GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,752
- 109,374
Wangekuwa ni Waisrael wangeitwa Wamarekani Mkuu? Unaniangusha bhana labda ukisema kuwa Marekani inawatumia mno Wayahudi hasa katika upande wao wa Intelligence and Defence ( katika Trainings na Strategies ) naweza Kukuelewa.Lakini wamarekani ni waisrael