Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,526
USA ni akili kubwa huwa haikurupuki. Hapa nilipo nafanya mchakato mtoto wangu awe raia wa Marekani.Puto lipo nchini kwako halina ulinzi wowote unatumiaje f22🤣🤣🤣 lingekuwa na ulinzi si ndo wangechanganyikiwa kabisa? Hala wana kuja na a lame excuse eti lilikuwa juu ya nuclear facility 🤣🤣🤣 ni mjinga tu ndio ataamini hii, US kwa masatelaiti hakuliona toka awali na wanasema limekuwapo US kwa.muda wa.kutosha? Kama limetokea China hadi kufika US koooote huko hawakuliona?.
Usiwe maandazi tumia akili kidoooogo
Debris itasaidia nini wakati wachina washa "download" data?Wanachukua Debris "Mabaki" kwa ajili ya uchunguzi.
Haya mpeleke maana hata akili yako haina akiliUSA ni akili kubwa huwa haikurupuki. Hapa nilipo nafanya mchakato mtoto wangu awe raia wa Marekani.
Sawa mchina mweusi. Wako unampeleka China nini? Jiunge Tiktok kama bado haujajiunga.Haya mpeleke maana hata akili yako haina akili
Ticktock wanajiunga wanawake tu. We upo huko?Sawa mchina mweusi. Wako unampeleka China nini? Jiunge Tiktok kama bado haujajiunga.
"Kama akili haina akili itakuwaje ina akili?"
. 😴😁😁😁😁😈
Distance from Shanghai to Los Angeles ni miles 6400 almost 10400 km hivyo puto umbali wote huo USA hawakuliona mpaka limefika katikati ya nchi ndio wanahangaika nalo. Eti wanasuburi lifike kwenye eneo la Bahari???Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.
USSR View attachment 2506511View attachment 2506512
zipo Kama familia 5 hivi ,ndo zinazo I run marekani ,Hawa ndio ma master plannner wa muelekeo wa nchi ile."Wenye nchi" Marekani ni kina nani??
zipo Kama familia 5 hivi ,ndo zinazo I run marekani ,Hawa ndio ma master plannner wa muelekeo wa nchi ile.
Huwa situmii mitandao ya wachina.Ticktock wanajiunga wanawake tu. We upo huko?
Sijajiunga sina bando la mchezoChina atasubiri sana kwasababu
1. China teknolojia yake ni copy na paste. Hawana ubunifu kbsa. Software karibia zote tunatumia za Marekani. Hiyo simu unayotumia inatoka China ila Operating system ni ya Marekani.
2. China inaongozwa na watu wenye akili za kichina lkn Marekani inaongozwa na watu waliotoka katika mataifa mbalimbali. Kuna viongozi wenye asili ya tanzania, china, japani, india, israel, uingereza, iraq n.k wote wapo Marekani wanafanya kazi
3. Mashirika makubwa dunia kama UN, FAO, IMF n.k yapo Marekani.
4. Nguvu ya USD. Ukitaka kununua kitu chochote lazima utumie dola ya marekani. Ushawahi kununua kitu kwa Yuan mtandaoni?
5. Misaada ya kifedha na dawa. Marekani anatoa sana misaada ya kifedha na wakati mwingine anasamehe mikopo.
6. Entertaiment
Mieleka, muziki, Kikapu, kampuni kubwa za filamu zipo Marekani tena zinatumia teknolojia kubwa. Hollywood. Wanamuziki wakubwa duniani wapo Marekani wote hao wanakusanya pesa kutoka kwenye nchi mbalimbali wanapeleka kwao. Hata Wacheza filamu wakubwa wa China wapo Marekani kwa sasa.
Umejiunga Tiktok?
Mpaka wewe mtu uliyeko hapo igurusi umelijua hilo,unadhani hao wamarekani hawakujua kuwa kuna data zinaweza kuwa downloaded?Debris itasaidia nini wakati wachina washa "download" data?
