Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Mim ni shabik namba1 wa US,ila huyu kiduku ananinyima usingiz kabsaa,hii jeur anaitoa wap,..yaan hii kitu haijawai tokea toka ulimwengu uumbwe,..huyu atakua kichaa huyu,..huyu kwel anaeza lipua nuclear huyu...daah,sina matumain tena..
Kisa kiduku akunyime usingizi? "Boomer" moja ikiwa imepaki Phillipines inatosha kuisambaratisha NK yote kuwa majivu.
 
Mbona vyote ulivyo andika ndio nilivyo visema kwenye hiyo comment yangu uliyo ikwoti........
 
Kwa hili nakuunga mkono usemalo nikweli kuhusu hii vita ni ya wababe wa dunia kiduku ni chambo tuu.
 
kula laiki Mkuu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Wote tungekua tunatumia simati fOni zetu kusoma, na kuelewa kabla ya kukomenti, jf ingukuwa truu homu ofu gireti sinkazi...
 
unamaanisha pamoja na wao wakiwemo humo
 
We si unafatilia mainstream media na history uliyofundishwa form 1 sjui six,..ndomana hutokuja nielewa...wenzio tuko out f the box,tunaelewa wats goin on dunian hapa,..na ndomana nakwambia sabab za WW1,WW2, na hii WW3 ni zile zile sema hiv,we huzijui na hutozijua sabab ni mviv wa elim.
 
You guy you are very shallow kwenye history ya dunia that's why you are so busy to proud your self, in fact nikushauri usome sana ili next time uje hoja
 
We njoo na porojo zako kwanini miaka yote wanaishia kuweka vikwazo na kubweka tu ?..yaani hydrogen, makombora yote yanaelekezwa south na Japan halafu tuone nani atashinda
....North hatoguswa na ataendelea na development zake
..
 
Kiukweli siamini kama kuna vita yoyote itaibuka. Kama Marekani akitaka kumtuliza Kiduku itambidi afanye covert mission ya kuwasafisha top authority wote...tena in one swipe! Hii ni since Marekani ana alot to lose kuliko Korea.
Wakipigana leo Marekani akashinda hakuna atakaeshangaa lakini Korea akishaona hana namna ya kushinda aweza tupa mibomu yake popote mf Guam!...he has nothing to lose!
 
Wakati anafanya hayo DOGO kiduku Yuko wapi[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…