Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

mwenye pdf ya hiyo taarifa amrushie Tundu lisu ili aelewe, ajue hata kama anachafua nchi, bado Mungu anaipenda Tanzania. akipewa bia na wazungu anabwia alafu anatamani tuwekewe vikwazo kwasababu hata pata maumivu, ashindwe na alegee. tumeshajua njama zake.

Tundu atabaki kuwa Tundu tuu

Cheers 🥂 chapwa24
 
mwenye pdf ya hiyo taarifa amrushie Tundu lisu ili aelewe, ajue hata kama anachafua nchi, bado Mungu anaipenda Tanzania. akipewa bia na wazungu anabwia alafu anatamani tuwekewe vikwazo kwasababu hata pata maumivu, ashindwe na alegee. tumeshajua njama zake.
Mabeberu wakikusifia ni sawa na wewe unavyompeleka ng'ombe malishoni,sio kama unampenda sana ng'ombe,la hasha,bali unataka ng'ombe atoe nyama iliyonona.
 
Kwa muktadha wa siasa za kimataifa na kifalsafa ningependa Tanzania tuwe close na Marekani kuliko kuwa close na China. Kwa bahati mbaya sana kuna vinamna fulani vya Marekani vimekaa kibeberu sana kwenye sera ya nje ya Marekani na hivi hunipa ukakasi.

Otherwise naiona hii move kama namna ya Marekani kuivuta karibu Tanzania ili isizido kusombwa na wimbi la China, ukisingatia pia awamu ya Magufuli ambayo haikutaka kujikomba kwa mtu yeyote huko nje ya nchi zaidi ya "win-win" conditions.
 
Hapa wamezungumziwa JWTZ sio Polisi wala mahakama wala wanasiasa. Huu usalama unaosemwa hapa unawahusu maharamia, waasi kama DRC na magaidi. Upinzani hauhusiki kama kijani walivyoanza kujisifia hapa, kwanza sifa yenyewe imetolewa katika ziara haina uzito. Alafu neno "leading" moja kwa moja halimaanishi kuongoza
 
mwenye pdf ya hiyo taarifa amrushie Tundu lisu ili aelewe, ajue hata kama anachafua nchi, bado Mungu anaipenda Tanzania. akipewa bia na wazungu anabwia alafu anatamani tuwekewe vikwazo kwasababu hata pata maumivu, ashindwe na alegee. tumeshajua njama zake.
Kosa si lako ndugu yangu, kosa ni elimu na uelewa mdogo. Hapa siongelei elimu ya kukariri darasani kama ilivyokuwa ya mwendakuzimu, hapana, naongelea elimu ya kuchambua na kuelewa mambo mazito ya dunia...kalaghabaho!
 
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika.

Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command ya Africa.

Pia taarifa hio imeitaja Tanzania kuwa ni mbia wa muhimu kwa Marekani katika nyanja za kiusalama.

Huenda tunajichukulia poa, kumbe tuko vizuri.

======
View attachment 1871917
U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), is greeted by an honor guard on arrival at the headquarters of the Tanzania People’s Defence Force during his visit to Tanzania July 27-28.

U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), conducted a two-day visit to Tanzania, July 27-28, where he met with senior defense officials and opened the first joint special forces training exercise between the two nations since 2017.

“Tanzania remains an African security leader and a partner of U.S. Africa Command. Our defense forces have a long history of working side by side. This visit is a symbol of our desire to strengthen that partnership, Townsend said.

On July 28 Townsend joined with General Venance Mabeyo, Chief of Defence Forces, for the opening ceremony of a Joint Combined Exchange Training (JCET) between a U.S. Special Forces Detachment and members of Tanzania’s Marine Special Forces at the Peacekeeping Operations Training Center in Kunduchi. The six-week exercise is the first of its type between the U.S. and Tanzania since 2017. The U.S. and Tanzanian forces will train side by side to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.

“U.S. Africa Command is committed to working with the Tanzanian military on regional challenges. We are strengthening our military ties through joint operational training and exercises,” Townsend said. “It’s important we develop our partnership with Tanzania to advance our shared goals and security objectives.”

Townsend’s visit also included a stop at the Tanzania People’s Defence Force (TPDF) headquarters in Upanga, where he was welcomed by an honor guard and met with senior leaders. In addition, Townsend visited the U.S. Embassy where he met with U.S. Ambassador to Tanzania Donald Wright and other Embassy personnel.

According to Ambassador Wright, the training exercise and Townsend’s visit are evidence of the importance that the U.S. places on its strong security cooperation with Tanzania.

“General Townsend’s visit reaffirms the broad and longstanding security partnership between the United States and Tanzania. As we celebrate 60 years of bilateral relations between the U.S. and Tanzania, this visit underscores the importance of security cooperation to that relationship based on mutual respect and shared values.”

