Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,026
- 1,622
Mwandishi E Jean Carroll amemshtaki Rais wa Zamani, Donald Trump kwa madai ya kumbaka katika Miaka ya 1990, pia ameshtaki kwa kumkashifu baada ya kumshutumu kwa kusema uwongo alipojitokeza kuhusu madai hayo
Bi Carroll anadai kuwa tukio hilo lilitokea katika chumba cha kuvalia nguo katika duka la kifahari Jijini New York miaka 27 iliyopita, ingawa hadi sasa #Trump amekana madai hayo dhidi yake
Aidha, Sheria hiyo mpya ya Waathirika Watu Wazima ambayo ilianza kutumika rasmi Novemba 24, 2022 inaruhusu waathiriwa kujitokeza ikiwa unyanyasaji wa kijinsia ulitokea walipokuwa na umri wa zaidi ya miaka 18 na ulifanyika kwa tarehe ambayo inazidi mipaka ya muda ambayo ipo kwa uhalifu mwingi
.......
Writer E Jean Carroll has also sued Donald Trump for defamation after he accused her of lying when she came forward about the alleged assault.
Writer E Jean Carroll has sued Donald Trump in the US state of New York for allegedly raping her in the 1990s.
Ms Carroll is among the first to sue under the Adult Survivors Act, which came into effect on Thursday.
The state law allows a one-year period for victims to file sexual assault lawsuits in New York over claims that would have otherwise exceeded statute limitations.
The former president has denied the allegations against him.
Ms Carroll alleges the attack took place in a New York luxury department store dressing room 27 years ago.
The Adult Survivors Act allows victims to come forward if the sexual assault occurred when they were over the age of 18 and took place on a date that exceeds time limits that exists on most felonies.
It is modelled after the state's recent Child Abuse Act, which applied to victims who were abused as minors.
Source: BBC