Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

NATO haijaisapoti Ukraine mpaka sasa kwa sababu sio mwanachama wa NATO.

Hata msaada wa EU umekuwa unakwamishwa na Hungary.
Raia wa Libya ilikua mwanachama wa NATO
Mbona wanachama wa NATO walipeleka mameli yao kule kumtwanga nampaka kumuua Gaddafi
 
Dola inapanda thamani sababu kwenye mzunguko wake pesa ya dola imekua haipo yakutosha
Watu wengi wameikacha nakuanza kutumia fedha mingine
Wewe haya mambo yanakuzidi kimo na huwezi kuyafahamu na inaonyesha dhahiri wewe hujawahi kuagiza chochote nje ya nchi hata kwa siku za karibuni.

Wewe inaonekana ukishatoka msikitini tu, breki ya kwanza ni kwenye kijiwe kupiga porojo na kukariri hadithi za mtume sasa lini utajua the component of US$ in international trade.
 
Pole kijana
Mie siagizi navifata huko huko mwenyewe
 
Marekani uchumi wao wa ajabu ukishuka Dola Yao inapanda

Nchi zingine zote uchumi ukishuka na thamani ya pesa zao hushuka

Dola Sasa hivi Tanzania haikamatiki
Kama kuna mtu USA inabidi wamjengee sanamu la dhahabu ni aliyewapa idea ya kuifanya dollar iwe international currency, hapo jamaa walicheza kama pele,

Hii kitu itaendelea kuwalinda kwa miaka mingi sana ijayo
 
Sidhani hata kama una passport kwani kauli zako zinaonyesha wewe ni wa vijiweni zaidi.
Heheeee pole tena kijana
Kwan passport [emoji714] hua inaongea nikupe tena pole kijana
Mie sio kijana wavijiweni wewe ila pia kukaa vijiweni sio mbaya nimoja ya sehem ya kujichanganya na watu na wala sio dhambi au kukaa kijiweni dhambi?
 
Back
Top Bottom