Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
Kuna majimbo ya US yana uchumi mkubwa kuliko Urusi. Vitu vingine tumia muda kujifunza.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uliza kwa nini dola haikamatiki kijana sio unakurupuka
Iache dola iendelee kupanda kama unavyosema udhanie ndio ishara ya uchumi mzuri
Russia na hamas wakamatie hapo hapo waliposhikilia
Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
 
Mchina Hana utu? Aisee Kati ya mataifa ambayo yanayoheshimu tamaduni na uwezo wa watu wengine ndio hayo iliyo yataja labda india
 
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
Sisi je?
 
Sisimizi km wewe unapata wapi ujasiri wa kuongelea hbr za giant km Marekani. We kwl mwendawazimu
 
Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
ARV hazichimbi madini
ARV zinaendeleza ukimwi
ARV sio Bure

Ila bidhaa kutoka kampuni kama shantui, xcmg, Sany, Sdlg, zoomlion, sinoray kutoka china zimezagaa humo maporini zikijenga uchumi wa nchi za afrika.

Sema nini mkuu pole Kwa kupita peku wenzio wanafungua Hadi migodi Mashamba makubwa Kwa bidhaa kutoka china wewe unawaza ARV pole sana
 
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.

Pole sana
 
Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
Nahuu ujinga wakua wakupewa kila siku nannyie mkaona ndio mambo yamaana ndio tunaoukataab
Hao wengine ulowasema kheri wao hatujauona ubaya waobacha wakae juu pale tuone watakua wanamna gani
Mwisho tunataka tue juu wenyewe yaani tusifikie us ama russia ama india na chija nk
Ila walau tuwe twaweza kujisimamia wenyewe kwenye maswala yetu yakimsingi na umuhimu
Vyoo vyandarua vyote kwa msaada kwa msaada huu niujinga nakutokuwajibika nandiko tunakokukataa
 
Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
Ndo mtulie makwenu mjenge nchi zenu sio kuwaza slope kwa watu
 
USA alikuwa anacheza gambling ya hatari sana,ni rahisi kumshusha China kiuchumi na hata asisomeke tena kwwnye ramani ya dunia kuliko Russia maana Uchina hana resources na technology- vyote hivyo anategemea washirika wengine.
Tofauti na Russia Nchi kama Nchi ina resources za kumwaga na technologies toka miaka ya 1900 watu wake wana akili.
Russia kilochokuwa kinakosekana na Uongozi tu kama Tanzania.
 
Kuna majimbo ya US yana uchumi mkubwa kuliko Urusi. Vitu vingine tumia muda kujifunza.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Unaangalia uchumi wa makaratasi ambao unategemea mataifa mengine??,sasa kama hayo majimbo yana uchumi mkubwa kuliko Russia ilikuwaje vikwazo dhidi ya Russia vimeleta effects za kiuchumi USA??
Hata Germany,France,Italy na UK wote wana uchumi mkubwa kuliko Russia so why wamekubwa na mdororo wa kiuchumi kuliko Russia yenye uchumi mdogo??
 
Back
Top Bottom