Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Mada imekuwa LUGHA sasa....kwa mtaji huu tusiojua Kiingereza sijui tutafanyia wapi mazoezi? Wenye lugha yao wanasema PRACTICE MAKES PERFECT sijui nimepatia?
Subiri waje😊!
 
😂😂😂ilibidi apotee bila kuaga, jf sio pazuri kabisa
 
25 yrs old bado mdgo sana kijana sio mda wako sahïhi wa kuhangaikia mapenzi utatokwa kamasi bure hadi ukome.
 
Hongera kwa kuyamaliza salama mkuu,ushauri wangu kwako
Usipende kuyaweka moyoni yanayokuumiza

Humu kila mtu na mawazo yake,kuna wenye mawazo -,na+,so usikasirike wala kutilia maanani matusi na kejeli,angalia kilicho kufunza chenye umuhimu basi.
 
toba! mrekebisheni basi alimokosea kiingilishi humo nami nijifunze au mnahofia kurekebisha nanyi mkarekebishwa mana lugha hiyo acha tu
 
Mada imekuwa LUGHA sasa....kwa mtaji huu tusiojua Kiingereza sijui tutafanyia wapi mazoezi? Wenye lugha yao wanasema PRACTICE MAKES PERFECT sijui nimepatia?
Si ndio mkuu, sasa dogo anafanya practice ili awe perfect lakini wakuu huku hawajafurahia hilo
 
25 ok,angalia na wewe usije ukaanguka kazini tukakukimbiza aga khan..

Haya mambo haya hayanaga master
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

KANA jamani nimecheka hapa
Watoto wanataka kuruka stage hawa. Analilia mapenzi wakati kuandika kwenyewe hajui.

Hadi nmekumbuka enzi zetu za mapenzi ya barua. Mwandiko safi, maneno yamenyooka!

Sweet little memories!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…