Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,379
- 14,782
Dah, sasa askari kwenye scenario hiyo anatoka akiwa hero kabisaKama ulikuwa hujawahi jua maana ya propaganda angalau leo unekutana nayo usi kwa uso. Ni kweli ukisoma inaonesha ni kama aliyetaka kuuawa ni mzungu so askari mzungu kamtetea mzungu mwenzie kwa kumuua mweusi.
Karibu katika ulimwengu wa kitapeli!
Siyo uzembe bali nchi imejengwa katika utamaduni wa kutokuaminiana na umimi, ni falsafa tofauti ya "udugu" ya kitanzania.basi mamwela wa huko wazembe na hawana shabaha kabisa haiwwzekani wakashindwa kupiga mtu risasi ya mguu wakati mi hata jwa jiwe la manati naweza
Wenye falsafa ya kuokoa maisha ni firefighters, polisi Marekani wanafundishwa kuua kwanza kama kuna tishio lolote (mengine baadae), na kama mwenye tishio ni mweusi, hawajiulizi mara mbili.Sasa polisi alikuwa na lengo kuokoa maisha au kuondoa maisha? kwa sababu risasi nne ni nyingi hivyo alikuwa alikwisha kusudia kuuwa.
Hapana mkuu wewe ndio humtetea huyo polisi kisa tu blacks wakorofi yani hauangalii mazingira ya tukio lenyewe we ushapitisha tu kuwa ni haki yao tu kuuliwa hao.Wabongo ni hopless kabisa, yani vifua mbele wanamtetea mhalifu kwa kua ni black 😂😂😂
sasa hapa mnalalamika mtu kula risasi aise?TIZAMA VIDEO KWA UMAKINI
BILA OFISA HUYU KUFANTA HIVI, MTU ANGEKUWA ASHAPOTEZA MAISHA,
TUTAFAKARI,
Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.
Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
Yaani lile mwela la kizungu lilomuua yule niga limepatikana na hatia manjagu ya kizungu yamepanic yanaua hadi wanawake kisa weusi hilo liinchi lina sheria za kiboya ingekua bongo tungeyatia tairi za motoView attachment 1760058
Msichana wa miaka 16 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alishika kisu kuwadhuru Wasichana wengine
Ma’Khia Bryant amepigwa risasi nne kwa milio iliyosikika kwenye video inayomuonesha Msichana huyo akiwa na kisu. Hata hivyo, tukio lililokuwa likiendelea halipo dhahiri
Polisi aliyefanya tukio hilo ni Nicholas Reardon ambaye aliajiriwa mwaka 2019
====
Ohio officials release more body cam video of fatal police shooting of Black teen and urge community to await the facts | CNN
Columbus, Ohio, officials released additional body camera video on Wednesday of a police officer fatally shooting a Black teen who charged two females with a knife.edition.cnn.com
Acha fujo kwani ni sheria mtu anayetaka kuchoma kisu auliwe yeye kabla? unaweza ata kumjeruhi kwa risasi ya mguu ili naye kuokoa maisha yake, naye ni binadaamu lakini unammiminia risasi 4 kwa sababu ni black., angekuwa mzungu aliyeshika kisu angemgonga risasi ya mguu au mkono sio kifuani., na pengine wakati mwengine sio kisu kweli utakuta ni kisu cha bandia,, wacha sheriza zichukue mkondo wake.,Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.
Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
Sawa. Ngoja tusubirie indictment ya 2nd degree murder!Acha fujo kwani ni sheria mtu anayetaka kuchoma kisu auliwe yeye kabla? unaweza ata kumjeruhi kwa risasi ya mguu ili naye kuokoa maisha yake, naye ni binadaamu lakini unammiminia risasi 4 kwa sababu ni black., angekuwa mzungu aliyeshika kisu angemgonga risasi ya mguu au mkono sio kifuani., na pengine wakati mwengine sio kisu kweli utakuta ni kisu cha bandia,, wacha sheriza zichukue mkondo wake.,
Mauaji haya nayo ni ya kiwango cha second degree minimum ni 40 yers inprison
Waarabu inaeleweka mtu mweusi hana nafasi zaidi ya kuwa kijakazi wa ndani tofauti na america weusi wana nafasi ya kuwa wananchi halali kama weupe
Acha fujo kwani ni sheria mtu anayetaka kuchoma kisu auliwe yeye kabla? unaweza ata kumjeruhi kwa risasi ya mguu ili naye kuokoa maisha yake, naye ni binadaamu lakini unammiminia risasi 4 kwa sababu ni black., angekuwa mzungu aliyeshika kisu angemgonga risasi ya mguu au mkono sio kifuani., na pengine wakati mwengine sio kisu kweli utakuta ni kisu cha bandia,, wacha sheriza zichukue mkondo wake.,
Mauaji haya nayo ni ya kiwango cha second degree minimum ni 40 yers inprison