Marekani imelitungua puto la kichina

Marekani imelitungua puto la kichina

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,721
Reaction score
27,820
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.

USSR
Screenshot_20230204-010750.jpg
Screenshot_20230204-233046.jpg
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
 
HSA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.

Haishangazi,wenye waliuawa na waingereza..so nchi imekua jalala,Ina fursa..kweli,lakini Haina utu Wala utamaduni,ni mkusanyiko tu wa watu na tabia na mambo ya ajabu
 
Nchi gani yenye utu?
  • Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
  • Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
  • China anataka kuipa Taiwan
  • Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
  • Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
  • Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
  • Somalia Alshabab hao
  • Nigeria unakutana na boko Haram
Wapi ni salama waende wakaishi?
 
USA

USSR
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.

Kaka, Canada nimekutana na mtu ni mkazi wa Muda amemaliza degree ana miaka 25 kutoka Carrebian ila anasimamia kitengo kizima na wazungu wanamtii sana(mfano uwanja wa Taifa, zile biashara zote zinazofanyika pale ziwe chini ya taasisi moja)

Nikaema Tz hapa watu wangeshtupiana majini
 
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.

USSR View attachment 2506511View attachment 2506512
USA wameonyesha udhaifu, kwanini walishindwa kulidaka hilo puto ili walichunguze zaidi?
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.

America is a foreigners land. Only the red Indians identify as indigenous Americans, wengine wote ni wakuja.

Hata wewe ukishatia mguu Marekani unakuwa Mmarekani. So usishangae kuona muhindi au mtu mweusi kuwa na cheo.
 
Nchi gani yenye utu?
  • Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
  • Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
  • China anataka kuipa Taiwan
  • Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
  • Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
  • Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
  • Somalia Alshabab hao
  • Nigeria unakutana na boko Haram
Wapi ni salama waende wakaishi?
Mbona haujaandika Mabwana zako walivyomuua Gadafi bila kosa au Sadam Hussein
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
Hiyo huwa ni danganya Toto tu,wenye nchi huwa tayari wameweka agenda mezani,so hao huwa wanatakiwa kupita humohumo sio kuja na agenda zao,na ukijifanya mjuaji utake kuwasahihisha Basi fasta wanaku r.i.p. Hivyo kwa marekani hata mwendawazimu inimradi ajue kuongea ,kusoma na ku saini mikataba Basi!,kwa sbb kila kitu unakikuta mezani ww ni kusaini tu .
 
Si Puto tu au kuna kingine?
Wanasayansi wa Kichina matata sana, kama una interest na masuala ya sayansi na teknolojia ebu jaribu kusoma chapisho lao la kisayansi ingawa ni refu kidogo lakini utajifunza mengi kwamba wanasayansi wa Kichina hawana mchezo - wana uwezo mkubwa wa ku-control puto liende popote wanako taka wao - binafsi sioni ajabu kwa nini USA ilihamua kulitungua, ingawa linaweza kuwa lilikuwa kwenye mission ya utafiti wa hali ya hewa na OZONE layer - who knows??

Back
Top Bottom