Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,094
Reaction score
1,503
Sidhani kama kunataifa haliijui nguvu ya kijeshi na uchumi ya urusi. Zidhani kama kunataifa Dunia haliijui nguvu ya china kiuchumi na technology.

Sidhani kama Kuna Taifa halijui uovu wa mataifa ya west. Niseeme tu ukweli mm mwenyewe nilikua na predict Russia tu atashinda ila nilikua sijui atashindaje ila Kwa yale masilaa waliyo yapeleka sijui juvilin, hmrs, mavikwazo ambayo mwisho wa sikuu yame warudia na uchumi kwao umekuua mgumu.

Naomba niseme Russia ni bala aisee na mwenzie china naona wamekua visiki.
 
Screenshot_20230901-182500.png
 
Kimsingi us kashaanguka ila tu anguko lake sio lile la puuu
Yaani anakufa mdo mdo kama mgonjwa wa sukari
Leo panauma hapa panakatwa kesho panaumwa pale panakatwabna kesho kutwa hapa panakatwa mwisho analala kitandani anangojea kifo chake
Us anataka anguko lake likija puuu liondoke na wenzake na wenzake wamemstukia
Sasa anaondoka mwenyewe ila mdogo mdogo
Russia kamatieni hapo hapo na kule hamas kazia hapo hapo
 
Marekani uchumi wao wa ajabu ukishuka Dola Yao inapanda

Nchi zingine zote uchumi ukishuka na thamani ya pesa zao hushuka

Dola Sasa hivi Tanzania haikamatiki
Uliza kwa nini dola haikamatiki kijana sio unakurupuka
Iache dola iendelee kupanda kama unavyosema udhanie ndio ishara ya uchumi mzuri
Russia na hamas wakamatie hapo hapo waliposhikilia
 
Back
Top Bottom