Marekani yaomba Ceasefire kwa masaa 48, Iran yakataa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,126
Reaction score
24,419
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa

Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING

The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused

United States is trying to secure the release of its F-15 pilots

View: https://x.com/i/status/2040180480612667606
 
1775253809674.png
 
Chai
 
wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
Pilot 2 moja kaokolewq, mind you helicopter iliyoend muokoa nayo ilipigwa kombora na kuna fatalities. Same time ndege nyingine imetunguliwa so siku moja walau ndege tatu zimedondoshwa how do you call that weakness.

It was all about taking down the planes whether people survived that is something else.
 
Mtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,

Hivi kwanini hua mnapenda kujitoa ufahamu? Au ndio kutawaliwa na mahaba niue mpaka mnajigeuza kua mazuzu?
 
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa

Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING

The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused

United States is trying to secure the release of its F-15 pilots

View: https://x.com/i/status/2040180480612667606

1) Tulisema mapema hakuna kurusha taulo !!!

2) lkn pia hakuna fursa yoyote ya mtu kujipenyeza ili kuweza kurusha taulo

3) tumefunga ulingo kwa fence mazubuti hakuna fursa kutupia hata kwa mbali,,

Si M'meuwa Ayatollah wetu!!
mkatamba kwenye MEDIA sasa Tuendelea kuzikana kwenye Udongo.. !!!

kipyenga cha kumaliza mechi ninakimiliki mm.

Hakuna kupoaa!!

pigana mwanaume ukajisifie kwenye MEDIA !!
 
Pilot 2 moja kaokolewq, mind you helicopter iliyoend muokoa nayo ilipigwa kombora na kuna fatalities. Same time ndege nyingine imetunguliwa so siku moja walau ndege tatu zimedondoshwa how do you call that weakness.

It was all about taking down the planes whether people survived that is something else.

Muwe mnasoma na kuelewa. Helcopter ilishambuliwa, lakini haikudunguliwa, iliendelea na safari.

The US Black Hawk helicopter taking part in the search was also hit by Iranian fire but not brought down.

Lakini uwezo wa Iran kushambulia ndege za Marekani zikiwa angani kumewashangaza wengi maana Marekani ilisema imeumaliza uwezo wa ulinzi wa ulinzi wa anga wa Iran.
 
Mtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,

Hivi kwanini hua mnapenda kujitoa ufahamu? Au ndio kutawaliwa na mahaba niue mpaka mnajigeuza kua mazuzu?
Anapigana au anapigwa tuu, ndege zaidi ya 100 zinapiga na kutoka kila siku, jana kaangusha moja kibahati mnamwita superpower😁
 
Ndege imeangushwaje kibahati? Unafikiri ni kubet huko? Iran wamerelease footage jinsi ndege ilivyopigwa kwa kuonwa na Radar,halafu wewe unaleta lugha za "Bahati"

Kumbe hata hufuatilii hii vita,hujui hata madhara wanayo yapata US +Israel kwenye hii vita,Iran amekuletea madhara mpaka wewe huko kwa kukupandishia bei ya mafuta,

Endelea tu kumfuatilia Zuchu,haya mambo sio level zako,unajiaibisha tu hapa.
 
Mtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,

Hivi kwanini hua mnapenda kujitoa ufahamu? Au ndio kutawaliwa na mahaba niue mpaka mnajigeuza kua mazuzu?
Mtu akishafumuliwa marinda akili nazo zinatoka... Ukijadiliana na watu wa aina hiyo ni kupoteza muda
 
One-sided story. 😁
Japo wavaa kobazi wa Irani imeanza kuwakubali kiaina kwenye uwanja wa vita.
Hii vita watu waliingia bila ya strategy marekani na israel wanaenda kuaibika ,nchi za ulaya zilijua haya yote ndio maana walikataa mapema kuingia kichwa kichwa
Na ground invasion ndio wasithubutu maana hawajawahi kufanikiwa hata vita moja, from vietnam, afghanistan, hezbollah 2006, na sasa iran wapo very weak on the ground achilia mbali geography ya iran ambayo hata ndege tuliaminishwa hazigusiki kama f35 zinadondoshwa tu
Trump anabadilisha story kila siku, straightvof homurz imemshinda, washkaji aliowategemea wamemtosa, kwisha habari yake kabakia kufukuza hadi majenerali kati kati ya vita hiyo tu kwa wenye akili timamu ni mambo magumu, hali kama hii ilitokea israel alivyopigwa kwa aibu na hezbollah 2006, viongozi kijeshi wa israel walijiuzulu
 
Back
Top Bottom