Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 555
- 664
Je, Iran chini ya Ayatollah ni wafadhili wa nini?!!Marekani mfadhiri mkuu wa ugaidi duniani
na kwa nini walenge waislam, ina maana wanaona waislam ni mbulula wanalipuka kwa jazba na wako tayari kuua?UNRWA - GAZA mfadhili mkuu ni US
Lakini hivyo vikundi vya kigaidi lazima vimtaje allah kwny ukhalifu wao
Shikamoo Mwislam by choiceMzungumzaji
Mbali na usafirishaji wa pesa taslimu kila wiki hadi kila siku 10 wa dola milioni 40 hadi 80. Afghanistan inatawaliwa na watu wanaoitwa Sara Yudin-Hakani. Mtandao wa Hakani unamaanisha chochote kwa mtu yeyote humu ndani? Vipi kuhusu Abdulla bin Laden? Nani anapata sehemu ya pesa hizo? Je, jina hilo linawafahamika kwa yeyote humu ndani? Kwa sababu pesa zenu, dola milioni 697 kila mwaka, pamoja na usafirishaji wa pesa taslimu, zinafadhili madrasa, ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, ISIS-Khorasan, na kambi za mafunzo ya kigaidi. Hicho ndicho kinachofadhiliwa. Ikiwa unadhani kwamba mpango chini ya Operesheni Enduring Sentinel, unaoitwa Women’s Scholarship Endowment, ambao hupokea dola milioni 60 kila mwaka, au Young Women Lead, ambao unapata takriban dola milioni 5 kila mwaka,
Video wakiumbuana live
Hamkosekanagi!hapa inazungumziwa marekani.Je, Iran chini ya Ayatollah ni wafadhili wa nini?!!
Uislam ni map yao yakuanzishia mikakati.Sababuna kwa nini walenge waislam, ina maana wanaona waislam ni mbulula wanalipuka kwa jazba na wako tayari kuua?
Itikadi zao kutoka kwenye mapokeo ya kitabu chaona kwa nini walenge waislam, ina maana wanaona waislam ni mbulula wanalipuka kwa jazba na wako tayari kuua?
that's how they create islamUislam ni map yao yakuanzishia mikakati.Sababu
Watu hawajui ila wanabishana,halafu kuna wakati kinyago hicho walichokichonga Cha uislam kinawaelemea .that's how they create islam
Kwanini wanalenga pia wanaume kuwafanya wanawakena kwa nini walenge waislam, ina maana wanaona waislam ni mbulula wanalipuka kwa jazba na wako tayari kuua?
Waganga wengi wanajiita manabii wapo kanisani wanafanya ujinga kwa jina la YesuUNRWA - GAZA mfadhili mkuu ni US
Lakini hivyo vikundi vya kigaidi lazima vimtaje allah kwny ukhalifu wao
Bro kama hao magaidi wapo kwa jaili ya uslam wangeenda palrstina kusaidia but watu kuvuruga waislamWatu hawajui ila wanabishana,halafu kuna wakati kinyago hicho walichokichonga Cha uislam kinawaelemea .
wanaharibu taasisi ya ndoa na familia, they are devil by natureKwanini wanalenga pia wanaume kuwafanya wanawake
Wazungu hutengeneza vivuli vya kukamilishia UOVU wao na uislam ni njia yao bora na ya muda MREFU.Hawawezi kuwapeleka vivuli Palestine sababu kivuli Chao Israel kipo tayari.Ile Israel ni military base ya wazungu na haswa Amerika.Bro kama hao magaidi wapo kwa jaili ya uslam wangeenda palrstina kusaidia but watu kuvuruga waislam
Wanatembea na tunguri na kutumia vifungu vya biblia kuagua?Waganga wengi wanajiita manabii wapo kanisani wanafanya ujinga kwa jina la Yesu