Marekani imeanza ku-test Mitambo

Mbona ndege zenyewe zimepitwa na wakati?
 
Kinacho onekana ni MAMLUKI tu wanatengeneza vita ili kuidhoofisha dola..... ila hawataweza!
Kwa miaka sasa, MAMLUKI wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha middle East hakuna political stability!
 
Mbona ndege zenyewe zimepitwa na wakati?
Ni precious bad bird, ziko upgraded to meet the 21 century technological demands/requirement

It can carry nuclear or precision guided conventional ordnance with worldwide precision navigation capability. In a conventional conflict, the B-52 can perform strategic attack, close-air support, air interdiction, offensive counter-air and maritime operations.
Mbona ndege zenyewe zimepitwa na wakati?
 
Acha uongo
 
Kwa
Kwani israel tayari ametangazwa mshindi vita ya Gaza?? si ndio kwanza Israel wanataka ceasefire Hamas wanakataa
Akili yako kiduchu unadhani Magaidi wa Hamas hii ngoma watashinda!? Hizo ni ndoto za mwendawazimu zinakusumbua!!!Marekani haiwezi kuivamia
Uwezo wa marekano kuivamia Iran ni mdogo sana jeshi la Marekani ni dhaifu usidanganyike na muvi ....
Kuna tofauti ya kuvamia na kushambulia!! Marekani itaishambulia Iran kama nchi hiyo italeta za kuleta!!
 
..factor muhimu hapo kwa any powerful military power ni..technology, budget, and global reach USA hapo wako vizuri kuzidi
Hakuna mtu kaipambanisha Iran na USA, nilichosema ni kuhusu silaha na masuala ya kiteknolojia za kijeshi ilivyobadilika, nchi nyingi sasa hata ndege vita kurusha wanakuwa waangalifu sana, ndio maana hata Russia hajapata air superiority nchini Ukraine, leo hii kuna kila aina ya makombora kama hizo MANPADS, patriots, s400 n.k, hata hizo stealth kama F-35 zinadhibitika.

Sasa zungumzia drones, cyber weapons, hypersonic missile, AI n.k...
 
Who cares bro. Hiv unafikir mzungu anajali hilo. Sema sisi ndio tutakufa kabisa kiuchumi
Mzungu asijali vipi wakati mshirika wao yuko mashariki ya kati amezungukwa na mataifa ya kiarabu ambayo hayamtaki.
 
Mitambo inayotestiwa waajemi waliposilimu ndio wahusika wakuu wa kuivumbua.
Wanasayansi kibao waliogundua madawa ya kutengenezea mabomu na kujishughulisha na mambo ya anga waliotokea maeneo ya Iran na jirani yake.
.......... Cha kushangaza na ndipo rais wao akafariki kwenye ajali akiwa ndani ya ndege moja kuukuu ya Marekani sijui hizo za Iran zilikuwa wapi siku hiyo angezipanda.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
.......... Cha kushangaza na ndipo rais wao akafariki kwenye ajali akiwa ndani ya ndege moja kuukuu ya Marekani sijui hizo za Iran zilikuwa wapi siku hiyo angezipanda.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Ndege zitafuata baadae.Ama kwa ballistic na nuclear hakuna mjadala.
Ndege muda wake hauko mbali na ukifika hakuna cha kuzuiliwa wala nini.Kwani lazima washirikiane na US.
 
Kwa

Akili yako kiduchu unadhani Magaidi wa Hamas hii ngoma watashinda!? Hizo ni ndoto za mwendawazimu zinakusumbua!!!Marekani haiwezi kuivamia

Kuna tofauti ya kuvamia na kushambulia!! Marekani itaishambulia Iran kama nchi hiyo italeta za kuleta!!
Wana global reach, bila kuingiza buti aridhini
 
Siwezi kubishana na wewe kwani sijui umesoma ngazi gani kwenye Elimu ihusuyo masuala ya kimataifa...
Mimi nimemaliza shule ya msingi kilwa-kivinje umenigwaya? Acha kukaririshwa!!
 
Kwani US ana ukuu gani lini US alienda vitani peke yake akashinda na haijawahi kutokea akaenda vita peke yake
Eti Marekani haijawahi kwenda vitani peke yake na Huko Vietnam alienda na Mama yako tu na hatujui Usiku ilikuwaje maana walikuwa wawili tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…