Source: Ubalozi wa Marekani
Lakini msisahau kuwa hiyo taarifa imetoka siku moja na uzinduzi wa kitaifa wa biashara ya chanjo ya uviko ya JOHNSON AND JOHNSON...
 
Nusu ya wapiganaji Magaidi hiko Msumbiji inasemekana ni Watanzania sasa hao wakirudi nyumbani sijui itakuwaje?
 
Wengi watapinga hili kwa minajili ya kisiasa,lakini hapa Kuna ukweli bahati nzuri idara ya usalama ni nyeti hivyo raia wa kawaida huwezi kuelewa

..tungekuwa tunaongoza kwa usalama MO Dewji asingetekwa na Wasauz halafu atupwe karibu na makao makuu ya Polisi na baada ya hapo kuondoka nchini.

..Kitendo cha MO kutupwa na watekaji karibu na makao makuu ya Polisi kinaonyesha kwamba Tanzania tuko " UCHI WA MNYAMA " ktk masuala ya kiusalama.
 
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika.

Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command ya Africa.

Pia taarifa hio imeitaja Tanzania kuwa ni mbia wa muhimu kwa Marekani katika nyanja za kiusalama.

Huenda tunajichukulia poa, kumbe tuko vizuri.

======
View attachment 1871917
U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), is greeted by an honor guard on arrival at the headquarters of the Tanzania People’s Defence Force during his visit to Tanzania July 27-28.

U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), conducted a two-day visit to Tanzania, July 27-28, where he met with senior defense officials and opened the first joint special forces training exercise between the two nations since 2017.

“Tanzania remains an African security leader and a partner of U.S. Africa Command. Our defense forces have a long history of working side by side. This visit is a symbol of our desire to strengthen that partnership, Townsend said.

On July 28 Townsend joined with General Venance Mabeyo, Chief of Defence Forces, for the opening ceremony of a Joint Combined Exchange Training (JCET) between a U.S. Special Forces Detachment and members of Tanzania’s Marine Special Forces at the Peacekeeping Operations Training Center in Kunduchi. The six-week exercise is the first of its type between the U.S. and Tanzania since 2017. The U.S. and Tanzanian forces will train side by side to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.

“U.S. Africa Command is committed to working with the Tanzanian military on regional challenges. We are strengthening our military ties through joint operational training and exercises,” Townsend said. “It’s important we develop our partnership with Tanzania to advance our shared goals and security objectives.”

Townsend’s visit also included a stop at the Tanzania People’s Defence Force (TPDF) headquarters in Upanga, where he was welcomed by an honor guard and met with senior leaders. In addition, Townsend visited the U.S. Embassy where he met with U.S. Ambassador to Tanzania Donald Wright and other Embassy personnel.

According to Ambassador Wright, the training exercise and Townsend’s visit are evidence of the importance that the U.S. places on its strong security cooperation with Tanzania.

“General Townsend’s visit reaffirms the broad and longstanding security partnership between the United States and Tanzania. As we celebrate 60 years of bilateral baada ya kupokea chanjo yao ya kiintelijensia! Is it by coincidence amekuja siku ya kuizindua chanjo uchwara yao ya majaribio 🤔!?relations between the U.S. and Tanzania, this visit underscores the importance of security cooperation to that relationship based on mutual respect and shared values.”

Source: Ubalozi wa Marekani
Huyo anashangilia kupata mwari, kukubari kupokea na kudunga watz chanjo uchwara yao ya majaribio ya kiintelijensia! Tegemeeni kuanza kupokea sifa na mapambie kila sehemu huku wakitung'ong'a wakiwa behind scene!
 
GENTAMYCINE eti sio kwa Pussycat ndio namba moja?
Mmarekani akikusifia jua kwa Lugha nyingine anakutukana Tusi baya na Kubwa kwakuwa tayari kuna mahala penye Umuhimu ameona kuna Upungufu mkubwa.

Kauli hii ingetoka kwa Israel au Uingereza pekee ningekubali 100% kwa sababu zangu binafsi ambazo sihitaji Kuziweka hapa.
 
Lakini wamarekani ni waisrael
 
mwenye pdf ya hiyo taarifa amrushie Tundu lisu ili aelewe, ajue hata kama anachafua nchi, bado Mungu anaipenda Tanzania. akipewa bia na wazungu anabwia alafu anatamani tuwekewe vikwazo kwasababu hata pata maumivu, ashindwe na alegee. tumeshajua njama zake.
aaaah, wamarekani? hao wapo hivyo siku zote. kwani Lisu pia si alisababisha mwendazake akapigwa biti siku zile? hao wakikusifu, wakikukosoa au wakikaa kimya ni kwa maslahi yao. hapo mpaka tunasifiwa tayari ukute tushasaini kitu
 
Back
Top Bottom