Kuna watu humu aidha kwa kuwa uelewe mdogo wa mambo au kuamua kupotosha umma wanadai Marekani pamoja na nchi za ulaya zinapambana na uislamu jambo ambalo si kweli, Kwanza niseme kuwa viongozi wa kimarekani hakuna mwenye hofu ya Kimungu(maana wanamwaga damu sana) ila wao hupigana kutetea maslahi yao binafsi pamoja na watoto na vizazi vyao, hata kama wewe ni mkristo ukigusa maslahi ya wamarekani utapigwa tuu.
Mashariki ya kati ambapo uislamu umejikita na wana mali nyingine ikiwemo mafuta ndo maana wanapigika kama wazungu wangelikuwa wanapambana na uislamu wasingeruhusu ujenzi wa misikiti nchini mwao na wangeanza kuipi mecca na Medina ambazo ni chimbuko la uislamu.
BWT Dini tumeletewa na wazungu hivyo tuache kukashifiana sababu ya dini.