Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
975
Reaction score
1,356
Habari wakuu.

Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior.

Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will Smith na Baraka Obama.

Naamini kwasasa sehemu kubwa Duniani kumeporomoka kimaadili lakini Marekani naona sio salama zaidi wakuu.

And unfortunately they call it freedom.
 
Umetaja rafiki zako, ila mifano unatupa yakina Obama??
 
WE umeona watoto wa pande za buza huko kwa mpalange mburahati mbagala vingunguti aisee utasema bora hao wamarekani
 
Haya mambo ya freedom kwa watoto ukiyaendekeza sana unaharibu wanao. Bora tu kulea kizamani.
 
Ulivyoona wewe hao Wamarekani Wameporomokaje maadili.?

Wanatembea miguu juu kichwa chini au wakoje wakoje? Fafanua mkuu?
 
WE umeona watoto wa pande za buza huko kwa mpalange mburahati mbagala vingunguti aisee utasema bora hao wamarekani
Mkuu hayo maeneo yote uliyo yataja sababu kubwa ni umasikini. Lakini Marekani they everything and yet ni afadhali vijana wetu huku Wakitanzania.
 
Back
Top Bottom