Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Kwakipmo cha operation alichoendesh huko Ukraine ambae alikuw sapoted na NATO huuitaji kuambiw kuwa Russia is a big country 🪑[emoji838][emoji91][emoji91]


Miak 2 sasa nakuna utulivu fuln bado taifa la Russia liko naloo

God bless Russia (Putin
Madhumun ya NATO yalikuwa yapi huko Ukraine ,vijana wa afrika mmekuwa na mtindio wa ubongo kuandika lolote linalokufurahisha ingawaje ukwel unaujuwa
 
Siku America akiamua kuwa na attitude kama ya Urusi bas dunia haitakuwa salama
Attitude ipi? Kukataa jirani yake ajiunge na nato?

Em fikiria tu mfano china, urusi, iran na North Korean wakaunda alliance yao alaf wakataka kuiingiza Mexico awe mshirika wao unafikiri marekani anaweza kukaa kimya??

Think russia yuko right 100%
 
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
Uandishi wako sijaona cha maana ulicho andika,ila nilichogundua ni kwamba,wewe ni mmoja kati ya wale watu wenye jazba dhidi ya Marekani,jazba ambayo haiwaingizii pato lolote,hebu nifafanulie unaposema china na urusi zimekuwa kisiki unamaanisha ni miti iliyokatwa au una maana nyingine?
 
Sijui kwa nini mnashangilia uchumi wa US kuanguka na ndio hao wanawapa ulimwengu wa tatu ARV za bure. Sehemu ya kwenda pekee angalau mwafrika anakubalika ni Ulaya na US. Huko kwingine kama Urusi, China na india sijui Irani mwafrika akubaliki na ukiangalia Scholarship nyingi zinatolewa na US au Europe. Anyway US akianguka jua Warusi, wahindi na wachina watakuja kututawala maana wale hawana utu na sisi bado tumelala.
Unaishi karne ya kumi bado wewe.
 
Attitude ipi? Kukataa jirani yake ajiunge na nato?

Em fikiria tu mfano china, urusi, iran na North Korean wakaunda alliance yao alaf wakataka kuiingiza Mexico awe mshirika wao unafikiri marekani anaweza kukaa kimya??

Think russia yuko right 100%
Kwa akili yako ya chekechekea hakuna jiran wa Russia ambaye yupo NATO ? Wajinga kama ww ndo Waislam na Urusi huwatumia kufanikisha harakati zao za kikoloni , Hakuna nchi inaweza rusha hata jiwe ndan ya Urusi hata kama majiran zake wote wakiwa NATO , Urusi anasababu za kiuchumi na sio za kiusalama , kujiunga kwa hayo mataifa ndan ya NATO kungechochea kujiunga ndan ya umoja wa ulaya hivyo kuwa ndan ya umoja wa ulaya ungemdhibit Urusi kuwanyonya au kuwaendesha kiuchumi hao majiran zake , kiufup majiran wa Urusi wanaichukia Urusi kuliko ufikiliavyo , Urusi amekuwa anawaona majiran zake kama makolon yake , Mtu mwenye akili ni bora ukemee tabia za Urusi zisienee dunian maana wahanga ni wewe ni mm tunaotokea nchi za majalalani huku , ila kwavilr hamuna akili acha muda utaongea zaidi
 
Mpo brainwashed sana, Watanzania kibao wanakwenda Russia kusoma.
Nazungumzia ubaguzi wa waafrika nje ya Petersburg na moscow area,s....Au wewe hujakaa russia mkuu.
Marekani kuna mapungufu yake ila marekani ni bora mara elfu kutafuta maisha kuliko urusi na china
 
Uandishi wako sijaona cha maana ulicho andika,ila nilichogundua ni kwamba,wewe ni mmoja kati ya wale watu wenye jazba dhidi ya Marekani,jazba ambayo haiwaingizii pato lolote,hebu nifafanulie unaposema china na urusi zimekuwa kisiki unamaanisha ni miti iliyokatwa au una maana nyingine?
Waambie madogo waache jazba...🤣🤣🤣😂Wenzao enzi nyerere walikua na jazba na marekani na wamekufa maskini....waambie watafute hela
 
Wakati wa vita vya Urusi uchumi wa Marekani umekuwa Imara zaidi pia China imeisaidia pakubwa Urusi kutoumizwa ilivyokusudiwa na vikwazo vya West.
Kama unadhani kuna nchi ambayo haisaidiwi pole kijana
Hata marekani imesaidiwa na mashoga zake wanaojiita matajiri zaidi duniani sijui ndio G7 wale kuitwanga russia vikwazo walosema vyakulemaza
Ila mpaka sasa wamelemaa wao ila Russia iko imara
Kama hamtaki uchina iidaidie Russia iambieni marekani isisaidiwe na shoga zake kuiekea Russia [emoji635] vikwazo tuone itakuaje
 
Fafanua inakuwaje uchumi wa Marekani kama unashuka pesa Yao Kwa Nini thamani yake inapanda kama ilivyo sasa kutwa inapanda
Dola inapanda thamani sababu kwenye mzunguko wake pesa ya dola imekua haipo yakutosha
Watu wengi wameikacha nakuanza kutumia fedha mingine
 
Back
Top Bottom