Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Pesa wanachapisha tu wenyewe
Kwa akili zangu za kawaida siyo za mchumi, Marekani ni wazalishaji wakubwa wa bidhaa za viwandani na teknolojia ya hali ya juu.

Wanauza teknolojia karibu kila kona ya dunia.

Maendeleo ya sayansi ndiyo mkombozi.

Sera zao za mambo ya nje ingawa ni za ubabe na kuburuza wengine zinawapatia nguvu kubwa za kiuchumi.
 
Marekani anafaidikaje na vita ya urusi na ukraine??
 
Alaf kuna mtu anataka et marekani akapigane na Kim jong mnyoa viduku , mara sjui India , hii nchi mnaikosea adabu Sana ....!!!


Hawa jamaa ndo super power aka kiranja wa Dunia ...Urusi ndo anaishilia hvyo R.I.P..mwaka kesho niataenda beach za Miami then naingia zangu visiwa vya Hawaii😀.... Tukiacha na yote hata Mungu kuna kitu kawaongezea siyo bure
 
Ni Sera nzuri ya imperialism ubepari wa Hali ya juu San ndio pia chanzo Cha yote hakukuwa na blahblaha za kushare resources equally za ujamaa wa kipumbafu
Kuadpot mfumu huu wa kusimamia uchumi wake wamefika Happ walipo

Russian Ni nchi tajiri pia nduo maana uwezi kuona warussian wakizagah zagaha duniani kutafuta fursa kwani unaambiwa kila kitu kipo Russian ndio maana Ni vigumu kumkuta mrusi mtani anapambana na miradi sijui ya ujenzi au kuchimba mafuta au kujenga reli hpna mrusi

Ana kila kitu nae mpk mbuga za wanyam nduo maana hatumuoni huku Africa akiangaika mno cjawai muona mrusi mtaali
All in all Sera za kibeparia na ubeberu limelisaidia San taifa Hilo pendwa duniani
 
Hapa kwenye mafuta US hajaamua kuwa serious akiamua hapa nakupa miaka 5 tunasahau habari za Diesel, Petroli na mafuta ya Taa kwanza angalia matumizi ya mafuta ya taa siku hadi siku yanapungua taa za chemli zimepungua, koroboi hakuna tena

Ndio maana nchi kama Qatar wameanza kuwekeza kwenye majengo wakijua mafuta yanakwisha na soon watu wanatoka kwenye utegemezi wa mafuta.
 
Kumbe watalii kutotalii ni dalili za Utajiri na kuwa na Mbuga kwenu.

Ila wasouth Africa wana mbuga nzuri tu ila bado wanakuja kutalii Nchi kwetu.

Halafu kumbuka kila siku tunaomba watalii waje ili tupate mapato ya kutosha chifu
 
Kwa kuchochea Vita duniani!

Na kuingiza uwoga na uchochezi!
Inamlipa,

Analipwa na anaowagombanisha mbona rahisi Tu!
 
Kabisa mkuu Trump aliwapiga sunctions China walilia Sana, angalia Huawei
 
Apo sasa afu mwendazake alivyokuwa anaropoka kuhusu mabeberu Hadi huruma
 
KUNA WATU WANASEMA RUSSIA NI TAIFA IUBWA, KIENEO SAWA[emoji23][emoji23][emoji23]

RUSSIA HAWEZI SIMAMA VITANI MIAKA MIWILI HANA UBAVU HUO WA KIPESA

NAPELEKA MAIKI KWA WARUSI WEUSI WA KWA LULENGE
Ndo ukweli
 
Mh! Washikaji kibao walioenda kusoma urusi wanarudi na wanawake wa kirusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…