Mtanganyika analiona hili ila mchina halioni. Unadhani USA ana kitu gani anafanya kinachofanya hili unaloliona ww wachina wasilione?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 China naichukulia sawa na kijana muoga aliyeko kwenye ajira ya mshahara mdogo ila anaogopa kuacha ili ajiajiri.
China ameshikilia soko la electronics za kampuni nyingi sana ulimwenguni hasa kwenye uundaji.
Marekani ni mikwara tu na hizo bosheni za vikwazo ila China anaweza akamkazia vizuri tu.
Hilo ndo lengo lao kubwa ndo maana wakalipiga likiwa karibu na bahari na wakwa washaandaa watu kwenda okota mabakiWanachukua Debris "Mabaki" kwa ajili ya uchunguzi.
Huyo ni mwehuYaani nikishaona mtu badala ya kuandika hoja yeye analeta vihoja vya mabwana sijui mashoga basi najua huyu karithi akili mbovu kutoka kwa baba yake
Kabet ununue bando la kupimiwa ili ujielimishePuto linavuka hadi kufika usa walishindwa kuliona hadi limeingia katikati
Nyinyi mnajua hata kucopy? Umekaririshwa kua mchina anacopy na wewe ukameza tu.Mchina na sayansi wapi na wapi?Wawashukuru wazungu kwa kuwafundisha sayansi. China bado sana ,wao wanachojua ni kucopy tu.
Waneliona muda mrefu ila lilikuwa latembea kwenye makazi ya watuNot too late, according to The United States Department of Defense.
Wanasema, waliingilia (jam) mfumo wake wa mawasiliano siku kadhaa kabla ya utunguaji.
Una uhakika kua US hakuna ubaguzi?USA ni mfano halisi namna binadamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanavyoweza kuishi pamoja kwa amani bila ubaguzi wala chuki baina yao.
Unalipua vitu vyote vinaungua. Mchina ameshachukua data na ameshazituma kwenye space Station yake, ambayo hakuna nchi dunia yenye space station kama china.Hilo ndo lengo lao kubwa ndo maana wakalipiga likiwa karibu na bahari na wakwa washaandaa watu kwenda okota mabaki
Wachina sheria zao ndio ngumu. ndio maana wanafeli kufanya maamuzi magumu.Mtanganyika analiona hili ila mchina halioni. Unadhani USA ana kitu gani anafanya kinachofanya hili unaloliona ww wachina wasilione?
China ni kunguru MwogaUngefuatilia huo utaalamu wa kuunda hizo electronics kautolea wapi, na usishangae kwenye kiwanda ukamkuta top ni mzungu toka US., nikupe hadithi moja
Rafki yangu alipoenda china kufanya masters fulani alipoingia darasani alimkuta mmarekani ndio lecture akashangaa sana hivi china wanakwama wapi ata elimu ya vyuo vikuu wanakodi walimu toka US?
US hawana mkwara jana wameshatungua puto huko ingekuwa china ingekuwa wanakimbizana tu vipi tulipige au tuliache, tukifyatua itakuwaje, US halazi damu
Puto la ukubwa huo 37km juu ndani ya anga la Marekani tena over nuclear facility halafu lisionekane sijui hao wachina waliwaza nini!Hawawezi,kwanza ni aibu kwao kukamatwa .Nia yao ilikuwa hilo puto lisionekane kabisa,ndo maana wakaona aibu ikabidi wasingizie kuwa lilikuwa linachukua météorologiques data.
China hapendi zogo, sio kwamba alishindwa kuilipua.Vipi kule Taiwan alishindwa nini? ni kwa nini hasa hakutungua ndege ya Pelosi alipotembelea Taiwan ukiambiwa jiambie China anaiopoga US kama unavyoogopa kitu chochote kile
Ubaguzi upo kila mahali dunianiUna uhakika kua US hakuna ubaguzi?
Mkuu Sheria tu hazitoshi kuwa blind kwenye jambo ambalo ww unaliona wao wasilione.Wachina sheria zao ndio ngumu. ndio maana wanafeli kufanya maamuzi magumu.
Very true.hata ndani ya familia moja hua kuna ubaguzi itakua nchi kubwa kama US ndio isiwe na ubaguzi!Ubaguzi upo kila mahali duniani
Unajuaje wakat wanauingilia mambo yalikuaje !!?Not too late, according to The United States Department of Defense.
Wanasema, waliingilia (jam) mfumo wake wa mawasiliano siku kadhaa kabla ya utunguaji.
Hili ndilo swali la msingi.Puto linavuka hadi kufika usa walishindwa kuliona hadi limeingia katikati
Duuh!Mchina na sayansi wapi na wapi?Wawashukuru wazungu kwa kuwafundisha sayansi. China bado sana ,wao wanachojua ni kucopy tu.
Wewe unge tungua ?Vipi kule Taiwan alishindwa nini? ni kwa nini hasa hakutungua ndege ya Pelosi alipotembelea Taiwan ukiambiwa jiambie China anaiopoga US kama unavyoogopa kitu chochote kile