Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
Kwa uandishi huu wa hovyo inabidi Urusi itoe tamko la kutomtambua wala kujihusisha na mtu aitwae Mechanic 97.
 
Sikwa ajili ya uporaji ambao amekua akifanya miaka nenda rudi
Marekani imekuwa na rasilimali muhimu za aina zote unazozijua wewe na pia inazalisha chakula na kuuza nje ya nchi hadi inakosa masoko.
 
ARV hazichimbi madini
ARV zinaendeleza ukimwi
ARV sio Bure

Ila bidhaa kutoka kampuni kama shantui, xcmg, Sany, Sdlg, zoomlion, sinoray kutoka china zimezagaa humo maporini zikijenga uchumi wa nchi za afrika.

Sema nini mkuu pole Kwa kupita peku wenzio wanafungua Hadi migodi Mashamba makubwa Kwa bidhaa kutoka china wewe unawaza ARV pole sana
Wachina wanazipa mikopo nchi za Africa halafu wanachukua tenda za kujenga hiyo miondombinu wenyewe kwa kuleta hadi vibarua wao. Pesa zinarudi kwao kwa riba na kupitia wakandarasi wao.
 
USA alikuwa anacheza gambling ya hatari sana,ni rahisi kumshusha China kiuchumi na hata asisomeke tena kwwnye ramani ya dunia kuliko Russia maana Uchina hana resources na technology- vyote hivyo anategemea washirika wengine.
Tofauti na Russia Nchi kama Nchi ina resources za kumwaga na technologies toka miaka ya 1900 watu wake wana akili.
Russia kilochokuwa kinakosekana na Uongozi tu kama Tanzania.
Tusipende sana kuziamini habari za wazee wa vijiwe vya kahawa

China imeiacha Urusi mbali sana kwa Teknolojia,
China ndio nchi inayoongoza kwa kwa madini ya rare earths ambayo ni muhimu sana kwenye enzi hizi za vifaa vya dijitali,
China ni mzalishaji namba 5 wa mafuta duniani,
China ni mzalishaji namba 1 wa dhahabu duniani.
China ndiye mzalishaji mkubwa namba 1 duniani wa makaa ya mawe.
Wachina wanauza karibia kila bidhaa kwa sasa duniani,
 
USA alikuwa anacheza gambling ya hatari sana,ni rahisi kumshusha China kiuchumi na hata asisomeke tena kwwnye ramani ya dunia kuliko Russia maana Uchina hana resources na technology- vyote hivyo anategemea washirika wengine.
Tofauti na Russia Nchi kama Nchi ina resources za kumwaga na technologies toka miaka ya 1900 watu wake wana akili.
Russia kilochokuwa kinakosekana na Uongozi tu kama Tanzania.
Hizi ni Teknolojia 4 muhimu zilizochangia kuleta mageuzi duniani zilizogunduliwa China.

1.Utengenezaji wa karatsi
2.Gunpowder
3.Printing
4.Dira

Huwezi kutaja mageuzi makubwa ya kilimo duniani bila kuitaja Green Revolution ya China.
 
Akipatikana Kiongozi kama putin kwa Russia na China kwa miaka 15-25ijayo,USA itabaki historia kama iliwahi kutawala Dunia kama zilivyo dola zingine
China huiwezi kuilinganisha au kuiweka kapu moja na Urusi. Uchumi wa China wa Trillion 18 huwezi kuulinganisha na Uchumi wa Urusi wa Trillion 1.7

Pia nchi moja kuitawala dunia ni jambo complex na sio rahisi tu kwa sababu ya kiongozi mmoja. Uingereza kuitawala dunia enzi zake lilikuwa ni suala la karne nyingi, Marekani kuitawala dunia ni suala la miaka mingi na mambo mengi. Ni uchumi wa kidunia, uwezo wa ku project nguvu za kijeshi na kiuchumi na pia utamaduni wake. China zaidi ya uchumi mkubwa haina au haiwezi haya mambo mengine na pia haiko interested nayo.
 
Unaangalia uchumi wa makaratasi ambao unategemea mataifa mengine??,sasa kama hayo majimbo yana uchumi mkubwa kuliko Russia ilikuwaje vikwazo dhidi ya Russia vimeleta effects za kiuchumi USA??
Hata Germany,France,Italy na UK wote wana uchumi mkubwa kuliko Russia so why wamekubwa na mdororo wa kiuchumi kuliko Russia yenye uchumi mdogo??
Wakati wa vita vya Urusi uchumi wa Marekani umekuwa Imara zaidi pia China imeisaidia pakubwa Urusi kutoumizwa ilivyokusudiwa na vikwazo vya West.
 
