Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Ukiangalia tech yake Kama Google, FB, watsapp, Tweeter, YouTube, Amazon, master card, khaa uyu jamaa noma
 
Ndo maana Trump alikuwa anaeapiga spana wananywea
 
Afu mrusi anajitutumua na Rubble
 
Ukiona watu wanavyobwabwaja eti Kiduku Hadi nacheka
 
Sawa kabisa
 
Ni sawa na kuuliza jiran yako aliyekuzid anatoa wap pesa..

Tafuta hela mkuu
 
Urusi vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…