Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

Lakini wamarekani ni waisrael
Wangekuwa ni Waisrael wangeitwa Wamarekani Mkuu? Unaniangusha bhana labda ukisema kuwa Marekani inawatumia mno Wayahudi hasa katika upande wao wa Intelligence and Defence ( katika Trainings na Strategies ) naweza Kukuelewa.
 
Na hicho ndiyo Wamarekani wanakitaka sana toka nchi za Kiafrika kuwa karibu zaidi na nchi za kiafrika kuliko ukaribu wa China na nchi za Kiafrika. Je, wataweza kutimiza lengo hilo? Tusubiri tuone maana mashindano ya Wachina na Wamarekani kuwa na influence kubwa Africa ndiyo yameanza rasmi.
Kwa muktadha wa siasa za kimataifa na kifalsafa ningependa Tanzania tuwe close na Marekani kuliko kuwa close na China. Kwa bahati mbaya sana kuna vinamna fulani vya Marekani vimekaa kibeberu sana kwenye sera ya nje ya Marekani na hivi hunipa ukakasi.

Otherwise naiona hii move kama namna ya Marekani kuivuta karibu Tanzania ili isizido kusombwa na wimbi la China, ukisingatia pia awamu ya Magufuli ambayo haikutaka kujikomba kwa mtu yeyote huko nje ya nchi zaidi ya "win-win" conditions.
 
mwenye pdf ya hiyo taarifa amrushie Tundu lisu ili aelewe, ajue hata kama anachafua nchi, bado Mungu anaipenda Tanzania. akipewa bia na wazungu anabwia alafu anatamani tuwekewe vikwazo kwasababu hata pata maumivu, ashindwe na alegee. tumeshajua njama zake.
Mkuu,Kwa ninavowajua US army.....Hii sio dalili nzuri
 
Kosa si lako ndugu yangu, kosa ni elimu na uelewa mdogo. Hapa siongelei elimu ya kukariri darasani kama ilivyokuwa ya mwendakuzimu, hapana, naongelea elimu ya kuchambua na kuelewa mambo mazito ya dunia...kalaghabaho!
kuhusu elimu, cdm ndio mnaoongozwa na utopolo aliyekimbia shule wakati wazazi wake walikuwa na uwezo kumsomesha shule yeyote, akaamua kuwa DJ, sasahivi anahangaika segerea huko kapewa ndoo. na bado.
 
Ni aibu kubwa kwa mumeo aliyekuoa. Yaani anakuhudumia kila kitu lakini usiku wa manane unamwota tundu lissu
mimi ni mwanaume mzee, naona unaota kuolewa, mimi sitakuoa nishaoa tayari na huwa sioi wanaume kama ninyi na askofu wenu mwamakula. mwenzenu si alishaolewa huko ubelgiji baada ya kutenguliwa kiuno! adui namba moja wa taifa.
 
Ungekuwa mwanaume usingekuwa kila wakati unakaa na kumfikiria mwanaume mwenzio (lissu). Kama kweli Ni mwanaume Basi utakuwa na homoni za kike. Yaani wewe maada hata Kama haihusiani na lissu lazima umtaje? Aibu kubwa sana
 
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika.

Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command ya Africa.

Pia taarifa hio imeitaja Tanzania kuwa ni mbia wa muhimu kwa Marekani katika nyanja za kiusalama.

Huenda tunajichukulia poa, kumbe tuko vizuri.

======
View attachment 1871917
U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), is greeted by an honor guard on arrival at the headquarters of the Tanzania People’s Defence Force during his visit to Tanzania July 27-28.

U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), conducted a two-day visit to Tanzania, July 27-28, where he met with senior defense officials and opened the first joint special forces training exercise between the two nations since 2017.

“Tanzania remains an African security leader and a partner of U.S. Africa Command. Our defense forces have a long history of working side by side. This visit is a symbol of our desire to strengthen that partnership, Townsend said.

On July 28 Townsend joined with General Venance Mabeyo, Chief of Defence Forces, for the opening ceremony of a Joint Combined Exchange Training (JCET) between a U.S. Special Forces Detachment and members of Tanzania’s Marine Special Forces at the Peacekeeping Operations Training Center in Kunduchi. The six-week exercise is the first of its type between the U.S. and Tanzania since 2017. The U.S. and Tanzanian forces will train side by side to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.

“U.S. Africa Command is committed to working with the Tanzanian military on regional challenges. We are strengthening our military ties through joint operational training and exercises,” Townsend said. “It’s important we develop our partnership with Tanzania to advance our shared goals and security objectives.”

