Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
Ukisikia mental slavery ndio hiki,,kwani wewe huna wataalam wa kutengeneza ARV mpaka USA ndio wakutengenezee kwani wao walijifunzaje na kwa nini wewe ushindwe??

Kabla USA hajawa kiranja wa Dunia,Russia aliwahi kuwa katika nafasi hiyo-uliwahi kusoma wapi katika Historia alikuja kutawala Nchi za kiafrika??

Vilevile,tambua kuwa Idadi ya Waafrika waliokwenda kusoma Soviet kipindi cha Ujamaa ni wengi sana.
 
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
Unaijjwa America , we endelea kuhadithiwa tu
 
Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
Wanarudisha chenji ya Mali walioiba.
 
ARV hazichimbi madini
ARV zinaendeleza ukimwi
ARV sio Bure

Ila bidhaa kutoka kampuni kama shantui, xcmg, Sany, Sdlg, zoomlion, sinoray kutoka china zimezagaa humo maporini zikijenga uchumi wa nchi za afrika.

Sema nini mkuu pole Kwa kupita peku wenzio wanafungua Hadi migodi Mashamba makubwa Kwa bidhaa kutoka china wewe unawaza ARV pole sana
Kwanini usijikinge kiongozi? Ugonjwa wametengeneza wao hili uwe tegemezi kwao wakufanye watakavyo. Leo watakwambia uwe shoga, kesho msagaji, mtondogoro Wanafunzi DARASA la 3 wameze Dawa za kuzuhia mimba n.k ukikataa hawakupo Dawa za ukimwi.
 
Unaangalia uchumi wa makaratasi ambao unategemea mataifa mengine??,sasa kama hayo majimbo yana uchumi mkubwa kuliko Russia ilikuwaje vikwazo dhidi ya Russia vimeleta effects za kiuchumi USA??
Hata Germany,France,Italy na UK wote wana uchumi mkubwa kuliko Russia so why wamekubwa na mdororo wa kiuchumi kuliko Russia yenye uchumi mdogo??
Uchumi wao sio rasilimali bali ni propagandah na na makaratasi yao aka Dora, euro. Mikwara kibao.
 
Mchina Hana utu? Aisee Kati ya mataifa ambayo yanayoheshimu tamaduni na uwezo wa watu wengine ndio hayo iliyo yataja labda india
Mkuu ushawahi kukaa na wachina???
Au kufanya biashara na wachina na unajua mitazamo yao kuhusu wabantu???
Nenda urusi afu kakae mikoa ya nje ya moscow na Petersburg mkuu???
 
Wachina kwenye kazi zao hawanaga uchoyo kukukatia pande la maana kukufundiji jinsi ya kufanya hawanaga noma aisee. Raia kibao zimefundishwa ufundi na wachina
 
Mkuu ushawahi kukaa na wachina???
Au kufanya biashara na wachina na unajua mitazamo yao kuhusu wabantu???
Nenda urusi afu kakae mikoa ya nje ya moscow na Petersburg mkuu???
Hometown wapo wengi na wanaitana sio poa. Na ukiona sehemu Kuna wachina wengi jua hiyo sehemu inaendelea sana tofauti na mazungu yenyewe yanawaza kuyonya tu
 
Kwanini usijikinge kiongozi? Ugonjwa wametengeneza wao hili uwe tegemezi kwao wakufanye watakavyo. Leo watakwambia uwe shoga, kesho msagaji, mtondogoro Wanafunzi DARASA la 3 wameze Dawa za kuzuhia mimba n.k ukikataa hawakupo Dawa za ukimwi.
Hili la watoto wadogo kumezeshwa majira asee dah
Haya majamaa mashenzi sana niliwahi kwenda maeneo huko asee mpaka huruma kwakweli
Linapita gari linatangaza kabisa kugawa madonge ya majira kama wanagawa mambo yamaana
Yaani ile sehem miaka 15 mpaka 20 ijayo kutakua na shida kubwa sana ya kuzaliana na maradhi ya saratani
Waafrika tusipoamka haya mazungu pori yatazidi kutumaliza nakututia maradhi kwawingi sanaaa
 
Pato la jimbo la Texas ambalo ni la pili kwa ukubwa nchini Marekani linaizidi pato lote la Russia kitu ambacho masheikh wengi hawajui. 😛 😛😛
 
Kwanini usijikinge kiongozi? Ugonjwa wametengeneza wao hili uwe tegemezi kwao wakufanye watakavyo. Leo watakwambia uwe shoga, kesho msagaji, mtondogoro Wanafunzi DARASA la 3 wameze Dawa za kuzuhia mimba n.k ukikataa hawakupo Dawa za ukimwi.
Mashoga wengi nchini Tanzania wako maeneo yenye waislamu wengi.

It's the same story of preaching water while taking alcohol. Very hypocritical people.
 
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
Marekani bado tunayo sana, ipo siku itaanguka lakini karne yetu hii.
 
Back
Top Bottom