Rais wa China ni kiongozi aliye madarakani kwenye mfumo uliojaa udikteta, ndio maana mtu wao wa ndani siku zote akidai demokrasia wanamla risasi on the spot., madhara makubwa na hofu aliyonayo rais wa China kwa US ni technolojia aliyopewa anawaza siku akijaribu ataumizwa vibaya sana yeye na watu wake ndio maana maamuzi ya China dhidi ya US siku zote ni negativeNdio maana wewe sio Rais wala kiongozi yoyote yule wa taifa kubwa especially China, hauna ufahamu wowote kuhusu masuala ya uongozi haujui madhara ya maamuzi mabaya kwa taifa na dunia kwa ujumla.
Kuongoza nchi sio kuji ongoza mwenyewe kutokana na hisia zako zinavyo kusukuma.
puto lishajizungukia vya kutosha kwenye anga lenu na kukusanya taarifa zake na kumtumia Mchina ndio mnakuja kulilipua halafu mnajitangaza, bora mngelipua kimya kimya.!Kuna mpuuzi humu kapost kuwa US ameshindwa kilipua hili puto bila kujua lilikuwa suala la muda tu alikuwa bado anapima options
Una zungumzia mambo makubwa kwa level ya chini sana.Rais wa China ni kiongozi aliye madarakani kwenye mfumo uliojaa udikteta, ndio maana mtu wao wa ndani siku zote akidai demokrasia wanamla risasi on the spot., madhara makubwa na hofu aliyonayo rais wa China kwa US ni technolojia aliyopewa anawaza siku akijaribu ataumizwa vibaya sana yeye na watu wake ndio maana maamuzi ya China dhidi ya US siku zote ni negative
Alipopewa wataalamu na technolojia kutoka US alifurahi sana na kuona anapendwa sasa shida inakuja wakati huu, China mpaka leo wameshindwa hata kuwa na mfumo wao wa technolojia ya simu za mikononi bado wanatumia Android ama iOS ambayo inamilikiwa na US,
zipo Kama familia 5 hivi ,ndo zinazo I run marekani ,Hawa ndio ma master plannner wa muelekeo wa nchi ile.
"Hiyo huwa ni danganya Toto tu,wenye nchi huwa tayari wameweka agenda mezani,so hao huwa wanatakiwa kupita humohumo sio kuja na agenda zao,na ukijifanya mjuaji utake kuwasahihisha Basi fasta wanaku r.i.p. Hivyo kwa marekani hata mwendawazimu inimradi ajue kuongea ,kusoma na ku saini mikataba Basi!,kwa sbb kila kitu unakikuta mezani ww ni kusaini tu ."Hiyo huwa ni danganya Toto tu,wenye nchi huwa tayari wameweka agenda mezani,so hao huwa wanatakiwa kupita humohumo sio kuja na agenda zao,na ukijifanya mjuaji utake kuwasahihisha Basi fasta wanaku r.i.p. Hivyo kwa marekani hata mwendawazimu inimradi ajue kuongea ,kusoma na ku saini mikataba Basi!,kwa sbb kila kitu unakikuta mezani ww ni kusaini tu .
Muambie kama ni rahisi akopi na yeye tumuoneNyinyi mnajua hata kucopy? Umekaririshwa kua mchina anacopy na wewe ukameza tu.
Yoda komenti zako zinafurahisha mno. Ni kama za kizee hivi mara nyingi(zina busara sana), hope nawe ni mzee vile vile!Ni zipi hizo familia?
Mchina alivumbua nini?Wanasayansi wa Kichina matata sana, kama una interest na masuala ya sayansi na teknolojia ebu jaribu kusoma chapisho lao la kisayansi ingawa ni refu kidogo lakini utajifunza mengi kwamba wanasayansi wa Kichina hawana mchezo - wana uwezo mkubwa wa ku-control puto liende popote wanako taka wao - binafsi sioni ajabu kwa nini USA ilihamua kulitungua, ingawa linaweza kuwa lilikuwa kwenye mission ya utafiti wa hali ya hewa na OZONE layer - who knows??