Townsend’s visit also included a stop at the Tanzania People’s Defence Force (TPDF) headquarters in Upanga, where he was welcomed by an honor guard and met with senior leaders. In addition, Townsend visited the U.S. Embassy where he met with U.S. Ambassador to Tanzania Donald Wright and other Embassy personnel.

According to Ambassador Wright, the training exercise and Townsend’s visit are evidence of the importance that the U.S. places on its strong security cooperation with Tanzania.

“General Townsend’s visit reaffirms the broad and longstanding security partnership between the United States and Tanzania. As we celebrate 60 years of bilateral relations between the U.S. and Tanzania, this visit underscores the importance of security cooperation to that relationship based on mutual respect and shared values.”

Source: Ubalozi wa Marekani
Yaani ni kwamba tuko uchi duuu kiusalama Hawa jamaa huwa wanaongea kinyumenyume
 
Tanzania "shock absorber" ya MATATIZO YA AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI.

Tanzania inabaki mahala SALAMA NA PATULIVU kuliko nchi nyingi barani Afrika.

Kama kijana ninaupinga UGAIDI wa aina yoyote ile.

Kama kijana ninapinga HARAKATI ZOZOTE zenye lengo la KUTUCHAFULIA utulivu na amani ya nchi yetu kupelekea kuota kwa UGAIDI na vitendo mathalani vya hivyo.....

#SiempreTanzania
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
#HastaLaVictoriaTanzania
Tunawahitaji
WaZalendo kama nyie
 
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika.

Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command ya Africa.

Pia taarifa hio imeitaja Tanzania kuwa ni mbia wa muhimu kwa Marekani katika nyanja za kiusalama.

Huenda tunajichukulia poa, kumbe tuko vizuri.

======
View attachment 1871917
U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), is greeted by an honor guard on arrival at the headquarters of the Tanzania People’s Defence Force during his visit to Tanzania July 27-28.

U.S. Army General Stephen Townsend, Commander, U.S. Africa Command (AFRICOM), conducted a two-day visit to Tanzania, July 27-28, where he met with senior defense officials and opened the first joint special forces training exercise between the two nations since 2017.

“Tanzania remains an African security leader and a partner of U.S. Africa Command. Our defense forces have a long history of working side by side. This visit is a symbol of our desire to strengthen that partnership, Townsend said.

On July 28 Townsend joined with General Venance Mabeyo, Chief of Defence Forces, for the opening ceremony of a Joint Combined Exchange Training (JCET) between a U.S. Special Forces Detachment and members of Tanzania’s Marine Special Forces at the Peacekeeping Operations Training Center in Kunduchi. The six-week exercise is the first of its type between the U.S. and Tanzania since 2017. The U.S. and Tanzanian forces will train side by side to strengthen skills such as small unit tactics, marksmanship, medical treatment, unit maneuver, the Law of Armed Conflict, and the preservation of human rights in combat.

“U.S. Africa Command is committed to working with the Tanzanian military on regional challenges. We are strengthening our military ties through joint operational training and exercises,” Townsend said. “It’s important we develop our partnership with Tanzania to advance our shared goals and security objectives.”

Townsend’s visit also included a stop at the Tanzania People’s Defence Force (TPDF) headquarters in Upanga, where he was welcomed by an honor guard and met with senior leaders. In addition, Townsend visited the U.S. Embassy where he met with U.S. Ambassador to Tanzania Donald Wright and other Embassy personnel.

According to Ambassador Wright, the training exercise and Townsend’s visit are evidence of the importance that the U.S. places on its strong security cooperation with Tanzania.

“General Townsend’s visit reaffirms the broad and longstanding security partnership between the United States and Tanzania. As we celebrate 60 years of bilateral relations between the U.S. and Tanzania, this visit underscores the importance of security cooperation to that relationship based on mutual respect and shared values.”

Source: Ubalozi wa Marekani
Ndo maana si rahisi mtu kupenyeza ugaidi wake Tanzania, atadakwa tu
 
ifu yu wana kili e dogi ! halafu hao wajeshi wa marekani wanapokanyaga ni nuksi tupu na kama huamini angalia dunia nzima nchi wanazoingia...kama watakubali tubadilishaneni nchi .
 
Sifa kutoka kwa mabeberu ni tamu eh!? Beberu akikusifia basi ujue umemlegezea. La muhimu ni kutosahau misemo maaraufu iliyopo katika khanga za akina mama...
Screenshot_20210729-095328.jpg
 
Ukiona unasifiwa na marekani jiulize unakosea wapi?
Enzi zile si muda tuliambiwa na NGO zao kuwa tz ni taifa lenye kukosa furaha..
 
Ni uelewa mdogo wa lugha na muktadha wake.
 
Back
Top Bottom