Marekani: Mwalimu Arekodi Video Akimlawiti Mwanafunzi Wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani: Mwalimu Arekodi Video Akimlawiti Mwanafunzi Wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MziziMkavu, Jun 7, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280


  [​IMG]
  Scott Christopher Howe Sunday, June 06, 2010 1:53 AM
  Mwalimu mmoja wa kiume wa nchini Marekani amehukumiwa kwenda jela miaka 17 baada ya kurekodi video akimlawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 15. Aliyekuwa mwalimu wa wa shule msingi ya Cedar Lee Middle School ya Virginia, Marekani, Scott Christopher Howe amehukumiwa kwenda jela miaka 17.5 baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake wa kiume na pia kurekodi video akifanya kitendo hicho.

  Scott mwenye umri wa miaka 34 alirekodi jumla ya video 22 akimlawiti mwanafunzi wake ambaye alikuwa na umri wa miaka 15.

  Baadhi ya video hizo zilirekodiwa ndani ya mabafu na madarasa ya shuleni kwake.

  Video 9 zilipatikana kwenye laptop ya Scott wakati video zingine 13 zilipatikana kwenye external hard drive.

  Polisi walimkamata Scott baada ya kuitwa nyumbani kwake na mwenye nyumba wake ambaye alidai Scott analima bangi ndani ya nyumba yake.

  Wakati polisi wakisaka mimea ya bangi ndani ya nyumba yake, waligundua kompyuta yenye kamera iliyoelekezwa kitandani. Walipodadisi vilivyomo kwenye kompyuta hiyo ndipo walipokutana na video za Scott akimlawiti mwanafunzi wake.

  Mwanafunzi huyo aliwaambia polisi kuwa alikuwa akifahamu kwamba Scott hurekodi video anapomuingilia kinyume cha maumbile.

  Polisi pia waligundua mimea 15 ya bangi ndani ya chumba cha Scott.

  Akisomewa hukumu yake jana Scott alihukumiwa kwenda jela miaka 17.5 ingawa upande wa mashtaka ulitaka mahakama itoe adhabu kubwa zaidi.
   
 2. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Tobaaa! Hii ni hatari sana,ikiwa walimu ndo tunawategemea kuwa ndo wazazi/walezi wa wanetu wakiwa mashuleni mbali na nyumbani. Tahadhari kubwa inatakiwa kuchukuliwa na wazazi kufuatilia nyendo za watoto mara kwa mara na kuwa karibu nao maana hakuna wa kumuamini sasa. Eee Mungu tuepushe na hii gharika!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  i feel like killing this bastard............
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  na ipo katika jukwaa la JOKES!? dont c nothing funny about this!
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2016
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Dah!! Kumbe huko nako ni balaa zaidi.
   
 6. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2016
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,859
  Likes Received: 6,313
  Trophy Points: 280
  DUUH NDO WATOTO WANAKUWA MASHOGA
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2016
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,469
  Trophy Points: 280
  2010 thread
   
Loading...