Kwa nyie wazee wa miamala lugha sio muhimu sana. Watawavumilia tu hata mkikosea!Mada imekuwa LUGHA sasa....kwa mtaji huu tusiojua Kiingereza sijui tutafanyia wapi mazoezi? Wenye lugha yao wanasema PRACTICE MAKES PERFECT sijui nimepatia?
Now we are so happyNo we so happy?
hahaha hii lugha ya Malkia tunaipenda zaidi lakini yenyewe haijawahi hata kufikiria kutupenda WatanzaniaNow we are so happy
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hatari ila inabidi tutumie mlenda ili ndimi zilainikehahaha hii lugha ya Malkia tunaipenda zaidi lakini yenyewe haijawahi hata kufikiria kutupenda Watanzania
Wewe indiot, hivi unaleta habari nusu nusu yenye mafumbo manake nini? Ukue ua he utoto wewe njuka aka fomu ineHabari wana JF
Siku 3 zilizopita nilileta mkasa hapa kuwa i have girlfriend na inabidi nikaishi far away nae kutokana na sababu zilizopo nje za uwezo wetu namshukuru Mungu tumeweza kuyamliza salama kabisa na tumeeweza kuongea na Pande zote mbili upande wa familia yangu na yao kuna agreement tumeafikiana now we so happy asante sana wana Jf walionishauri vizuri nashukuruni kwa ushauri wenu asanteni sana.
Na pia kuna ambao waliodiriki kunitukana nakusema mimi eti ni mwanafunzi na hii habari meiona kwenye yamthilia kwakweli nimeona bora nikae kimya na sikuwajibu chochotee, na nyie pia mbarikiwe sana.
Am very happy with My love.. asanteni kwa ushauri wenu wana Jf kwa wale walionidhihaki pia Mbarikiwe mimi sio mwanafunzi wa Form 2 am 25 yrs Old.
I didn't lose a friends but I just realize i never had one(fo dem who insults me)
Indiot tena?Wewe indiot, hivi unaleta habari nusu nusu yenye mafumbo manake nini? Ukue ua he utoto wewe njuka aka fomu ine
Hapa napo ataona eti umemtukana...[emoji12] [emoji12]Bora utumie kiswahili tu kiingereza kinakushinda
nashangaa sana ..tabia za kike hizoMwanaume ukitukanwa unapotezea, tangu siku ile umebeba yale yale matusi?
Wewe utakuwa na tatizo.
Inaonekana yalimuuma sanaMwanaume ukitukanwa unapotezea, tangu siku ile umebeba yale yale matusi?
Wewe utakuwa na tatizo.
Huyu jamaa hafai kabisa!! Yaani ndiyo kasiliba kabisa πππ.[emoji23][emoji23][emoji23]
KANA jamani nimecheka hapa