Ukisikia mental slavery ndio hiki,,kwani wewe huna wataalam wa kutengeneza ARV mpaka USA ndio wakutengenezee kwani wao walijifunzaje na kwa nini wewe ushindwe??

Kabla USA hajawa kiranja wa Dunia,Russia aliwahi kuwa katika nafasi hiyo-uliwahi kusoma wapi katika Historia alikuja kutawala Nchi za kiafrika??

Vilevile,tambua kuwa Idadi ya Waafrika waliokwenda kusoma Soviet kipindi cha Ujamaa ni wengi sana.
Urusi haijawahi kuwa kiranja wa dunia achilia mbali wa Ulaya au Asia.
 
Ukisikia mental slavery ndio hiki,,kwani wewe huna wataalam wa kutengeneza ARV mpaka USA ndio wakutengenezee kwani wao walijifunzaje na kwa nini wewe ushindwe??

Kabla USA hajawa kiranja wa Dunia,Russia aliwahi kuwa katika nafasi hiyo-uliwahi kusoma wapi katika Historia alikuja kutawala Nchi za kiafrika??

Vilevile,tambua kuwa Idadi ya Waafrika waliokwenda kusoma Soviet kipindi cha Ujamaa ni wengi sana.
Wote waliosoma urusi walirudi masikini na kuajiriwa serikalini
 
Uliza kwa nini dola haikamatiki kijana sio unakurupuka
Iache dola iendelee kupanda kama unavyosema udhanie ndio ishara ya uchumi mzuri
Russia na hamas wakamatie hapo hapo waliposhikilia
Fafanua inakuwaje uchumi wa Marekani kama unashuka pesa Yao Kwa Nini thamani yake inapanda kama ilivyo sasa kutwa inapanda
 
Kwakipmo cha operation alichoendesh huko Ukraine ambae alikuw sapoted na NATO huuitaji kuambiw kuwa Russia is a big country 🪑[emoji838][emoji91][emoji91]


Miak 2 sasa nakuna utulivu fuln bado taifa la Russia liko naloo

God bless Russia (Putin
 
US yuko bize na magaidi ya Hamas pale middle east. Yupo pale baharini kuzuia mbwa yeyote wa kiarabu kuingilia shughuli ya Israel kufanya usafi pale Gaza.
 
Kwakipmo cha operation alichoendesh huko Ukraine ambae alikuw sapoted na NATO huuitaji kuambiw kuwa Russia is a big country 🪑[emoji838][emoji91][emoji91]


Miak 2 sasa nakuna utulivu fuln bado taifa la Russia liko naloo

God bless Russia (Putin
NATO haijaisapoti Ukraine mpaka sasa kwa sababu sio mwanachama wa NATO.

Hata msaada wa EU umekuwa unakwamishwa na Hungary.
 
Wachina kwenye kazi zao hawanaga uchoyo kukukatia pande la maana kukufundiji jinsi ya kufanya hawanaga noma aisee. Raia kibao zimefundishwa ufundi na wachina
Ttzo unajitia upofu kuwa technology yote imetoa ulaya leo wazungu hawapo sana huku Afrika ila wachina wapo huku sasa ni kituko kusema mtu mchoyo wkt kwasasa hawapo huku ila usisahau ujuz mwingi uliopo africa na hata China umeletwa na mzungu , Wachina wana roho mbaya sana huez mlipa mtu elf 4 kwa kaz ya siku nzima , wazungu ndo watu wanaheshimu sana haki za wafanyaka wao
 
Hili la watoto wadogo kumezeshwa majira asee dah
Haya majamaa mashenzi sana niliwahi kwenda maeneo huko asee mpaka huruma kwakweli
Linapita gari linatangaza kabisa kugawa madonge ya majira kama wanagawa mambo yamaana
Yaani ile sehem miaka 15 mpaka 20 ijayo kutakua na shida kubwa sana ya kuzaliana na maradhi ya saratani
Waafrika tusipoamka haya mazungu pori yatazidi kutumaliza nakututia maradhi kwawingi sanaaa
Hakuna kitu cha msaada kilicho bora , tafuten pesa tuletewe njia bora za uzaz wa mpango badala ya kulalama
 
Back
Top Bottom