kimabavu. Sheni Haoni tatizo la mabalozi hao kutohudhuria.
 
Sio issue....Rais keshaapishwa sasa anapanga safu yake..
 
Aah wacha wasusie tu, kwani lazima waje wao, huu ukoloni wa fikra sijui utatuisha lini!!! Kila kitu lazima wao wabariki na sie afrika tunakua kama tunangoja baraka zao, huu ni utumwa
 
Back
Top Bottom