Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.!!!

Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,029
‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.

You
 

Attachments

  • IMG_4080.jpeg
    IMG_4080.jpeg
    154.1 KB · Views: 13
Wacha nitengeneze mask yake nilivalishe chawa moja humu niwapelekee.
 
Hivi NI kweli Venezuela wanauza madawa kulevya MAREKANI yaani nchi km nchi kbs inaingiza mapato
Sio kweli ni propaganda za Wamarekani kwa Venezuela ni kama anatafuta sababu za kuivamia. Mexico, Columbia ndio watengenezaji na wauzaji wakuu wa hizi dawa Venezuela ni kama route tu. Kwanini asideal na wazalishaji ambapo ndipo kuna source. Jibu ni kwamba Venezuela ndio nchi yenye deposite kubwa ya mafuta kuliko nchi yoyote duniani. Marekai anaisaka venuzuela toka enzi za Hugo Chávez na wakati huo madai yake yalikuwa mengine tu, sasa kaja zama hizi na madai mengine hadi kadeploy submarines kwenye ufukwe wa venezuela.
 
Hawa washenzi U.S leo Rais wa Syria ni rafiki yao
 
Hawa washenzi U.S leo Rais wa Syria ni rafiki yao
IImagine wao ndio wanaamua nani gaidi, nani dictator nani si gaidi... na dunia tunakubaliana nao tu. Halafu hawafichi wanakwamba kabisa huyo anatishia maslahi yao utadhani ni maslahi ya sisi sote.
 
Hivi NI kweli Venezuela wanauza madawa kulevya MAREKANI yaani nchi km nchi kbs inaingiza mapato
Mmarekani bado humjui Tu, hizo ni sinema zake ili amtandike na kuangusha utawala wa maduro.
Mabingwa wa kuzalisha madawa ya kulevya ni BOLIVIA, GUATEMALA,PERU NA COLUMBIA ingawa wengi wanajua columbia ndiyo kinara Ila kiuhalisia hizo nchi tatu ndiyo wazalishaji wakubwa Sana wa madawa .

Columbia ndiko kuna cartel na wasafirishaji wakubwa pia ni njia kuu ya kuingiza mzigo USA., Canada na ulaya
 
Back
Top Bottom